Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,561
- 97,999
NaqubaliHata kama unaficha ndo uhalisia
NaqubaliHata kama unaficha ndo uhalisia
Naja ila jioni saivi Ngamia ataishiwa maji kabla ya maoneshoijia
FactJamani hivi Binti wa zamani bado anapumua kweli? Sijamuona jukwaani for a while now.
Ila ukweli ni kuwa you can't hide who you are. Na usijidanganye kwa fake ID
sawa hamna shidaNaja ila jioni saivi Ngamia ataishiwa maji kabla ya maonesho
Nyie ni wagonjwa😂😂Nasisi wa multiple personalities tunakaa wp
Huwa nakuhurumia sana yaani why binti mrembo kama wewe ukatelekezwa jamaniNaqubali
Nimeipenda hiiAsilimia kubwa tunayoyaandika hapa ndio uhalisia wetu. Asikudamganye mtu ooh mimi niko hapa kujifurahisha, kujifurahisha kupo sawa ila sehemu kubwa ya tabia tulizonazo hapa ndio tabia zetu huko nje.
Hakunaga multiple personalities ni either uwe introvert, ambivert au extrovertNyie ni wagonjwa😂😂
Kama hutojaji unaweza kuwaelezea kidogo tofauti zaoHakunaga multiple personalities ni either uwe introvert, ambivert au extrovert
90% ya tabia zangu humu ni kinyume na maisha yangu halisi KhantweAsilimia kubwa tunayoyaandika hapa ndio uhalisia wetu. Asikudamganye mtu ooh mimi niko hapa kujifurahisha, kujifurahisha kupo sawa ila sehemu kubwa ya tabia tulizonazo hapa ndio tabia zetu huko nje.
FactID ndio huwa ni fake, lakini akili inayo type ni original, huwezi kuwa profesa mtaani halafu humu ndani ukawa ni chizi.
Hukuna multiple personalities labda uipate through learning na hiyo siyo personality ni multiple intelligence uwezo wa kuwa na juzi nyingi kwa wakati mmoja mfano maths, music, architects e.t.cNasisi wa multiple personalities tunakaa wp
Kisaikolojia utambulisho wa kujificha una fanya mtu awe kwa uhalisia wake zaidi ,hivyo upo sahihi.Asilimia kubwa tunayoyaandika hapa ndio uhalisia wetu. Asikudamganye mtu ooh mimi niko hapa kujifurahisha, kujifurahisha kupo sawa ila sehemu kubwa ya tabia tulizonazo hapa ndio tabia zetu huko nje.
Natamani kucheka kwa sauti ila chumbani kwangu kuna Mbu,watajua nilipo.Daaah aise ! 😂😂
Kazini chizi,ID ndio huwa ni fake, lakini akili inayo type ni original, huwezi kuwa profesa mtaani halafu humu ndani ukawa ni chizi.