Lipa mtu asafishe acha konakona,Sijakataa lakin nilimuomba kutokana na pilika pilika zangu asubuh nikikurupuka nakuwaga fasta...lakin ameshakataa sasa najidamka mapemaaa nadeki... kodi ikiisha nihame...maana nachelewa kutoka
Daah apo ni poa sana mkuu.Aisee ninapokaa nilibahatika kupata father house msela (bachelor) halafu ni age mate tu kanizidi miaka 4..Hakuna longolongo kabisa mimi na father house wangu..sisi hatunaga bill ya umeme, yaani ukikatika ndo tunaweka hatuna zile sijui kwa mwezi 15000...Halafu tupo wawili tu yaani ni full bata...siku za weekend kila mtu yupo home, father house ananiamsha asubuhi tunapiga roadwork yetu kukata carolies.
Kiukweli sina mpango wa kuhama hapo hadi BAADAE SANA.
Somewhere in Africa mkuu😀😀 kwasasa hamna ana wapangaji 2 tu ambao ndiyo sisiebwanaeee hii ni njema...wapi huko mkuu, hakuna chumba namm nihamie?
Usafi chooni anafanya nani?Aisee ninapokaa nilibahatika kupata father house msela (bachelor) halafu ni age mate tu kanizidi miaka 4..Hakuna longolongo kabisa mimi na father house wangu..sisi hatunaga bill ya umeme, yaani ukikatika ndo tunaweka hatuna zile sijui kwa mwezi 15000...Halafu tupo wawili tu yaani ni full bata...siku za weekend kila mtu yupo home, father house ananiamsha asubuhi tunapiga roadwork yetu kukata carolies.
Kiukweli sina mpango wa kuhama hapo hadi BAADAE SANA.
Nilishajenga kitamboNaomba niwe mama mwenye nyumba wako😀😀!
Utakuwa unachafua sana choo wewe! Siyo bure. Mama mwenye nyumba atakuwa amekuvumilia, amechoka! Hivyo anataka na wewe ujue ugumu wa hilo zoezi.Hii nyumba niliyopanga mama mwenye nyumba anaishi hapa hapa, kuna kitu kinanikwaza mno
Wiki iliyopita narudi gheto akaniita akaniambia kuna ratiba ya kudeki choo nikamwambia sawa haina shida lakin mimi kutokana na mishe zangu naondoka mapema sana saa 11 alfajiri siwezi kudeki nitakuwa nanunua vifaa kama ufagio na sabuni n.k ukizingatia kuna wapangaji wengine wakike, lakini mama mwenye nyumba amekazanaa amenyooka na mimi nideki chooni[emoji52]
Kodi ikiisha nasepa mapema tu, kuishi na mama mwenye nyumba tabu
Ongea na mpangaji mmojawapo kuwa unamfinyia kiasi flani Cha hela alafu anakua akushikia zamu money talkSijakataa lakin nilimuomba kutokana na pilika pilika zangu asubuh nikikurupuka nakuwaga fasta...lakin ameshakataa sasa najidamka mapemaaa nadeki... kodi ikiisha nihame...maana nachelewa kutoka
Sijakataa lakin nilimuomba kutokana na pilika pilika zangu asubuh nikikurupuka nakuwaga fasta...lakin ameshakataa sasa najidamka mapemaaa nadeki... kodi ikiisha nihame...maana nachelewa kutoka
Hii nyumba niliyopanga mama mwenye nyumba anaishi hapa hapa, kuna kitu kinanikwaza mno
Wiki iliyopita narudi gheto akaniita akaniambia kuna ratiba ya kudeki choo nikamwambia sawa haina shida lakin mimi kutokana na mishe zangu naondoka mapema sana saa 11 alfajiri siwezi kudeki nitakuwa nanunua vifaa kama ufagio na sabuni n.k ukizingatia kuna wapangaji wengine wakike, lakini mama mwenye nyumba amekazanaa amenyooka na mimi nideki chooni[emoji52]
Kodi ikiisha nasepa mapema tu, kuishi na mama mwenye nyumba tabu
Hii nyumba niliyopanga mama mwenye nyumba anaishi hapa hapa, kuna kitu kinanikwaza mno
Wiki iliyopita narudi gheto akaniita akaniambia kuna ratiba ya kudeki choo nikamwambia sawa haina shida lakin mimi kutokana na mishe zangu naondoka mapema sana saa 11 alfajiri siwezi kudeki nitakuwa nanunua vifaa kama ufagio na sabuni n.k ukizingatia kuna wapangaji wengine wakike, lakini mama mwenye nyumba amekazanaa amenyooka na mimi nideki chooni[emoji52]
Kodi ikiisha nasepa mapema tu, kuishi na mama mwenye nyumba tabu
AhahahahahahWenzio hapa kila tukipika lazima masufuria tuliyopikia tumkabidhi baba mwenye nyumba kwanza kabla ya kuyaosha, ila sihami ng'oo tutabanana hapa hapa!
Masha Allah!Kiukweli naishi na mother house ila ndiyo kila mtu busy na mambo yake, ni salamu tu na stories kidogo,kuhusu usafi alisema atasimamia shoo zote za usafi ila tutachangia kidogo so kwangu it's ok kabisa.
Na anatujali wapangaji wake kipindi cha covid na kujifukiza alikua anaandaa mchanganyiko anatuamsha asubuhi tujifukize, akiona kimya umechelewa kuamka maybe anakuita ajue unaendeleaje isijekua umezidiwa humo ndani. [emoji122]
Nenda katufute vyumba vya self hama huko uswaziHii nyumba niliyopanga mama mwenye nyumba anaishi hapa hapa, kuna kitu kinanikwaza mno
Wiki iliyopita narudi gheto akaniita akaniambia kuna ratiba ya kudeki choo nikamwambia sawa haina shida lakin mimi kutokana na mishe zangu naondoka mapema sana saa 11 alfajiri siwezi kudeki nitakuwa nanunua vifaa kama ufagio na sabuni n.k ukizingatia kuna wapangaji wengine wakike, lakini mama mwenye nyumba amekazanaa amenyooka na mimi nideki chooni[emoji52]
Kodi ikiisha nasepa mapema tu, kuishi na mama mwenye nyumba tabu
Ndo mradi wake huyo mstaafuUna raha sana aisee! Mie nyumba ya kuishi na mwenye nyumba labda awe kama Bhakressa au Mzee Mengi hayati!
Hawa wastaafu ambao hawana akili ya kuingiza hata sh.200 mbovu kutwa kutolea macho vijumba vya kupanga hapana!
hakuna mtu asiyependa kupanga self contained...sema tu kuna vitu havijakaa sawaUnaanzaje kupanga sehemu mna share washroom!?
Unafeli mkuu,hizo sehemu nyeti sana .