Nyumba ndogo kaficha funguo za gari! Nifanyeje?

Wewe hakuna kitu kabisa...hebu hangaika na kazi za nyumbani (homework)..

Labda usubiri fungate part II kama teacher gfsonwin.....lol!!

Ushauri wangu...kumbuka kuwa aorta inatakiwa kubaki salama...

Babu DC!!
si ulishaenda kulala lakini?
bibi hajamaliza kupanga vyombo?
maana najua huwa tunapanga vyombo kwa kutumia macho yenu, lol!
utajiju kama hujaelewa
 
babu babu.... unadhani wamama wa siku hizi kama sisi wa zamani tunaambiwa mumeo yupo mlango wa tatu tunamsubiri na maji ya kuoga ya moto? siku hizi hawa hawana nini wala nini....... huyo mtu utakuta kajitundika mwenyewe au kashikiwa fo=imbo ajitundike kwa hiyari yake.......

Akirudi unachapa vibao, asubuhi hawezi kuwahadithia watu 'jana wife alinichapa vibao'.
 
Wewe hakuna kitu kabisa...hebu hangaika na kazi za nyumbani (homework)..

Labda usubiri fungate part II kama teacher gfsonwin.....lol!!

Ushauri wangu...kumbuka kuwa aorta inatakiwa kubaki salama...

Babu DC!!

Babu nilishakwambia kwasasa usiniite.
nina vipind vifupi sana vya mapumziko.
 
FP, hapa chini unawafundishe watu nini?!
nikupe tips mdogo wangu......
ukienda nyumba ndogo hakikisha huendi na FUNGUO ZA OFISINI, na ukiweza nenda na nguo za ziada (uzifiche). na kama hutajali basi nenda na taxi.
hawakawii kuloweka nguo ili usiondoke

Njia hii, inaweza kukuokoa, ila usirudie tena, lol!
mdanganye mwambie mbadili kiwanja atatoa funguo halafu utajuwa cha kufanya usionyeshe mapepe ya kutaka kurudi home mwambie leo tunakuwa wote mpk asubuhi akitoa tu funguo unamubadilikia
 
nikupe tips mdogo wangu......
ukienda nyumba ndogo hakikisha huendi na FUNGUO ZA OFISINI, na ukiweza nenda na nguo za ziada (uzifiche). na kama hutajali basi nenda na taxi.
hawakawii kuloweka nguo ili usiondoke

Yaani wee ni mtaalamu wa nyumba ndogo! Haaaaa.!

Yaani Ukifungua ofisi ya msaada wa mawazo . Utawakusanya kweli :D
 
ila na wewe mzembe.....Inakuwaje unamkabithi malaya ufungua wa gari? tena huna uzoefunae? pole?..ila umejitakia
 
nenda pale polisi oysterbay au kituo chochote cha polisi kilichokaribu
umpe polis sh 50 alfu mwambie akuweke ndani kisha ampigie simu mkeo
amwambie umekamatwa kwa kosa la kugonga mtu na mkeo akudhamini
leo lala small house kesho asbh ndio mkeo aje kukuwekewa dhamana
na supu akupikie pia,,,,,
ukiwa na small house lazima ujue mbinu za kuishi mjini..

Mkuuu unatisha aiseee!!!!
 
Bora kaficha za gari kuna namna unaweza kuwa na sababu kwa mkeo. Angekuwekea ch**i yake kwenye mfuko wako bila kujua lazma mama wa kikurya angekutoa meno
 
If you are man enough to cheat to your wife be man enough to tell her the truth. Muombe shetani wako aliyekupeleka huko akuokoe kwa hilo ama nae keshakutosa? Mi nilidhan umemchoka wife wako ndo mana ukaenda, sasa kama hujamchoka sim tu inakuchahafya ulienda kufanya nini wakati hata huko umefuata kitobo ulichoacha nyumban? Kama ni maufundi si ungemfundisha wako? Kama ni warembo kwani kabla hujaoa hukuwaona na usisahau hata wako alikuwa mrembo.
 
Madingi na Nyumba Ndogo.jpg
Bujibuji hii ni picha yako?
 
Back
Top Bottom