Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,747
- 9,012
kwann mkuu?Nyumba ninayoipenda lakn sitaweza kuimiliki mpaka nakufaView attachment 1447857
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
kwann mkuu?Nyumba ninayoipenda lakn sitaweza kuimiliki mpaka nakufaView attachment 1447857
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu mbona easy tu hiyo,au una umri mkubwa ?,kwa sisi vijana hiyo ndani ya miaka 8 hivi tunamalizaNyumba ninayoipenda lakn sitaweza kuimiliki mpaka nakufaView attachment 1447857
Sent using Jamii Forums mobile app
ewaaah!!! hizo sasa ndio nyumba za ndoto zangu,nitashusha hii mijengo naipendaView attachment 1447872
Nitatoa 😀
Nyumba sio matako kila mtu awe nayo mkuuKumbe Pamoja na umuch know huna nyumba?
Nina umri Wa kawaida tu.. Kama umeshawahi kujenga na kumiliki nyumban unaweza kunielewamkuu mbona easy tu hiyo,au una umri mkubwa ?,kwa sisi vijana hiyo ndani ya miaka 8 hivi tunamaliza
Kwanza uwanja mwenyew ulivyotafutiwa hyo level sio utoto, hyo labda nibahatishe kubomboa A/c ya chenge iliyoko uswis
sijajenga wala kumiliki nyumba ila najua ni gharama kiasi gani,Rafiki zangu wamejengaNina umri Wa kawaida tu.. Kama umeshawahi kujenga na kumiliki nyumban unaweza kunielewa
Sent using Jamii Forums mobile app
nenda goba kama shida ni mwinuko , tena bei chee totauf na tambarakeKwanza uwanja mwenyew ulivyotafutiwa hyo level sio utoto, hyo labda nibahatishe kubomboa A/c ya chenge iliyoko uswis
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani mkuu ukishakuwa na kiwanja cha kujenga, mimi naaamini ujenzi ni kitu kirahisi sana... kitu kingine ni kuondoa papara... mtu anataka kujenga leo ahamie kesho.. mimi nakwambia hta ikinichukua miaka 10 nyumba ninayotaka kujenga nitajenga tuu... Nitajikisanya hata nikipata laki nitaaitupia kwenye ujenzi.sijajenga wala kumiliki nyumba ila najua ni gharama kiasi gani,Rafiki zangu wamejenga
lakini naamini ni kupambana tu Boss japo ni kazi
una mawazo kama yangu mkuu,yani mimi sina haraka,nitaendelea kuishi vinyumba vya kupanga tu na uzuri sina familia,nataka nikishusha mjengo uwe mkali yani niishi hapo muda mtefu wakati nikifanya miradi mingineYani mkuu ukishakuwa na kiwanja cha kujenga, mimi naaamini ujenzi ni kitu kirahisi sana... kitu kingine ni kuondoa papara... mtu anataka kujenga leo ahamie kesho.. mimi nakwambia hta ikinichukua miaka 10 nyumba ninayotaka kujenga nitajenga tuu... Nitajikisanya hata nikipata laki nitaaitupia kwenye ujenzi.
andaa tofali kama 4000 inawezekana
Hapo kwenye fensi kwa mji kama Dar itabidi uweke na waya wa umeme kuzunguka fensi,maana unaweza ukakuta magari yako yote asubuhi moja yako kwenye mawe yame yamebakia body tupu...
Wewe kibonge wa Marangu nakujalia upate kama hiiNdugu mtazamaji nipo hapa..ikawe kheri kwenye ndoto zenu.
Kibonge usiekuwa na shida na mtu!
Uwiiii..kajumba katraaam ivyo..na ikawe ivyo n Ameeen.Wewe kibonge wa Marangu nakujalia upate kama hiiKibonge usiekuwa na shida na mtu!View attachment 1448013
Siku wakiwa wanaiuza kwa mnada usiache kuniita😂View attachment 1447855
Nikipata hela za urithi nitajenga kama hii..
Sawa mkuu kila la kherisijajenga wala kumiliki nyumba ila najua ni gharama kiasi gani,Rafiki zangu wamejenga
lakini naamini ni kupambana tu Boss japo ni kazi
ahsante mkuu,huyo poti Kwenye Avatar yako bila shaka ni mkazi wa DSM