Nyumba iliyojengwa Lushoto (Tanga) kwa ajili ya DJ. Don Nalimison iuzwe au wapewe CHADEMA kuwa Ofisi yao

Hii shida ya umeme na maji tutashuhudia mengi sana
 
Kama umri huo bado hujapata mtoto, basi ujiandae kuja kuitwa babu na mtoto wako.
 
Don lile hekalu ndio unasema mjengo wa kishamba?

Halafu hata kama hautaki mjengo acha wakae nduguzo. Hata mtoto wa mwenzio ni wako pia.
 
Tafuta uzi zake zote kuanzia kipindi anajiita deogratius kisandu nalimi..ndio itamjua ni nani...ana historia ndefu kidogo hapa jf..pia nenda fbk utapata info zake za kutosha..kisha ndio utajua ni mtu wa aina gani..ila kiufupi nati haziko sawa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kaka nafikiri hebu tafuta threads zake za humu ndan ndo utamjua DON... Yaan kama umesoma maandiko yake mawili bado sana.


Kuna DON mmoja tu humu... Yaan yeye ni Ubaridi kuliko Ubaridi wenyewe
Nimeambiwa kumbe alibadilisha jina, ndiyo maana nikawa simpati sawa sawa. Sasa nimeshampata Bw. Deo Kisandu wa zamani
 
Asante mkuu. Sikujua kama amebadilisha jina. Sasa nimempata Bw. Deogratius Kisandu. Inawezekana alipokuwa jela walimfanyia mambo mabaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…