[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hapana, huyu bwana si mstaarabu katika matumizi ya vyoo.
Kama umeelewa, mama mwenye nyumba anataka huyu bwana aone tabu yakusafisha ili ajifunze kutumia kistaarabu ndio maana mama kakataa huyo mwamba kununua vifaa, anataka ASAFISHE choo.
Watu wa hivi huwa:-
Hawamwagi maji wakikojoa
Wakitoka haja kubwa wanamwaga maji machache mzigo hauendi
Hawahakikishi ile mistari ya kinyesi inayobaki kwenye sink imeondoka
Wakikojoa hawalengi tundu, choo kizima mikojo tuu.
Wanaingia na viatu vinamatope nakuyaacha bila kuyamwagia maji.
Wakikuta maji hamna/ hayatoki wanaacha mizigo yao hapo na kuondoka, hawajishuhulishi kutafuta maji.
Sio lazima yawe yote haya, ila lazima kuna yanayomuhusu.
Mi nilipanga nyumba yenye vyumba 8 - vinne kila upande pale magomeni miaka hiyo, nyumba haikuwa na dari - vyumba vitatu walipanga mabinti na vingine 2 tulipanga vijana afu vingine vitatu walitumia mama mwenye nyumba maana alikuwa na familia. -- sasa aiseee yaliyokuwa nashuhudia mule si mchezo... mengine ni kero mengine yanahamasishaa....
Kufanya usafi muhimu Sana,Sasa mkuu unataka we uwe unatumia tu choo wanadeki wengine mwamba. Kununua mafagio sio ishu, kila mtu anaweza kununua mafagio na sabuni, kwani bei gani. Kila mtu akinunua mafagio yatajifagia yenyewe?
Sometimes vitu vingine kuamua tu mkuu. Kudeki choo unachotumia mwenyewe wala sio uduanzi. Siku ya zamu yako Amka mapema deki oga sepa zako
Wewe unazingua Yani mtu amekupangisha hafu unataka akufanyie usafi, usafi muhimu , wewe Ni sawa na huyu mpangaji wangu yani tokea mke wake aondoke hajawahi fanya usafi ,hapa nafikiria kumtimua , miezi miwili sasa, kwamba mke wangu awe anamfanyia usafi, huu ni upumbavu inabidi ufanye usafi au mtafute mtu wa kukufanyia usafi ndo uwe unamlipa.Hii nyumba niliyopanga mama mwenye nyumba anaishi hapa hapa, kuna kitu kinanikwaza mno
Wiki iliyopita narudi gheto akaniita akaniambia kuna ratiba ya kudeki choo nikamwambia sawa haina shida lakin mimi kutokana na mishe zangu naondoka mapema sana saa 11 alfajiri siwezi kudeki nitakuwa nanunua vifaa kama ufagio na sabuni n.k, lakini mama mwenye nyumba amekazanaa amenyooka na mimi nideki chooni
Kodi ikiisha nasepa mapema tu, kuishi na mama mwenye nyumba tabu
Mbona mimi nilipanga nyumba ambayo mwenye nyumba hayupo tulikuwa wapangaji tu na usafi tulipangiana ratiba ,Sijakataa lakin nilimuomba kutokana na pilika pilika zangu asubuh nikikurupuka nakuwaga fasta...lakin ameshakataa sasa najidamka mapemaaa nadeki... kodi ikiisha nihame...maana nachelewa kutoka
Sasa mkuu unataka we uwe unatumia tu choo wanadeki wengine mwamba. Kununua mafagio sio ishu, kila mtu anaweza kununua mafagio na sabuni, kwani bei gani. Kila mtu akinunua mafagio yatajifagia yenyewe?
Sometimes vitu vingine kuamua tu mkuu. Kudeki choo unachotumia mwenyewe wala sio uduanzi. Siku ya zamu yako Amka mapema deki oga sepa zako
Hahahahaa kumbe wapare watoaji namna hii? Hahaaa duh...safi...
Kiukweli naishi na mother house ila ndiyo kila mtu busy na mambo yake, ni salamu tu na stories kidogo,kuhusu usafi alisema atasimamia shoo zote za usafi ila tutachangia kidogo so kwangu it's ok kabisa.
Na anatujali wapangaji wake kipindi cha covid na kujifukiza alikua anaandaa mchanganyiko anatuamsha asubuhi tujifukize, akiona kimya umechelewa kuamka maybe anakuita ajue unaendeleaje isijekua umezidiwa humo ndani. [emoji122]
Huyo mama mwenye nyumba wako mwambie " mama moyo wangu u dhaifu kila nikuonapo, najisikia niingie chumbani kwako"Mpaka nafikiria kuhama ujue huko kote nshapita...nishaomba niwe natoa hela ila wamegoma
AMEKUPATA vzriii kabsaNyongeza. Aongeze bidii kutafta hela aupukane na vyoo na mabafu ya kushare, umaskini wako ndio una kufanya uone una onewa kumbe ni kautaratibu hata huko unako taka kuhamia.
Ndio mama mwenye nyumba?Evelyn Salt hebu njoo huku