Nyumba za kupanga majanga sometimes

Nyumba za kupanga majanga sometimes

Hii nzuri aisee...basi ata ukimwambia nitachangia hela ya usafi yeye anataka nidekiii tu [emoji706][emoji706][emoji706]
Mlainishe na kilo ya nyama au kuku wa kienyeji.
Mimi nilikua na mtaim siku za sikukuu za kiislam. Hana hili Wala lile namletea mchele, ndizi bukoba, nyama na kuku mmoja wa kiswahili. Namuambia desturi za kwetu upareni sikukuu tunakula pamoja
 
Hahahahaa kumbe wapare watoaji namna hii? Hahaaa duh...safi...
 
Hii nyumba niliyopanga mama mwenye nyumba anaishi hapa hapa, kuna kitu kinanikwaza mno
Wiki iliyopita narudi geto akaniita akaniambia kuna ratiba ya kudeki choo nikamwambia sawa haina shida lakin mimi kutokana na mishe zangu naondoka mapema sana saa 11 alfajir siwezi kudeki nitakuwa nanunua vifaa kama ufagio na sabuni n.k ukizingatia kuna wapangaji wengine wakike, lakin mama mwenye nyumba amekazanaa amenyooka na mimi nideki chooni[emoji52]

Kodi ikiisha nasepa mapema tu..kuishi na mama mwenye nyumba tabu

Unaishi boarding mkuu?[emoji28][emoji28]fanya ujenge mapema maana utapiga deki chooni hadi ufanane na inzi
 
Kiukweli naishi na mother house ila ndiyo kila mtu busy na mambo yake, ni salamu tu na stories kidogo,kuhusu usafi alisema atasimamia shoo zote za usafi ila tutachangia kidogo so kwangu it's ok kabisa.

Na anatujali wapangaji wake kipindi cha covid na kujifukiza alikua anaandaa mchanganyiko anatuamsha asubuhi tujifukize, akiona kimya umechelewa kuamka maybe anakuita ajue unaendeleaje isijekua umezidiwa humo ndani. [emoji122]

Naomba mualiko nije kwako tujifukize wote bibie
 
Wamama wenye nyumba rahisi sana kuishi nao. Ukisafiri siku ya kurudi kabla ya kufika nyumbani pitia urafiki chukua viroba viwili vya mchele, mikungu ya ndizi , kiroba Cha mihogo na vitunguu vingi. Tia kwa taxi ukifika mpe mama mwenye nyumba mwambie zawadi toka kwa wazazi wako huko mkoani.
Fanya hivyo kila ukisafiri.
Utakaa hapo Hadi utakapojenga
 
Naomba niwe mama mwenye nyumba wako😀😀!
 
Kiukweli naishi na mother house ila ndiyo kila mtu busy na mambo yake, ni salamu tu na stories kidogo,kuhusu usafi alisema atasimamia shoo zote za usafi ila tutachangia kidogo so kwangu it's ok kabisa.

Na anatujali wapangaji wake kipindi cha covid na kujifukiza alikua anaandaa mchanganyiko anatuamsha asubuhi tujifukize, akiona kimya umechelewa kuamka maybe anakuita ajue unaendeleaje isijekua umezidiwa humo ndani. 👏
Una raha sana aisee! Mie nyumba ya kuishi na mwenye nyumba labda awe kama Bhakressa au Mzee Mengi hayati!

Hawa wastaafu ambao hawana akili ya kuingiza hata sh.200 mbovu kutwa kutolea macho vijumba vya kupanga hapana!
 
tafuta pesa mkuu..... komaa mwamba.....waambie hutumii choo chao.....tafuta guest ya jirani maliziaga huko.....anazingua huyo...
 
Kiukweli naishi na mother house ila ndiyo kila mtu busy na mambo yake, ni salamu tu na stories kidogo,kuhusu usafi alisema atasimamia shoo zote za usafi ila tutachangia kidogo so kwangu it's ok kabisa.

Na anatujali wapangaji wake kipindi cha covid na kujifukiza alikua anaandaa mchanganyiko anatuamsha asubuhi tujifukize, akiona kimya umechelewa kuamka maybe anakuita ajue unaendeleaje isijekua umezidiwa humo ndani. 👏
ebwanaeee hii ni njema...wapi huko mkuu, hakuna chumba namm nihamie?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom