RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,821
- 129,714
Hizi ni nyumba mbili aka semi detached. Two in one.
Hizi ni nyumba mbili aka semi detached. Two in one.
Aisee hii ndiyo yenyewe sasa, kighorofa floor 1 tu😍Nataka nikuhonge hii kwa sababu umekuwa msumbufu sana kwangu nione kama utachomoa!View attachment 1454633
Rafiki hupendi ya ghorofa nyingi?Aisee hii ndiyo yenyewe sasa, kighorofa floor 1 tu![]()
Napenda, ila napenda zaidi floor 1 tu, ghorofa nyingi kwa kuishi familia naona ni kubwa sana, hayo yanafaa kuwa hotels ama offices zaidi.Rafiki hupendi ya ghorofa nyingi?
Mimi niliona hii, Moyo wangu ukaenda mbio nikasema "One day YES".
View attachment 1447855
Nikipata hela za urithi nitajenga kama hii..
Nyumba ninayoipenda lakn sitaweza kuimiliki mpaka nakufaView attachment 1447857
Sent using Jamii Forums mobile app