Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 35,337
- 101,495
Mapemaa kabisa nakutag🤸🏽♂️Sijauona huo 😁
Mapemaa kabisa nakutag🤸🏽♂️Sijauona huo 😁
😅😅 ndiyo kusema je hivi twinID ndio huwa ni fake, lakini akili inayo type ni original, huwezi kuwa profesa mtaani halafu humu ndani ukawa ni chizi.
Sitaki Id yangu uihusishe na ID za kijinga hapa jukwaani mkuu. Kumbe mkichekewa mnajimilikisha remoteUnajua je? Na ikiwa humu huwezi kujua I’d ipi ni ipi?
Hata wewe baba mtakatifu kumbe kwenye id yako nyingine unakuta ni udugu wangu cocastic 😹😹
Kama mtu anaigiza kuwa mwendawazimu humu basi kuna uwezekano hata huko mtaani akawa ni mwendawazimu halisi Twin 😂.😅😅 ndiyo kusema je hivi twin
😹😹😹 Wewe taahira kweli nani unamchekea?Sitaki Id yangu uihusishe na ID za kijinga hapa jukwaani mkuu. Kumbe mkichekewa mnajimilikisha remote
Ona sasa badala ukiri kosa kwa kunikosea heshima unapandisha ego tena😹😹😹 Wewe taahira kweli nani unamchekea?
Na wewe kwanini ujichekeshe? 😹
Nimecheka kwa sauti kubwa twin😅😅Kama mtu anaigiza kuwa mwendawazimu humu basi kuna uwezekano hata huko mtaani akawa ni mwendawazimu halisi Twin 😂.
kampeleweleID ndio huwa ni fake, lakini akili inayo type ni original, huwezi kuwa profesa mtaani halafu humu ndani ukawa ni chizi.
Ulikuwepo ila mods washaurekebisha... UPI!
Una maana gani hapa Leejay?
Uje site za ujenzi mazingira yanaruhusu matusi aina zoteHumu natukana kidogo tu 😂
Huku nje situkani kwasababu sio tabia yangu tu na sikutani na mazingira yanayonisukuma nitukane
Nimemtag alishawahi kusema hili jamboUna maana gani hapa Leejay?