Nyumba ndogo kaficha funguo za gari! Nifanyeje?

Akishindwa kusolve ngoma ndogo kama hii, itabidi Bujibuji ajiuzulu mara moja....

Zipo ngoma hadi kichwa kinawaka moto bwana...hii hakuna kitu kabisa....

Babu DC!!
Haya sasa itabidi aje ajifunze maujanja kutoka kwako. Lkn kumbuka ana mama wa kikurya shauri yako ukijulikana unamfundisha maujanja hata hivyo FP kasha maliza kila kitu . Namhurumia rafiki yangu FP kama Bujibuji atafuata ushauri ule na mama wa kikurya akabaini kama my friend amechangia sijui ugomvi huo ataamua nani maana mi najua neno moja tu mura.
 
Last edited by a moderator:

ha haaa, huyo mama wa kikurya naona anakutesa sana rafiki yangu......
usihofu wala nini... tuna bouncer snowhite...... anafanya zoezi kila siku kumlinda dada mkubwa....... akitokea huyo mkurya mbona atajuuutaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Hapana unajua wengine wameanza kuingia kwenye michezo ya cheating uzeeni sasa sio kosa lake huenda ndio anaanza mweee.
wenzio huku uzeeni ndo wanatulia
haoni mwenzie babu Dark City sasa ameshakuwa retired? inabaki "for bibi's use only", lol!
 
Last edited by a moderator:
Afadhari umenitoa mashaka maana mi nawaogopa sana hawa ukizingatia mimi siwezi kabisa ugomvi labda wa maneno hapo naweza kujitutumua kidogo lkn sichelewi kutoa chozi. Bora snowhite yupo bouncer wetu namuobea awe na afya njema huko aliko.
 
ha haaa, bouncer wiki iliyopita alinipiga mkwara nikichokoza watu nisimwite..... yeye yupo kwenye maandalizi, lol! siku hizi nimekuwa careful
 
wenzio huku uzeeni ndo wanatulia
haoni mwenzie babu Dark City sasa ameshakuwa retired? inabaki "for bibi's use only", lol!
Sasa huyu anaamkia wenzie walikolalia. Si unajua kuna zile hela za kujiandaa kustaafu pengine ndio wameanza kujipendekeza kwake ili umri ukisogea kidogo waweze kumiliki mali yote. Chezea watoto wa mujini weye, acha kabisa wana mipango kama nini sijui. Yaani hapo ukute washampigia mahesabu hadi basi
 
ha haaa, bouncer wiki iliyopita alinipiga mkwara nikichokoza watu nisimwite..... yeye yupo kwenye maandalizi, lol! siku hizi nimekuwa careful
Hahahahahaah nae yule ana mkwara kweli. Yaani kakupiga stop uache uchokozi. Naamini akielewa situation yenyewe anaweza kuokoa jahazi.
 
Hahahahahaah nae yule ana mkwara kweli. Yaani kakupiga stop uache uchokozi. Naamini akielewa situation yenyewe anaweza kuokoa jahazi.
ha haaaa, dadake mwenyewe mie kwani ana mwingine?
hatakuwa na choice zaidi ya kuja kunisaidia
 
nenda pale polisi oysterbay au kituo chochote cha polisi kilichokaribu
umpe polis sh 50 alfu mwambie akuweke ndani kisha ampigie simu mkeo
amwambie umekamatwa kwa kosa la kugonga mtu na mkeo akudhamini
leo lala small house kesho asbh ndio mkeo aje kukuwekewa dhamana
na supu akupikie pia,,,,,
ukiwa na small house lazima ujue mbinu za kuishi mjini..

si ajabu wife ameshapita vituo vyote vya polisi kwa wasiwasi Mr hajarudi nyumbani!!!
 
you know me babu.... I am always courageous.......
akuje sasa hapa aone, lol!
Naona mwenyewe Bujibuji kakimbia sijui ndio kachanganyikiwa na hii issue . Ngoja aje umpe ushauri nasaha kua watu wazima hawasumbuliwi na mambo madogo kama hayo.
 
Last edited by a moderator:
ha haaaa, hili siyo dongo mtu mzima mwenzangu?
nani sasa hana kutimiza wajibu?
unanichokoza........ haya msalimu bibi

Wewe hakuna kitu kabisa...hebu hangaika na kazi za nyumbani (homework)..

Labda usubiri fungate part II kama teacher gfsonwin.....lol!!

Ushauri wangu...kumbuka kuwa aorta inatakiwa kubaki salama...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Sasa huyu anaamkia wenzie walikolalia. Si unajua kuna zile hela za kujiandaa kustaafu pengine ndio wameanza kujipendekeza kwake ili umri ukisogea kidogo waweze kumiliki mali yote. Chezea watoto wa mujini weye, acha kabisa wana mipango kama nini sijui. Yaani hapo ukute washampigia mahesabu hadi basi
wewe....... ngoja moto umuwakie kidogo, lol!
 
Back
Top Bottom