Nyumba iliyojengwa Lushoto (Tanga) kwa ajili ya DJ. Don Nalimison iuzwe au wapewe CHADEMA kuwa Ofisi yao

Jagarld

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
2,237
2,000
Hivi huyu jamaa huwa anajielewa kuwa dish linasumbua ama anajikuta tu yuko Butimba gerezani
Ni Mungu tu amponye lakini hali imezidi kuwa mbaya, yeye ndo anaona anazidi kuimprove zaidi ya juzi kumbe bendera si nusu mlingoti Tena, inaenda kugusa ardhi Sasa.
 
Bwana PGO

JF-Expert Member
Mar 17, 2008
45,378
2,000
Hivi huyu jamaa anapata wapi pesa? Ameajiriwa? Anakula nini? Bundle? Smartphone? Long Live D.J nalimison
 
funzadume

JF-Expert Member
Jan 28, 2010
12,411
2,000
Kwa sisi akili kubwa Don tunamuelewa sana na ni mashabiki wake kindakindaki. Kuna albam yake ya nyimbo kadhaa uwa naisikiliza nikiwa safarini kwenye gari.

Don ni mtu safi sana ni mwanaharakati, mwanasiasa, mwalimu, mwanamuziki, producer wa video, graphic designer pia ni designer wa mavazi.

Mie ni shabiki wake kindakindaki
 
funzadume

JF-Expert Member
Jan 28, 2010
12,411
2,000
Dj DON NALIMISON ni mtoto wa Mzee Kisandu wa Shinyanga huko! Zamani alikuwa akitambulika kama Deo Kisandu, kabla ya kulikana hili jina lake kupitia Mwanasheria wake! Kitaaluma ni mwalimu wa zamani wa Mkolani Sekondari huko Mwanza Jiji!

Kwa sasa ni raia wa Marekani mtarajiwa, baada ya kugundua baba yake halisi ni Mnegro anaye fahamika kwa jina la Nalimi Curtis! (Sijui huyu Mnegro alikuja Bongo lini na kusababisha kutokea kwa huyu kiumbe mtata!!)

Aliwahi kufungwa miaka 3 gereza la Kitengule huko Mwanza kwa makosa ya "uchochezi"!
Jamaa ana vipaji lukuki! Ni mwalimu, ni Mwanasiasa, ni mwana harakati, ni mwanamuziki mashuhuri! Ni mwanasheria, ni mwandishi wa habari! Ni Bruda wa zamani kule Morogoro kwa Father Peku peku! Ni Mkwe mtarajiwa wa Barack Obama kwa binti yake Malia Obama!!

Aaaaarghhhh!!! Halafu mbona CV zake zote zipo humu jukwaani!! Hebu jaribu kuperuzi utapata madini ya kutosha kumhusu Mtemi Deo Kisandu aka Masqo!!
Umemuelezea vizuri sana Dj Don. Umesahau tu kuwa ni mtu wa watu sana pia hana ugomvi na mtu.
 
MTOTO WA KUKU

JF-Expert Member
May 3, 2012
2,884
2,000
NYUMBA hiyo ilijengwa mwaka 2012/2013 kwa ajili yangu wilayani Lushoto mkoani Tanga tena bila taarifa na bila idhini yangu. DJ. DON NALIMISON nilishangaa Sana kujengewa NYUMBA ya kishamba shamba Kama gofu huku hati ya NYUMBA imeandikwa jina la mtu mwingine.

Unanijengea NYUMBA huku hati haina jina Langu, hivi una akili kweli? Nashauri na kulazimisha NYUMBA hiyo iuzwe au wapewe Chama Cha CHADEMA ambacho niligombea Ubunge Jimbo Hilo la Lushoto mwaka 2010. Naomba msihariri hati ya NYUMBA Bali uzeni mle na hizo Pesa.

Mimi sio fala Kama waliojenga hiyo NYUMBA. Mimi sio wakujengewa NYUMBA kwa Pesa zangu na makapuku yaliyoheshimishwa ili nionekane boya. Tafadhalini Sana. Uzeni hilo TAKATAKA lenu na Pesa mgawane, siwezi kuishi kwenye TAKATAKA lenu.

Aidha CCM sio Chama Cha kuniongoza Mimi DJ. DON NALIMISON, na Wala sio Chama Cha kunijengea NYUMBA Mimi DJ. DON NALIMISON. Tafadhalini uzeni na Pesa mkasomeshee watoto wenu. Sina mtoto Lushoto na Wala Sina mtoto Tanzania, wakati wangu wa kupata mke sahihi wa kunizalia mtoto bado haujafika. Na mtoto nitakaye zaliwa kwa mbegu zangu hawezi kurithi mitakataka yenu.

DJ. DON NALIMISON.

Low battery
 
Vesuvius

JF-Expert Member
Jun 27, 2021
576
1,000

Two things:
1) Jamaa anawakilisha 95% ya members tulivyo..matajiri wa kutupa mtandaoni ila uhalisiani sasa nje ya kibodi...

2)anawakilisha 99% ya Wafuasi wa chama kile wanavotumiaga lugha ngumu ya kimapinduzi/kikamanda. Actually mwandiko umefanana sana na id moja active sana😂😂 kumbe asili ni asili tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom