Analipwa pesa za kutosha
wakata nyasi sio lazima watoke serikalini
Ana mali za kutosha vikiwemo viwanja Mbezi beach ambavyo amevitelekeza na sasa vinatumiwa na majambazi!!
Analipwa pesa za kutosha
wakata nyasi sio lazima watoke serikalini
1.) Hiyo sumu na wewe ulihusika kupeleka? Mimi siwezi kufahamu, kwa kuwa hizi ni zile habari za kwenye vijiwe vya gahawa. Wamalawi bwana!! Eti mawasiliano tokea hapo hayakuwa mazuri! Uliyajuaje ya ndani ya nyumba na wakati wewe kazi yako ilikuwa kukata nyasi nje?Wee inaonekana hujui chochote kuhusu huyu mama, Unafahamu kuwa alishawah kutumwa na wazungu amwekee Nyerere sumu kwenye msos na yee akakubali?? Bahati nzur mzee alishtukia, na toka siku hiyo mahusiano yao ndan ya nyumba hayakuwa mazur..! Uzito gan unampa? Kwa Lipi? Then kumwambia mtu ni mchafu sio kumvunjia heshima, ni kumtaka abadirike. Leo wameenda wanajeshi kufyeka majani nyumban kwake, kesho ataenda nan? wewe? Mwisho; Mi sio Mmalawi ni Mtz, Bora69 ndo nin?? Kichwa chako..!
Nimetoka kuangalia ITV wameonesha wanajeshi wa Tanzania,wameenda kumtembelea nyumbani kwake na kusaidia katika kazi za nyumbani.
Nimeona nyasi walizokuwa wanafyeka wanajeshi hao,kweli zinatisha. Ina maana Mama huyu hajapewa wafanyakazi wa kusaidia kuweka usafi nyumbani kwa mtu muhimu kama huyu?.
kama kuna mhusika humu ndani na anaweza kusaidia kurekebisha mambo.
Nawasilisha.
nimetoka kuangalia itv wameonesha wanajeshi wa tanzania,wameenda kumtembelea nyumbani kwake na kusaidia katika kazi za nyumbani.
Nimeona nyasi walizokuwa wanafyeka wanajeshi hao,kweli zinatisha. Ina maana mama huyu hajapewa wafanyakazi wa kusaidia kuweka usafi nyumbani kwa mtu muhimu kama huyu?.
Kama kuna mhusika humu ndani na anaweza kusaidia kurekebisha mambo.
Nawasilisha.
ha haaaaaaaaaaaa, umenichekesha sana. kwani wewe baba yako aliwahi kuwa rais/baba wa taifa?Amezaa na ana watoto as well......sie mama zetu wanakatiwa nyasi na nani?????
Wee kumbe ni **** kweli, em soma comment yangu vzr. Kumbe huna unalojua unatetea uvivu tu..? Kiwanja cha pemben ndo kipi?? Sio cha mama Maria, kwahiyo ni cha nan?? Unajua kiswahil wee, em tofatisha neno mahusiano na mawasiliano hapo juu?? Mkia wako wee, na ujiandae yale majan yakiota uende ukayafyeke wee!! Usinicheck tena mana nimegundua huna ubongo wa kutosha, tafuta size yako..!!1.) Hiyo sumu na wewe ulihusika kupeleka? Mimi siwezi kufahamu, kwa kuwa hizi ni zile habari za kwenye vijiwe vya gahawa. Wamalawi bwana!! Eti mawasiliano tokea hapo hayakuwa mazuri! Uliyajuaje ya ndani ya nyumba na wakati wewe kazi yako ilikuwa kukata nyasi nje?
2.) Kama uliangalia taarifa vizuri na ulielewa Kiswahili ile sehemu walikuwa wanafyeka wanajeshi ilikuwa ni kiwanja cha pembeni,na sio kiwanja cha Mama Maria. Afyeke kwa jirani kesho wewe huyu huyu Chiya Chibi mnyasa utuwekee habari humu kwamba Mama Maria atapeli kiwanja cha jirani yake!
Wewe ni mtovu wa Nidhamu huna lolote jipya.
rafiki, kwani hao wanajeshi waliitwa au walienda kumsalimia ndo wakaamua kumsaidia kazi?Kwanza kukata nyasi nayo ni kazi ya kuita jeshi?
seriously ..?
Mapovu yanakumwagika mtu mzima Kama kawaida yenu Wanyasa. Povu kibao Kama la sabuni ya Komesha..lakini halisafishi madoa. PulizaaaaaWee kumbe ni **** kweli, em soma comment yangu vzr. Kumbe huna unalojua unatetea uvivu tu..? Kiwanja cha pemben ndo kipi?? Sio cha mama Maria, kwahiyo ni cha nan?? Unajua kiswahil wee, em tofatisha neno mahusiano na mawasiliano hapo juu?? Mkia wako wee, na ujiandae yale majan yakiota uende ukayafyeke wee!! Usinicheck tena mana nimegundua huna ubongo wa kutosha, tafuta size yako..!!
Nimetoka kuangalia ITV wameonesha wanajeshi wa Tanzania,wameenda kumtembelea nyumbani kwake na kusaidia katika kazi za nyumbani.
Nimeona nyasi walizokuwa wanafyeka wanajeshi hao,kweli zinatisha. Ina maana Mama huyu hajapewa wafanyakazi wa kusaidia kuweka usafi nyumbani kwa mtu muhimu kama huyu?.
kama kuna mhusika humu ndani na anaweza kusaidia kurekebisha mambo.
Nawasilisha.
ha haaaaaaaaaaaa, umenichekesha sana. kwani wewe baba yako aliwahi kuwa rais/baba wa taifa?
Maria Nyerere mama mpendwa kwaheri mama, twakutakia mapumziko mema. Kumbe ndo hayo ya kuishi na kichaka duh mafisadi wamemsahau mama yetu
Anajiita Borat69; Ndiyo maana ulisema hivi hapa chini!! Hii stori siyo mara ya kwanza kusikia mkuu. Hebu dadavua zaidi tupate yaliyojificha mkuu.Wee inaonekana hujui chochote kuhusu huyu mama, Unafahamu kuwa alishawah kutumwa na wazungu amwekee Nyerere sumu kwenye msos na yee akakubali?? Bahati nzur mzee alishtukia, na toka siku hiyo mahusiano yao ndan ya nyumba hayakuwa mazur..! Uzito gan unampa? Kwa Lipi? Then kumwambia mtu ni mchafu sio kumvunjia heshima, ni kumtaka abadirike. Leo wameenda wanajeshi kufyeka majani nyumban kwake, kesho ataenda nan? wewe? Mwisho; Mi sio Mmalawi ni Mtz, Bora69 ndo nin?? Kichwa chako..!
Kwa kifupi huyu mama ni mchafu tu, mara nying mazingira ya home kwake huo ovyo ovyo..!! Naamin serikali inampa pesa kila mwez kama ilivyowah kusikika mwanzon, ila kwasababu ya uchafu wake ndo mana tunaona madudu hapo kwake, usafi kama huo hauhitaji pesa.. Tusiilaumu serikali, alaumiwe yee mwenyewe...!!
Wee inaonekana hujui chochote kuhusu huyu mama, Unafahamu kuwa alishawah kutumwa na wazungu amwekee Nyerere sumu kwenye msos na yee akakubali?? Bahati nzur mzee alishtukia, na toka siku hiyo mahusiano yao ndan ya nyumba hayakuwa mazur..! Uzito gan unampa? Kwa Lipi? Then kumwambia mtu ni mchafu sio kumvunjia heshima, ni kumtaka abadirike. Leo wameenda wanajeshi kufyeka majani nyumban kwake, kesho ataenda nan? wewe? Mwisho; Mi sio Mmalawi ni Mtz, Bora69 ndo nin?? Kichwa chako..!
Hahahahhaha!! naona mmekamiana!! Ninahamu niwe refa wenu...Mapovu yanakumwagika mtu mzima Kama kawaida yenu Wanyasa. Povu kibao Kama la sabuni ya Komesha..lakini halisafishi madoa. Pulizaaaaa
:A S thumbs_up:Analipwa pesa za kutosha
wakata nyasi sio lazima watoke serikalini
:A S thumbs_up:Amezaa na ana watoto as well......sie mama zetu wanakatiwa nyasi na nani?????
:A S thumbs_up:si bora yeye anaetembelewa na wanajeshi kumsaidia, wake wengine wa wastaafu waliokwisha fariki nani anawakumbuka hata kuwataja?
Au nao hawana haki?
:A S thumbs_up:mambo mengine yanashangaza sana, na sio wanajeshi pekee, na waandishi juu waje kushuhudia nyasi zinakatwa.
:A S thumbs_up:Mambo mengine jamani, hivi kweli hata kukata nyasi mpaka jeshi liende? sawa huyu mzee alifanya mambo mengi makubwa lakini sio kila kitu hii serikali ifanye..
:A S thumbs_up:........:clap2::clap2::clap2:.......:closed_2:Kwa kifupi huyu mama ni mchafu tu, mara nying mazingira ya home kwake huo ovyo ovyo..!! Naamin serikali inampa pesa kila mwez kama ilivyowah kusikika mwanzon, ila kwasababu ya uchafu wake ndo mana tunaona madudu hapo kwake, usafi kama huo hauhitaji pesa.. Tusiilaumu serikali, alaumiwe yee mwenyewe...!!
Where is Ganesh when you need him?
Maria Nyerere mama mpendwa kwaheri mama, twakutakia mapumziko mema. Kumbe ndo hayo ya kuishi na kichaka duh mafisadi wamemsahau mama yetu
Hawa wanajeshi walifika jana asubuhi,at 08;30 hours. Mimi nilikuwa sifahamu kuhusu ujio wao,kwa hiyo nikawa natazama dirishani,wondering what is the problem,wondering if they have come to arrest me. Zile ni combat tu wamevaa,wale ni Jeshi la Kujenga Taifa. Baadaye nikaona ilikuwa clearly walikuwa wamekuja kufanya usafi.
Hawa wanafika mara kwa mara. The last time they came it was six months ago.
Actually mimi ndio nilikuwa nime-complain kwamba wale gardeners wamekuwa overworked,nadhani ndio baadaye someone had an idea na hawa wanajeshi wakaitwa. Niliwaona reporters lakini nilidhani ni reporters wa Jeshi,sikujua wametoka ITV.
Ni vizuri wamekwenda nje kufyeka yale machaka,kwa sababu some confused youths,wanataka kufanya mapenzi kwenye machaka,not understanding kwamba wanaweza kuumwa na nyoka,cobras.
Muhimu siyo kuakata majani,muhimu ni kwmba wao wanafika,wanaonyesha fealty na loyalty kwa Mama Maria,that is something that can calm her in this late hour of her life.
Sometimes wanafika wafungwa huku kufanya usafi. Lakini Lulu bado hajafika. By the way,it was very sad concerning that kid,that such a thing should happen,that her life is being wasted. Ingekuwa amri yangu,ningemwachia huru,unajua wasanii ni very important,katika kupatanisha watu,to make people forget their differences. Kwa sababu binadamu hawakuumbwa kupendana,ila wasanii ndio wanatuleta pamoja.