Nyumba ipi ni nzuri kati ya hizi mbili

MAUBIG

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
995
Points
1,000

MAUBIG

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
995 1,000
Hii ni nyumba ya kila mtu angependa kuwa nayo lakini.................................................................
 

Attachments:

babykailama

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2012
Messages
241
Points
195

babykailama

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2012
241 195
Nyumba ni zaidi ya kipande cha jengo! Unaweza kuta kuwa hii ni nyumba moja sasa sijui tunalinganisha nini?
Ninachosema ili uweze kulinganisha nyumba onyesha vyoo vyote, bafu, jiko, maeneo yote ya nyumba, vyumba vyote, samani zote, eneo la ukubwa, bustani kama hipo, usalama wa nyumba n.k

Maelezo machache kuhusu usilolijua yanaweza kukufanya kufanya maamuzi mabaya ya kujitia!!
 

Mocrana

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Messages
535
Points
195

Mocrana

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2011
535 195
wewe umenena vyema, ngoja mi nijitahidi kufanya yanayompendeza Mungu ili nikaka kwenye huko aliko yeye mana kama mwanadamu aliyepewa akili na Mungu amefanya hivyo itakuwaje kwa mji uliojengwa na Mungu mwenyewe?
Je umeona nyumba hii nyingine inayodumu milele............................................


TAFAKARI CHUKUA HATUA View attachment 73280
 

pembe

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
2,060
Points
1,225

pembe

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
2,060 1,225
Ameonyesha nyumba mbili hajui achague ipi ili aijenge au ainunue! Kwangu nyumba nzuri ni ile uliyoifikira mwenyewe kuwa iwe na vyumba vingapi vyoo vingapi nk. Vile vile unataka kuijenga mahali pa namna gani mwinuko au tambarare, eneo ni kubwa kisasi gani etc. Hayo mawazo yako ukimpatia mtaalamu anakutolea kitu safi kabisa. Vile vile usisahau uwezo wako kwani ndio utakaokufikisha mahali penyewe.
Nyumba ya milele ni kitu kingine kabisa mtasha anataka kuwekeza nyie mnataka awahi huko?
 

Forum statistics

Threads 1,392,799
Members 528,696
Posts 34,118,338
Top