Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 718
- 1,203
- Thread starter
- #61
Wachafuzi unamaanisha nini...nakunya pembeni au?...halafu watu wabishi kwenye usafi huwa ndo wachafuzi haswaa
jitahidi upange self
Wachafuzi unamaanisha nini...nakunya pembeni au?...halafu watu wabishi kwenye usafi huwa ndo wachafuzi haswaa
jitahidi upange self
Hii inaweza kuwa kweli, kwangu nilikuwa nafanya kama kumpa heshima tu kama mama yangu, lakini amekuwa akitunza nyumba yangu kama yake since nafika pale kwa mwezi mara moja tu.Wamama wenye nyumba rahisi sana kuishi nao. Ukisafiri siku ya kurudi kabla ya kufika nyumbani pitia urafiki chukua viroba viwili vya mchele, mikungu ya ndizi , kiroba Cha mihogo na vitunguu vingi. Tia kwa taxi ukifika mpe mama mwenye nyumba mwambie zawadi toka kwa wazazi wako huko mkoani.
Fanya hivyo kila ukisafiri.
Utakaa hapo Hadi utakapojenga
Wanakuwaga viherehere sana yani! Usiingize demu! Mara sijui wageni hapendi utoto wa hali ya juu na kodi ikifika mda wa kulipa kama huna anakutoa rohoNdo mradi wake huyo mstaafu
Kuhama Kwa sababu hiyo tu sio Sawa. Unakimbiaje tatizo badala ya kufikiria kukutafuta? Huwez kupata mtu wa kusafisha Choo ukifika Zamu yako ukampa buku?
Imagine upo peke yako nyumba nzima, je angesafisha Nani?
Wenye nyumba wengine vichefu chefu..masharti kibao utasema yeye ndo wakwanza kuwa na nyumba...anakwambia ukileta mgeni utoe taarifa..[emoji706]Wanakuwaga viherehere sana yani! Usiingize demu! Mara sijui wageni hapendi utoto wa hali ya juu na kodi ikifika mda wa kulipa kama huna anakutoa roho
Angalau wewe ulipata hicho cha mtoto mwenzio mimi na mke wangu tuliambiwa tunyee ndoo chumbani kwetu usiku maana choo kilikua cha nje. Kisa eti atakuja kuibiwa ukumbini kwake. Nilihama bila kodi yangu ya miezi miwili kumaliza.Hii nyumba niliyopanga mama mwenye nyumba anaishi hapa hapa, kuna kitu kinanikwaza mno
Wiki iliyopita narudi gheto akaniita akaniambia kuna ratiba ya kudeki choo nikamwambia sawa haina shida lakin mimi kutokana na mishe zangu naondoka mapema sana saa 11 alfajiri siwezi kudeki nitakuwa nanunua vifaa kama ufagio na sabuni n.k, lakini mama mwenye nyumba amekazanaa amenyooka na mimi nideki chooni
Kodi ikiisha nasepa mapema tu, kuishi na mama mwenye nyumba tabu
Yupo mmoja aliwahi kunichaji hela ya kunya mgeni wangu aliekuja kwa ajili ya interview nikamuachia rum siku 3!Wenye nyumba wengine vichefu chefu..masharti kibao utasema yeye ndo wakwanza kuwa na nyumba...anakwambia ukileta mgeni utoe taarifa..[emoji706]
Sio utoe hela, Kwan wao hawana hela? Ninachosema Mimi ni utafute mtu wa kusafisha ikifika Sam yakoMpaka nafikiria kuhama ujue huko kote nshapita...nishaomba niwe natoa hela ila wamegoma
Yaani ntafute mtu njee....aaah kudadek acha npambane nae kodi ikiisha nihameSio utoe hela, Kwan wao hawana hela? Ninachosema Mimi ni utafute mtu wa kusafisha ikifika Sam yako
The best mother house everKiukweli naishi na mother house ila ndiyo kila mtu busy na mambo yake, ni salamu tu na stories kidogo,kuhusu usafi alisema atasimamia shoo zote za usafi ila tutachangia kidogo so kwangu it's ok kabisa.
Na anatujali wapangaji wake kipindi cha covid na kujifukiza alikua anaandaa mchanganyiko anatuamsha asubuhi tujifukize, akiona kimya umechelewa kuamka maybe anakuita ajue unaendeleaje isijekua umezidiwa humo ndani. 👏
jiongeze wewe, mama mwenye nyumba anakutaka uyoo
Hapana, huyu bwana si mstaarabu katika matumizi ya vyoo.
Nitake radhi....tafadhar....siku za weekend nafanya usafi ila kuanzia jumatatu - ijumaa ndio nimeomba ivo wamekataaa basi nitakuwa najidamka alfajir nadeki...kodi ikiisha naepaHapana, huyu bwana si mstaarabu katika matumizi ya vyoo.
Kama umeelewa, mama mwenye nyumba anataka huyu bwana aone tabu yakusafisha ili ajifunze kutumia kistaarabu ndio maana mama kakataa huyo mwamba kununua vifaa, anataka ASAFISHE choo.
Watu wa hivi huwa:-
Hawamwagi maji wakikojoa
Wakitoka haja kubwa wanamwaga maji machache mzigo hauendi
Hawahakikishi ile mistari ya kinyesi inayobaki kwenye sink imeondoka
Wakikojoa hawalengi tundu, choo kizima mikojo tuu.
Wanaingia na viatu vinamatope nakuyaacha bila kuyamwagia maji.
Wakikuta maji hamna/ hayatoki wanaacha mizigo yao hapo na kuondoka, hawajishuhulishi kutafuta maji.
Sio lazima yawe yote haya, ila lazima kuna yanayomuhusu.
Huyu wanataka asafishe yeye ili aione adha, bila shaka anachangamoto katika utumiaji. Choo kinatakiwa kitumiwe kistaarabu sana.Kuhama Kwa sababu hiyo tu sio Sawa. Unakimbiaje tatizo badala ya kufikiria kukutafuta? Huwez kupata mtu wa kusafisha Choo ukifika Zamu yako ukampa buku?
Imagine upo peke yako nyumba nzima, je angesafisha Nani?
Kiukweli anajitahidi 👏The best mother house ever
Laiti asilimia 20 tu ya wenye nyumba wangeishi kama yeye basi watu wangetamani kupanga forever (joking).Kiukweli anajitahidi 👏
Mkuu ulivyokomalia iyo ishu ungejua sishindi nyumbani muda mwingi nipo nje ya nyumba hata usingesema....nikioga asubuh imetokaa......Huyu wanataka asafishe yeye ili aione adha, bila shaka anachangamoto katika utumiaji. Choo kinatakiwa kitumiwe kistaarabu sana.