Nyumba iliyojengwa Lushoto (Tanga) kwa ajili ya DJ. Don Nalimison iuzwe au wapewe CHADEMA kuwa Ofisi yao

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
182,238
2,000
NYUMBA hiyo ilijengwa mwaka 2012/2013 kwa ajili yangu wilayani Lushoto mkoani Tanga tena bila taarifa na bila idhini yangu. DJ. DON NALIMISON nilishangaa Sana kujengewa NYUMBA ya kishamba shamba Kama gofu huku hati ya NYUMBA imeandikwa jina la mtu mwingine...
Aidha CCM sio Chama Cha kuniongoza Mimi DJ. DON NALIMISON, na Wala sio Chama Cha kunijengea NYUMBA Mimi DJ. DON NALIMISON.

Tafadhalini uzeni na Pesa mkasomeshee watoto wenu. Sina mtoto Lushoto na Wala Sina mtoto Tanzania, wakati wangu wa kupata mke sahihi wa kunizalia mtoto bado haujafika. Na mtoto nitakaye zaliwa kwa mbegu zangu hawezi kurithi mitakataka yenu.
 
Bondpost

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
5,003
2,000
NYUMBA hiyo ilijengwa mwaka 2012/2013 kwa ajili yangu wilayani Lushoto mkoani Tanga tena bila taarifa na bila idhini yangu. DJ. DON NALIMISON nilishangaa Sana kujengewa NYUMBA ya kishamba shamba Kama gofu huku hati ya NYUMBA imeandikwa jina la mtu mwingine...
Hii shida ya umeme na maji tutashuhudia mengi sana
 
Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
3,272
2,000
NYUMBA hiyo ilijengwa mwaka 2012/2013 kwa ajili yangu wilayani Lushoto mkoani Tanga tena bila taarifa na bila idhini yangu. DJ. DON NALIMISON nilishangaa Sana kujengewa NYUMBA ya kishamba shamba Kama gofu huku hati ya NYUMBA imeandikwa jina la mtu mwingine...
Kama umri huo bado hujapata mtoto, basi ujiandae kuja kuitwa babu na mtoto wako.
 
Amari

JF-Expert Member
Nov 16, 2021
220
500
Don lile hekalu ndio unasema mjengo wa kishamba?

Halafu hata kama hautaki mjengo acha wakae nduguzo. Hata mtoto wa mwenzio ni wako pia.
 
jiwe angavu

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
4,739
2,000
Hivi huyu mtu ni nani hasa? Anayemfahamu vizuri anifahamishe. Au hata wewe ndugu Dj DON NALIMISON unaweza kunifamisha. Je, ni mwanasiasa au mwanaharakati? Hili ni andiko lako pili nalisoma. Inaonekana kuna watu wamekuvuruga sana. Pole kwa yote yaliyokupata. Na unahitaji msaada wa karibu sana wa kisaikolojia/kijamii au msaada mwingine wowote ambao wataalamu waliobobea wataona unakufaa
Tafuta uzi zake zote kuanzia kipindi anajiita deogratius kisandu nalimi..ndio itamjua ni nani...ana historia ndefu kidogo hapa jf..pia nenda fbk utapata info zake za kutosha..kisha ndio utajua ni mtu wa aina gani..ila kiufupi nati haziko sawa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Tony Laurent

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
3,120
2,000
Kaka nafikiri hebu tafuta threads zake za humu ndan ndo utamjua DON... Yaan kama umesoma maandiko yake mawili bado sana.

Kuna DON mmoja tu humu... Yaan yeye ni Ubaridi kuliko Ubaridi wenyewe
Nimeambiwa kumbe alibadilisha jina, ndiyo maana nikawa simpati sawa sawa. Sasa nimeshampata Bw. Deo Kisandu wa zamani
 
Tony Laurent

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
3,120
2,000
Tafuta uzi zake zote kuanzia kipindi anajiita deogratius kisandu nalimi..ndio itamjua ni nani...ana historia ndefu kidogo hapa jf..pia nenda fbk utapata info zake za kutosha..kisha ndio utajua ni mtu wa aina gani..ila kiufupi nati haziko sawa.

#MaendeleoHayanaChama
Asante mkuu. Sikujua kama amebadilisha jina. Sasa nimempata Bw. Deogratius Kisandu. Inawezekana alipokuwa jela walimfanyia mambo mabaya sana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom