Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 718
- 1,203
Hii nyumba niliyopanga mama mwenye nyumba anaishi hapa hapa, kuna kitu kinanikwaza mno
Wiki iliyopita narudi gheto akaniita akaniambia kuna ratiba ya kudeki choo nikamwambia sawa haina shida lakin mimi kutokana na mishe zangu naondoka mapema sana saa 11 alfajiri siwezi kudeki nitakuwa nanunua vifaa kama ufagio na sabuni n.k, lakini mama mwenye nyumba amekazanaa amenyooka na mimi nideki chooni
Kodi ikiisha nasepa mapema tu, kuishi na mama mwenye nyumba tabu