Nyumba ya ndoto zangu

sijajenga wala kumiliki nyumba ila najua ni gharama kiasi gani,Rafiki zangu wamejenga
lakini naamini ni kupambana tu Boss japo ni kazi
Yani mkuu ukishakuwa na kiwanja cha kujenga, mimi naaamini ujenzi ni kitu kirahisi sana... kitu kingine ni kuondoa papara... mtu anataka kujenga leo ahamie kesho.. mimi nakwambia hta ikinichukua miaka 10 nyumba ninayotaka kujenga nitajenga tuu... Nitajikisanya hata nikipata laki nitaaitupia kwenye ujenzi.
 
una mawazo kama yangu mkuu,yani mimi sina haraka,nitaendelea kuishi vinyumba vya kupanga tu na uzuri sina familia,nataka nikishusha mjengo uwe mkali yani niishi hapo muda mtefu wakati nikifanya miradi mingine
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…