Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,520
Saa kumi na moja alfajiri choo hakidekiki au hakitakati????
Miss u
Saa kumi na moja alfajiri choo hakidekiki au hakitakati????
Hizo ni mbinu za vitaTatizo atakubandua tu muhuni wa hivyo 😂😂😂
Hii nyumba niliyopanga mama mwenye nyumba anaishi hapa hapa, kuna kitu kinanikwaza mno
Wiki iliyopita narudi gheto akaniita akaniambia kuna ratiba ya kudeki choo nikamwambia sawa haina shida lakin mimi kutokana na mishe zangu naondoka mapema sana saa 11 alfajiri siwezi kudeki nitakuwa nanunua vifaa kama ufagio na sabuni n.k, lakini mama mwenye nyumba amekazanaa amenyooka na mimi nideki chooni
Kodi ikiisha nasepa mapema tu, kuishi na mama mwenye nyumba tabu
Mkuu ngoja nkwambie uenda hamjanielewa, usafi sio kwamba sifanyii...mwanzo nilikuwa nafanya ila ratiba zangu sasaivi zinantaka niwahi kutoka mapema sana kama ushkaa kigambon nadhan utakuwa unaelewa zile kashkash za kusubiria panton...nikamuomba mwenye nyumba kama inawezekana nitoe hela kwa wiki baada ya kudeki ama ninunue vifaa ila ikifika wikiend nadeki sababu nipo free..amegoma yaani ni sjui gubu..nimekubali kiroho safi..japo nawahi sana kuamka...Saa kumi na moja alfajiri choo hakidekiki au hakitakati????
Mkuu ngoja nkwambie uenda hamjanielewa, usafi sio kwamba sifanyii...mwanzo nilikuwa nafanya ila ratiba zangu sasaivi zinantaka niwahi kutoka mapema sana kama ushkaa kigambon nadhan utakuwa unaelewa zile kashkash za kusubiria panton...nikamuomba mwenye nyumba kama inawezekana nitoe hela kwa wiki baada ya kudeki ama ninunue vifaa ila ikifika wikiend nadeki sababu nipo free..amegoma yaani ni sjui gubu..nimekubali kiroho safi..japo nawahi sana kuamka...
Chawa wa mwenye nyumbaNdio mama mwenye nyumba?
Yani du Kuna mmoja kodi halipi ,usafi afanyi .Wapangaji wenyewe ni vichomi
Mxweeew
Suala la kudeki choo huwa ni wanawake. Mm hapa nililipa hela ya ufagio tu. Ila changamoto ni umeme tu. Kodi yangu ikiisha nahamaSijakataa lakin nilimuomba kutokana na pilika pilika zangu asubuh nikikurupuka nakuwaga fasta...lakin ameshakataa sasa najidamka mapemaaa nadeki... kodi ikiisha nihame...maana nachelewa kutoka
Kudeki ni suala la wanawake?? wee kweli bado sanaSuala la kudeki choo huwa ni wanawake. Mm hapa nililipa hela ya ufagio tu. Ila changamoto ni umeme tu. Kodi yangu ikiisha nahama
Izo ni nyumba gani ? Ambazo mnakaa bila kufanya usafi,Suala la kudeki choo huwa ni wanawake. Mm hapa nililipa hela ya ufagio tu. Ila changamoto ni umeme tu. Kodi yangu ikiisha nahama
😀😀😀😀🙌Nakumbuka siku ile alitugongea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji2226][emoji2226][emoji2226][emoji2226]
Wapo hapo umepanga je kuna nafasi mkuuKiukweli naishi na mother house ila ndiyo kila mtu busy na mambo yake, ni salamu tu na stories kidogo,kuhusu usafi alisema atasimamia shoo zote za usafi ila tutachangia kidogo so kwangu it's ok kabisa.
Na anatujali wapangaji wake kipindi cha covid na kujifukiza alikua anaandaa mchanganyiko anatuamsha asubuhi tujifukize, akiona kimya umechelewa kuamka maybe anakuita ajue unaendeleaje isijekua umezidiwa humo ndani. [emoji122]
Kwasasa nafasi zimejaa mkuu tupo wapangaji wawili tu.Wapo hapo umepanga je kuna nafasi mkuu
Kudeki ni suala la wanawake?? wee kweli bado sana
Comrade hebu angalia hii hapa...Sasa mkuu unataka we uwe unatumia tu choo wanadeki wengine mwamba. Kununua mafagio sio ishu, kila mtu anaweza kununua mafagio na sabuni, kwani bei gani. Kila mtu akinunua mafagio yatajifagia yenyewe?
Sometimes vitu vingine kuamua tu mkuu. Kudeki choo unachotumia mwenyewe wala sio uduanzi. Siku ya zamu yako Amka mapema deki oga sepa zako