Nyota ya Mwigulu Yazidi Kung'ara!

Nyota ya Mwigulu Yazidi Kung'ara!

Kwani hata wewe pia ni Shupavu, kumsifia mpumbavu kwa upumbavu wake unastahiki kuitwa shupavu. Haya nenda kachukue posho yako.

Mzalendo ur right,
Roho mbaya ikimwingia binadamu haimwachi mpaka adhurike. Wapewa mamlaka ya kuongoza nchi na vyombo vyote vya usalama lakini bado wanalalamika kwa nini wasiwe IMPOTENT. Polisi wanayo et el kwa nini wanashindwa kuprove issues kama Ulimboka, Kibanda badala yake wamekuwa waganga kienyeji kupiga ramli tu. Shame on us Tanzanian tumepoteza heshima kabisa kimataifa hakuna nchi itatupokea kwa ujinga huu. We better know our enemy today list them all.
 
Kijijini kwetu kuna kichaa kila mtu anamfahamu ni maarufu sana. Mwigulu ni kweli anajulikana sana . Kunasababu nyingi za kujulikana. Mzizi, muuaji, mwongo, mfitini, mchumia tumbo na kissing ........lazima wajulikane.

Maneno na matendo yake lazima yawafanye wengi wahamaki. Shetani ni maarufu sana duniani.
 
uyu ni kuadi tu wa balali bot bank of tanzania inasemekana alilawitiwa na balali nashangaa bunge letu wamelusu mashogo bungeni na iramba kumchagua shoga

aluuuuuuuuuuuu!!! KIPINDI CHA MKASI EATV.
 
uyu ni kuadi tu wa balali bot bank of tanzania inasemekana alilawitiwa na balali nashangaa bunge letu wamelusu mashogo bungeni na iramba kumchagua shoga

Dont disgrace him to this level...mtake radhi bana hata kama humpendi...let us behave ourselves even behind the keyboard!
 
..huyu lazima awe mwigulu au katibu wake,nimetoka kwenye mjadala radio moja wachangiaji woooote wameponda kuanzia ndugai mpaka huyu wanaemwita hazina yao watu wanamuita chemba !! anasema ni hazina !!?? no wonder mnatumia polisi kukinusuru chama kama hii ndo hazina yenu...

Mbunge yeyote haijalishi wa CHADEMA,CUF,TLP,UDP,NCCR au CCM akiongea mambo yasiyo na tija anatakiwa akitoka bungeni akute wananchi nje wanang'aka...hii itawafanya watambue majukumu yao ya kibunge bungeni...this party politics zinatakiwa kufanywa kwenye mikutano ya hadhara....alihoji mbunge mmoja wa CCM kwa nini wabunge wanaifanya kazi ya NAPE kupambana na upinzani by scandals!
 
Mafilili hivi kati ya aliyepata zero na Div.One wote huwa wanazungumzwa ila unaweza kujua ni yupi huwa anazungumzwa zaidi? .kwa watu wa masoko wanasema Bidhaa/huduma mbaya taarifa zake kupitia mtu mmoja uwafikia watu kati ya 15 na zaidi ila kwa ile nzuroi uwafikia watu 10 tu

Yeah hata Osama alipata kuwa maarufu Duniani pengine kumzidi Rais wa Marekani na Katibu mkuu wa UN!
 
Mtanzania wa kwanza kufichua ugaidi nchini,anastahili pongezi

Kwani mmesahau kale kamchezo ka kuigiza Mahita akishika visu vya magaidi wa CUF...Kila chama kinapokuwa kinakubalika ni magaidi kwenu...ambao hawana mashiko ni good friends!
 
mwigulu nae shupavu? basi mashupavu yameisha yamebakia mashapovu!
 
Matusi tu ndio mnayoyajua mkimbiwa ukweli mnakasirika
  • 'Wanapoongea Watu wazima watoto kalaleni'
  • 'Sindano ili ijulikane imeshona ni lazima iingiziwe uzi kwa nyuma ndio ifanye kazi'

Matusi anajua Serukamba maana anatukana hadi bungeni...jiulize akiwa kwake...watoto wake atakuwa anawaita kwa matusi.........
 
Hakika watanzania tunatofautiana sana. Ukiuweka mbele uccm hata uwezo wako wa kutathimin huwa sifuri kabisa. Nadhani aliyeipost hii ni agent wa MWIGULU aka...... Ukweli ni kwamba mwigulu anachemka sana kwa staili ya siasa anazozifanya sasa. Ngoja 2015 Dr MKUMBO achukue jimbo lake ndo atajua na kuukumbuka upuuzi wake anao ufanya sasa. Afate ushauri wa FILIKUNJOMBE DEO, Kuna mambo ya msingi aliwashauri ccm ambayo yakifuatwa yatawasaidia wao na taifa kwa ujumla.
 
Lameck Mwigulu hana sifa wala uwezo wa kuwa kiongozi shupavu wala bora sembuse sifa unazompa.niwajulishe wanajamvi kuwa viongozi wengi vijana ndani ya ccm wanafikili kuwa wakionekana wanaisema au kuipinga cdm basi watapata umaarufu na hivyo kuwasaidia kulinda vyeo vyao au kupata vyeo vipya.
Viongozi kama mwigulu hawasaidii kuijenga ccm bali wanaibomoa na kuujenga upinzani,Leo watanzania wameamka na wanakerwa na watu wenye mawazo ya ubinafsi kama ya mwigulu na wenzake.
Mwigulu hawezi kufinyanga mambo kwa kuhubili uongo ili watanzania wasahau shida zinazowakabili na kuelekeza akili yao kwenye ugaidi wa kuchongwa.
Mwigulu ameacha kufanya kazi ya kukisaidia ccm na serikali yake kwa kuhakikisha anawaelekeza makatibu wa mikoa na wilaya wa ccm wahimize utekekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya 2010 ili kero na matatizo ya wanainchi yaondoke.Mwigulu anaacha kutumia uwingi wao bungeni kuwabana wakurugenzi na wakuu wa idara kuchapa kazi ipasavyo na kuondoa kero yeye anakaria kuhubiri umbea na uzushi ambao watanzania hauwasaidii kwa lolote.
Mwigulu ni mkuu wa utumishi ndani ya chama chake je amesaidiaje ktk kubuni na kuendeleza utendaji wa wateule wake ili mwisho wa siku tuone viongozi wanaowajibika na kumaliza kero na manunguniko wanayopata wanainchi?.
Badala ya kujijenga kisiasa kama unavyofanya hebu ijenge nchi yako mwigulu,acha kuwafanya watanzania ni wajinga kiasi hicho,na kwa taarifa yako hayo mnayoyafanya wana ccm waliowengi hawayaungi mkono cause matatizo ya ugumu wa maisha hayawaathiri wana cdm peke yao hata wana ccm wanaathilika tena kwa kiasi kikubwa.
Acheni kufurahia kuinua kwapa na kuvimba kichwa kwa pongezi za kinafiki mnazopewa na wasaka tonge wenzenu ilhali wanainchi wanaumia.
 
mtahangaika sana lakini mtachemka tu, wananchi wa leo sio wale wa '47 hovyoooo!

wananchi wa leo ni wale wa '' kamanda Lema kasema kesho anaingia bungeni na hakuna wa kumzuia'' mara leo hajaingia halaf inakua freeeesh hakuna anayehoji kwann kamanda jana alitudanganya ataingia bungeni ilhali anajuwa wazi kuwa kafungiwa? jibu rahisi ni kuwa ndio tunachopenda kusikia kutoka kwa makamanda ''UwoNGO''
 
Hii account ya Mafilili ni yake mwenyewe, acha kujifagilia mkuu! Jinsi nilivyokufahamu UDSM nilijua wewe ni mwanaharakati wa ukweli wakati unampigia kampeni Mwita Waitara Mwikwabe kuwa rais wa Daruso kumbe mkuu unachumia tumbo!
 
Kikao cha Bunge la Bajeti kikiwa kinaendelea siyo siri tena, mbunge anazungumzwa sana nje ya bunge maeneo yote ya viunga vya bunge mjini Dodoma na mitaani, pia katika vyombo vya habari ni jina la MWIGULU, ni shupavu, mwerevu, jasiri aliye na weredi wa kupangua hoja za wapinzania pasipo kupepesa macho.

Mwigulu ni hazina ya CCM na taifa la Tanzania kwa ujumla na yuko tayari kutetea maslahi ya nchi pasipo kuangalia udini wala ukabila. Mwigulu amekuwa ni mwiba mkali wa wabunge wa upinzania ambao walizoea kutoa kejeli kwa CCM na serikali yake; JIBU limepatikana dawa ya CDM ndani ya BUNGE ni MWIGULU. Hoja zake zimekuwa ni kufungua kaburi la kuizika CDM! Hongera Mwigulu Usirudi nyuma, tunakupongeza, Unaandaliwa mapokezi makubwa kuanzia MANYONI hadi Iramba kutokana na hoja zako zilizogeuka mwiba kwa CHADEMA

Mwigulu alitaka kulawitiwa mchana peupe na Vijana wa URUMERU jimbo la NASARI akaokolewa naa viongozi wa CDM. Sijui kama alishakutonyaga hilo?
 
Kikao cha Bunge la Bajeti kikiwa kinaendelea siyo siri tena, mbunge anazungumzwa sana nje ya bunge maeneo yote ya viunga vya bunge mjini Dodoma na mitaani, pia katika vyombo vya habari ni jina la MWIGULU, ni shupavu, mwerevu, jasiri aliye na weredi wa kupangua hoja za wapinzania pasipo kupepesa macho.

Mwigulu ni hazina ya CCM na taifa la Tanzania kwa ujumla na yuko tayari kutetea maslahi ya nchi pasipo kuangalia udini wala ukabila. Mwigulu amekuwa ni mwiba mkali wa wabunge wa upinzania ambao walizoea kutoa kejeli kwa CCM na serikali yake; JIBU limepatikana dawa ya CDM ndani ya BUNGE ni MWIGULU. Hoja zake zimekuwa ni kufungua kaburi la kuizika CDM! Hongera Mwigulu Usirudi nyuma, tunakupongeza, Unaandaliwa mapokezi makubwa kuanzia MANYONI hadi Iramba kutokana na hoja zako zilizogeuka mwiba kwa CHADEMA

Ule ----- anaoutoa bungeni wewe unauita werevu????!!!!!!. Hivi inawasaidia nini wapiga kura wake.
 
Aliyeleta mada yuko sawa kabisa. yaani Mwigulu anafanya viongozi wa chadema na Wabunge wasipate usingizi kabisa, najua hilo mtabisha lkn moyoni unalitambua hilo. mwigulu ni nomaaaaaaaaaaaaaaaaa??????
 
Hii account ya Mafilili ni yake mwenyewe, acha kujifagilia mkuu! Jinsi nilivyokufahamu UDSM nilijua wewe ni mwanaharakati wa ukweli wakati unampigia kampeni Mwita Waitara Mwikwabe kuwa rais wa Daruso kumbe mkuu unachumia tumbo!

Mwigulu ni mwwiba kwa ustawi wa CDM na bado anatembea na siri kubwa ya chama chenu, siku ya siku itakuwa fedheha kwa CDM
 
kamanda uchwara. ukimwambia hata aandae baget ya nyumbani kwakwe awezi, kazi mdomo na kuropoka hovyo, sijawahi ona mpumbavu km huyu, ushabiki wakijinga ndio huo sasa, mwigulu uanaweza kufananisha na huyo mropokaji, anachoropoka ukimuiiza ajui, et kamanda utakufa maskini ukisema kamanda, fanya kazi/
 
Mbunge wang huyo,Anaijua sngd vilivyo pamoja na mitaa yote,Pia nampongeza jana Alitoa hoja ya kutengenezwa barabara zote za iramba magharb. Big up Mh.
 
Back
Top Bottom