Hivi upinzani maana yake ni Chadema?
Mbona sisikii vyama vingine kama CHAUMA, ACT, TLP, na vingine? Au hivi ni matawi ya ccm?
Huenda hawa cdm ni mawakala haiwezekani ni wao tu
C mlisema anaupiga mwingi..sasa anauwapigiaa nyie mwingi..tulieeni..shida yenu nyie ni wajinga yaan hamuelewek mnataka nn..mnaendeshwaa na wafuasi wa ccm..
Muondoe pale ikulu huyo Samia wako uone kama atalaumiwa tena, maamuzi yake ya hovyo ndio yanasababisha mambo yachukuliwe personal, learn to think japo najua akili zako ndogo.