Nyumba za kupanga majanga sometimes

Nyumba za kupanga majanga sometimes

Pole sana
Izo ni nyumba gani ? Ambazo mnakaa bila kufanya usafi,

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume wa dar bana. Huko Dar kumejaa wanawake wanaharakati wanaotaka haki sawa 50 kwa 50. Huku kanda ya kati, hayo mambo wanafanya wanawake. Tangu nimepanga sijawahi kufanya usafi chooni wala bafuni. Sisi wanaume kazi yetu ni kununua vifaa vya usafi na sabuni tu.
Pole sana.
 
Pole sana

Wanaume wa dar bana. Huko Dar kumejaa wanawake wanaharakati wanaotaka haki sawa 50 kwa 50. Huku kanda ya kati, hayo mambo wanafanya wanawake. Tangu nimepanga sijawahi kufanya usafi chooni wala bafuni. Sisi wanaume kazi yetu ni kununua vifaa vya usafi na sabuni tu.
Pole sana.
Ndo madhara ya kukulia vijijini ,wanawake hawajaelimika na kuchangamka,
 
Wenzio hapa kila tukipika lazima masufuria tuliyopikia tumkabidhi baba mwenye nyumba kwanza kabla ya kuyaosha, ila sihami ng'oo tutabanana hapa hapa!
Duh, hii Kali Mkuu! Mnampa masufuria ili afanye nini nayo Mkuu?? [emoji15][emoji15]
 
Yupo mmoja aliwahi kunichaji hela ya kunya mgeni wangu aliekuja kwa ajili ya interview nikamuachia rum siku 3!

Eti ningetoa taarifa kwa boya mmoja ambaye ni mpangaji mwenzetu ila ana act kama kijumbe wa pale magetoni! Nikampa 20000 ila nilienda lipa pengine nikahamisha vitu vyangu na kupaacha pamefungwa mpaka mda ulipoisha nikakabidhi funguo!
😀😀😀 Aisee na wewe ukakomoa! Poleni kuna wengine ni shida kwa kweli
 
Kiukweli naishi na mother house ila ndiyo kila mtu busy na mambo yake, ni salamu tu na stories kidogo,kuhusu usafi alisema atasimamia shoo zote za usafi ila tutachangia kidogo so kwangu it's ok kabisa.

Na anatujali wapangaji wake kipindi cha covid na kujifukiza alikua anaandaa mchanganyiko anatuamsha asubuhi tujifukize, akiona kimya umechelewa kuamka maybe anakuita ajue unaendeleaje isijekua umezidiwa humo ndani. 👏
Kweli kabisa sio wenye nyumba wote ni wakorofi.. wengine ni wema sana
 
ukilipa kodi yangu sina time na wewe kabisa. shida ukichelewa kulipa halafu ukae kimya,nakuwashia moto mbaya sana
 
Hao wapangaji wenzio wote Wameolewa? Kama huna Hela Inamisha mgongo bro. Hakuna namna
 
Muhimu hama nyumba za, zamu ya maji zamu tska, zamu kufagia au Zamu ya kudeki uani ama chooni.

Panga nyumba yenye choo cha kwako na eneo linalojitegea.
La sivyo tafuta bint wa kazi, atakae kuja, kukusaidia kazi za kutwa, kulala kwao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom