Nyumba ndogo kaficha funguo za gari! Nifanyeje?

Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
43,251
Likes
40,834
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
43,251 40,834 280
Na umri wangu wa miaka 51 nilikuwa sijawahi kuangukia kwenye mtego.wa nyumba ndogo.
Juzi nikabahatika kujumuika na wana JF wenzangu pale Leo Tupo Hapa Pub, kwenye maongezi na kufahamiana nikajikuta nafsi yangu ikimdondokea dada mmoja ambaye leo ndio kanipa mamboz.
Baada ya majamboz na kukolewa na kinywaji dada kaficha funguo za gari yangu.
Dada kalewa chakari hakieleweki afanyacho na funguo anasema hajui alipoziweka.
Wife anapiga simu nirudi haraka nyumbani kuna dharura jamani nifanyeje mie na yula mamaa wa Kikurya mdogo wa Mwita Maranya?
Kwakweli nimekomeshwa na nimeibishwa sana leo SnowBall hebu njoo uokoe jahazi
 
Last edited by a moderator:
Fixed Point

Fixed Point

JF Bronze Member
Joined
Sep 30, 2009
Messages
11,314
Likes
111
Points
145
Fixed Point

Fixed Point

JF Bronze Member
Joined Sep 30, 2009
11,314 111 145
nikupe tips mdogo wangu......
ukienda nyumba ndogo hakikisha huendi na FUNGUO ZA OFISINI, na ukiweza nenda na nguo za ziada (uzifiche). na kama hutajali basi nenda na taxi.
hawakawii kuloweka nguo ili usiondoke
 
MwanajamiiOne

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined
Jul 24, 2008
Messages
10,476
Likes
113
Points
145
MwanajamiiOne

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined Jul 24, 2008
10,476 113 145
Hahaha Shemeji yangu leo yamekukuta..... fuata ushauri wa Da FP hapo juu............
 
Last edited by a moderator:
Fixed Point

Fixed Point

JF Bronze Member
Joined
Sep 30, 2009
Messages
11,314
Likes
111
Points
145
Fixed Point

Fixed Point

JF Bronze Member
Joined Sep 30, 2009
11,314 111 145
Hahaha Shemeji yangu leo yamekukuta..... fuata ushauri wa Da FP hapo juu............
unajua rafiki, kuna kipindi nilikaaga kwa uncle wangu, sikuwa namwelewa...
alikuwa na nyumba ndogo ambayo hata mkewe alikuwa anajua. yaani huyo uncle akitoka job break ya kwanza home, kwa mkewe. atapewa chakula anakula, anaoga, anabadili nguo.... anaita taxi anapelwkwa nyumba ndogo, hata kama atalala huko inampasa kesho asubuhi arudi home kuchukua funguo za ofisi na kubadili nguo ndo aende kwa ofisi...
siku moja (nikiwa nimeshaolewa) nilimwuliza uncle kulikoni? akaniambia hawa wa mtaa wa sita hawaaminiki.... anaweza kukuharibia hata kazi..... sasa sijui kwa nini wanawafwata!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:heh:
 
MadameX

MadameX

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2009
Messages
7,839
Likes
87
Points
145
MadameX

MadameX

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2009
7,839 87 145
Mwambie gari imeharibika huku unatafuta usatifiti wa kukata waya ili istart ikufikishe home.
 
Lokissa

Lokissa

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Messages
7,279
Likes
370
Points
180
Lokissa

Lokissa

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2010
7,279 370 180
nenda pale polisi oysterbay au kituo chochote cha polisi kilichokaribu
umpe polis sh 50 alfu mwambie akuweke ndani kisha ampigie simu mkeo
amwambie umekamatwa kwa kosa la kugonga mtu na mkeo akudhamini
leo lala small house kesho asbh ndio mkeo aje kukuwekewa dhamana
na supu akupikie pia,,,,,
ukiwa na small house lazima ujue mbinu za kuishi mjini..
 
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,679
Likes
2,806
Points
280
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,679 2,806 280
Kama ni manzi wa jf muambie Invisible amtishie kumpiga ban....
Unasema umemsololea miezi 3?
 
Last edited by a moderator:
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
15,618
Likes
6,134
Points
280
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
15,618 6,134 280
hiyo unayoita nyumba ndogo,ujue ndiyo nyumba kubwa ya wenzanko!kutesa kwa zamu
 
Comi

Comi

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Messages
3,340
Likes
487
Points
180
Comi

Comi

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2011
3,340 487 180
nikupe tips mdogo wangu......
ukienda nyumba ndogo hakikisha huendi na FUNGUO ZA OFISINI, na ukiweza nenda na nguo za ziada (uzifiche). na kama hutajali basi nenda na taxi.
hawakawii kuloweka nguo ili usiondoke
dah! ndugu unauzoefu balaa
 
masanzu

masanzu

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Messages
607
Likes
134
Points
60
masanzu

masanzu

JF-Expert Member
Joined May 6, 2013
607 134 60
mdanganye mwambie mbadili kiwanja atatoa funguo halafu utajuwa cha kufanya usionyeshe mapepe ya kutaka kurudi home mwambie leo tunakuwa wote mpk asubuhi akitoa tu funguo unamubadilikia
 
A2 P

A2 P

Senior Member
Joined
Mar 22, 2012
Messages
184
Likes
0
Points
0
A2 P

A2 P

Senior Member
Joined Mar 22, 2012
184 0 0
Bujibuji umenichekesha! Tafuta usafiri mwingine kesho kitaeleweka
 
Blaine

Blaine

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2012
Messages
2,280
Likes
14
Points
0
Blaine

Blaine

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2012
2,280 14 0
unajua rafiki, kuna kipindi nilikaaga kwa uncle wangu, sikuwa namwelewa...
alikuwa na nyumba ndogo ambayo hata mkewe alikuwa anajua. yaani huyo uncle akitoka job break ya kwanza home, kwa mkewe. atapewa chakula anakula, anaoga, anabadili nguo.... anaita taxi anapelwkwa nyumba ndogo, hata kama atalala huko inampasa kesho asubuhi arudi home kuchukua funguo za ofisi na kubadili nguo ndo aende kwa ofisi...
siku moja (nikiwa nimeshaolewa) nilimwuliza uncle kulikoni? akaniambia hawa wa mtaa wa sita hawaaminiki.... anaweza kukuharibia hata kazi..... sasa sijui kwa nini wanawafwata!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:heh:
huyo ni nyumba ndogo au mke mwenza? nijuavyo mie n/ndogo anafichwa au ndio mambo ya ''open marriage''?
 
Eiyer

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Messages
28,267
Likes
4,172
Points
280
Eiyer

Eiyer

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2011
28,267 4,172 280
We nenda tu kamwambie mkeo kuwa ufunguo ameuficha nyumba ndogo,kwan nini bwana?
 
Mhusika mkuu

Mhusika mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Messages
271
Likes
148
Points
60
Mhusika mkuu

Mhusika mkuu

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2013
271 148 60
Naomba namba yake ya cm,najua dawa yake hatasumbua huyo.Hata mm imewah nitokea nkamalza bla ubish!
 
Fixed Point

Fixed Point

JF Bronze Member
Joined
Sep 30, 2009
Messages
11,314
Likes
111
Points
145
Fixed Point

Fixed Point

JF Bronze Member
Joined Sep 30, 2009
11,314 111 145
huyo ni nyumba ndogo au mke mwenza? nijuavyo mie n/ndogo anafichwa au ndio mambo ya ''open marriage''?
hakuwa mke mwenza, maana hakuolewa na wala hakuwa anatambulika kwa familia ya mume, so alikuwa kimada tu
 
Dark City

Dark City

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2008
Messages
16,277
Likes
302
Points
180
Dark City

Dark City

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2008
16,277 302 180
mdanganye mwambie mbadili kiwanja atatoa funguo halafu utajuwa cha kufanya usionyeshe mapepe ya kutaka kurudi home mwambie leo tunakuwa wote mpk asubuhi akitoa tu funguo unamubadilikia

Hapa kuna element ya ukomavu na uzoefu...

Babu DC!!
 
UncleUber

UncleUber

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Messages
4,987
Likes
200
Points
160
UncleUber

UncleUber

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2011
4,987 200 160
FP una point za maana
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,275,227
Members 490,947
Posts 30,536,187