ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,017
- 7,220
Japokuwa kweli wamefanya usafi wa mazingira lakini, si wakiwango cha kuhoji kama anawasaidi au laa. Ni usafi wa kawaida na wakijamaa ambao kwa familia yenye mfumo wa kijamaa haustahili kuhojiwa.
Wasaidizi wapo na wanafanya kila kilichowapeleka pale lakini watu kama jeshi linapofika kwa mtu muhimu kama yule, linamatakwa yake yakufanya usafi, kumbuka jeshi linastaili yake ya usafi, kama wewe ulifyekea juu nyasi wao watafyekea chini.
Hivyo sio kweli kwamba kuna uchafu wa kutisha mkuu.
Hawa wanajeshi walifika jana asubuhi,at 08;30 hours. Mimi nilikuwa sifahamu kuhusu ujio wao,kwa hiyo nikawa natazama dirishani,wondering what is the problem,wondering if they have come to arrest me. Zile ni combat tu wamevaa,wale ni Jeshi la Kujenga Taifa. Baadaye nikaona ilikuwa clearly walikuwa wamekuja kufanya usafi.
Hawa wanafika mara kwa mara. The last time they came it was six months ago.
Actually mimi ndio nilikuwa nime-complain kwamba wale gardeners wamekuwa overworked,nadhani ndio baadaye someone had an idea na hawa wanajeshi wakaitwa. Niliwaona reporters lakini nilidhani ni reporters wa Jeshi,sikujua wametoka ITV.
Ni vizuri wamekwenda nje kufyeka yale machaka,kwa sababu some confused youths,wanataka kufanya mapenzi kwenye machaka,not understanding kwamba wanaweza kuumwa na nyoka,cobras.
Muhimu siyo kuakata majani,muhimu ni kwmba wao wanafika,wanaonyesha fealty na loyalty kwa Mama Maria,that is something that can calm her in this late hour of her life.
Sometimes wanafika wafungwa huku kufanya usafi. Lakini Lulu bado hajafika. By the way,it was very sad concerning that kid,that such a thing should happen,that her life is being wasted. Ingekuwa amri yangu,ningemwachia huru,unajua wasanii ni very important,katika kupatanisha watu,to make people forget their differences. Kwa sababu binadamu hawakuumbwa kupendana,ila wasanii ndio wanatuleta pamoja.
Mbona majibu yenu yanapingana?
Inabidi muwe na msemaji wa familia sasa...