Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,763
- 284,760
washauri wa CCM ni wa kiwango cha chini mno.hii serikali ya ajabu sana yaani inataka iungwe mkono na wananchi huku haitaki wakisikie inachopanga kukitekeleza pamoja nao.
sijajua ni GENIUS GANI kaishauri kufanya huu uvunjifu wa haki ya kupata habari mchana kweupe.
Naona hapa hata huelewi wananchi tunataka nini. Sisi hatujali wabunge wanajengaje hoja, tunachotaka ni kuona kinachojadiliwa bila kufanyiwa uhariri. Suala la kujenga hoja ama la sio lengo letu wananchi. Hivyo viwanda navyo mtavijenga kwenye kificho? Tunataka tuone kwa macho yetu na sio kusubiri eti mbunge bunge litakapokwisha aje atulishe matango pori. Wabunge wenyewe wa kuwasubiri waje watueleze kilichojifiri huko bunge ni hawa wala rushwa?
ni vema mwananchi mwenyewe akachuja mbivu na mbichi
bila upinzani hii nchi ingetafunwa hadi mifupa .
heri waende wakafanyie bunge vichakani na siyo kwenye ukumbi tulioujenga kwa kodi zetuwashauri wa ccm ni wa kiwango cha chini mno.
Hawawezi kususa,siku hizi ukisusa unakatw posho na zile mbwembwe za kutokea bungeni hazitaonekanaWaambieni wabunge wenu wasusie bunge.
Hamna kazi za kufanya?
kazi gani na viwanda mmeuza na walionunua wamegeuza godown .Hamna kazi za kufanya?
hii serikali ya ajabu sana yaani inataka iungwe mkono na wananchi huku haitaki wakisikie inachopanga kukitekeleza pamoja nao.
sijajua ni GENIUS GANI kaishauri kufanya huu uvunjifu wa haki ya kupata habari mchana kweupe.
Mafisadi wananguvu kuliko CCMWaambieni wabunge wenu wasusie bunge.
Halafu hawa wanaoendesha bunge kijima ndio wanawaongopea wananchi eti Tanzania itakuwa nchi ya viwanda. Ni kipi kinachowafanya wajadili hayo mambo mazuri kwa kificho?
Ni hivii wanajua itakuwa ni aibu kwa serikali kwa kuwa wabunge wa chama chetu hawajazoea kuikosoa serikali. Leo wabunge watawala wanaweza pinga hoja fulani kesho Mkulu anatangaza kumtumbua muhusika ambaye wabunge wa CHAMA walimtetea kwa nguvu zote. Nadhani Hapa mkulu anataka kurekebisha kitu....labda akiona wabunge wake wameshajielewa anaweza akaondoa marufuku hiyo...Mara nyingi watu ambao wao kwanza ni chama
na taifa baadae ndo huwa na matatizo ya kiufahamu. Mfano bunge lililopita baadhi ya wabunge walipaza sauti wakisema mikataba ya
gase ni mibovu hivyo isisainiwe; kwa ushabiki wa kichama watu fulani aidha kwa kujua au kufuata mkumbo wa chama, wakasema wapinzani ni waongo na wachochezi.
Haya wakaambiwa tena escrow ni hela za umma chama chetu kikasema hamna siyo za umma na watu washangilia eti wapinzani ni waongo!!
wakaambiwa tena elimu yetu imeharibiwa na big result now! tena wakasema hayo ni mambo ya upinzani tu; waakambiwa tena serikalini kunaufisadi mkubwa unafanyika; wakasema wapinzani ni wakupuuzwa!!
katika yote hayo wabunge wa chama chetu walikuwa "ndiyoooooooooooooo"
Sasa majipu yanatumbuliwa eti nao tena wamegeuka "heeee raisi anafanya kazi nzuri" wakati majipu hayo yamekuwepo mda wote wa miaka tangu uhuru hadi leo lakini mda wote chama chetu na wabunge wake "ndiyoooooooooooo"
Leo wanachama wetu nao eti wanashangilia utumbuaji majipu!! ama kweli ni wafuata upepo misili ya nyumbu,
Ikitokea raisi akasema wote waliotumbuliwa warudi kazini hawana makosa, utawasikia wanachama wetu "ndiyooooooooooooooo"
sasa hapo ndo ujue watanzania hawana ufahamu bali chama chetu kidumu hata kama kitaamua kutuuza ni sawa tu si ndiyo chama chetu jamani utaifa baadaye.
Ndiyo maana enzi za mzee wa chama kimoja mpaka chakula tulikaa foleni.
Fanyezi kazi kusikiliza Bonge hakutasaidia chochote kwa maisha ya wanamchi wa kawaida
Fanyezi kazi kusikiliza Bonge hakutasaidia chochote kwa maisha ya wanamchi wa kawaida