Nyumba ndogo, we acha tu!

Nyumba ndogo, we acha tu!

ko sa hivi we ndoa yako iko okay.........

wanaume wengine hawaridhiki unaweza kumfanyia yote hayo na nje akatoka tu

Na mwanamke pia unaweza mpa kila kitu kilichopo hapa duniani na ukamgegeda atakavyo mwisho wa siku anatoka nje ya ndoa
 
Kuna wanawake wanajua kujali. Ila wanaume nasi tuna kiburi na tamaa. Mwanaume ukisimama vizuri nafasi yako toka mwanzo (wakati wa uchumba/urafiki) kina mama wengi ni wapole/waelewa.
 
Ratio kulingana na tafiti ni kuwa kila watu binadamu kumi sita ni wanawake na wanne ni wanaume. Sasa tusaidiane jee hawa wanawake wawili watapata mambo toka wapi? Ni swali tu jamani.

Narekebisha kidogo Mkuu hapo! Sita ni KE. na 4 ni ME ! Hapo kwenye ME toa 1 ni W.a.s.e.n.ge.... Hivyo hao nao wanaongeza idadi ya wanawake.
Jibu sahihi ni ME 3 = KE 7..
Miaka inavozidi kwenda idadi ya ME itazidi pungua na kubaki 1 kwa KE na S.E.NGE 9
 
Uzi wako japo unatia matumaini umeniacha na maswali....

Ni nini kimemfanya mkeo abadilike?

Wewe kuachana na nyumba ndogo au?

Isije ikawa hakuwa na shida yeyote ila ulikuwa unalazimisha ili ku justfy cheating...

Yani mtu anabadili tabia tu ghafla?

Ni kweli, pengine nami nilikuwa na makosa. Kutokuwa karibu mara nyingi kunaleta matatizo. Nilivyoamua kuchukua hatua kuachana na vidumu, nilijikuta nikawa karibu na mke wangu, nikampa muda wakumsikiliza zaidi na kutulia home. Nae akabadilika. Unajua sio rahisi kuachana na vidumu maana vinakoleza vibaya mno!
 
Hhahahaaha lazima tu ladha izidi...nyumba ndogo wanatumia nguvu nyingi kuiba waume zetu thats why mwisho wa siku wanaune wanajuta....

Kweli kabisa, wanakamua vibaya! halafu ni kama wana dawa fulani maana ukianza hata kamuakamua hiyo huioni! Hata kama yupo Kibaha au wapi utamfuata tu!
 
Wanaume wanaongoza kuwa kwenye risk ya shambulizi la moyo.....causes mojawapo ni Nyumba ndogo...........+madawa ya waganga basi hali tafrani...HURUMA!
Ni kweli wanaume wapo wachache ila haina shida bora nikuache nisubiri mtoto wako wa kiume utakayezaa na kimada akue 'nimlee'.....No stress!
 
asante sana mkuu kwa hayo ila ujue wengine ni hulka yao tu kuwa watalaleshi wala c kukosa kitu kwake na km ni kukimbia matatizo ya home nakubaliana na wewe kuwa hilo c suluhisho bali tunapaswa kukaa na wenzetu kuwekana sawa tukubali kubadilika pale inapopaswa
 
Kwani kwenye hayo mabucha nyama ilikuwa ile ile au tofauti?
 
Heee jamani niulize mm kidumu kimebeba mume wangu amezaa nae mtoto nimekuja kugundua wakati mtoto ameshazaliwa ana miezi sita sikuamini macho yangu kuna usemi unasema:mwanamke kujiamini dhubutu yako lazma ukae kama yule mnyama anaitwa Swala vinginevyo yatakukuta yaliyonikuta mm inauma sana,ila nashukuru Mungu nilikaza roho nikatengana nae ila cha kushangaza bado ananifuatafuata sijui kidumu kimepunguza speed.
 
he he but cdhan ka ulimwambia ulitoka nje ya ndoa ili akusamehe na roho yako iwe na aman:A S 11:
 
Back
Top Bottom