Nyota ya Mwigulu Yazidi Kung'ara!

Nyota ya Mwigulu Yazidi Kung'ara!

Huyu gaidi nyota yake inang'aa kwa magaidi wenzie wasiotakia mema nchi yetu, kwa wale wenye mapenzi ya kweli na nchi yetu huyu ni hatari sana kwa usalama wa Watanzania.
 
Sijui nim Serukamba mleta mada?huwezi kusifia watu wanaokesha kwa waganga uchi.
 
Hujaandika cha ajabu hapa. Atakushangaa na kukubeza yule tu anayedhani kuwa mwigulu ni mwehu pekee yake.
Endelea jamaa angu kudhani kuwa unampamba, lakini ukweli unamvua nguo ili atembee pamoja na wehu kama wewe akidhani amevaa nguo.
 
UTAKUWA UNAANGALIA TBC BUNGE LILILOEDITIWA,TUNAOANGALIA ITV MWIGULU NI JANGA,HANA AJENDA YA KITAIFA ZAIDI YA PROPAGANDA DHIDI YA CDM.Naona unakula kwa jasho sana,amechangia kipi cha maana toka bunge la bajeti limeanza?kweli ccm jumba la vilaza.
 
Ila nchemba kwenye swala la udini kasema kweli mi nakumbuka karatu mapadri walikuwa wanawaambia waumini wamchague slaa kwanza ni mtoto wa marehemu askofu hando kuna vitu vingine siyo vya kupuuza chadema inaleta udini na itawagawa watanzania kwa udini tusipokuwa makini
 
Kikao cha Bunge la Bajeti kikiwa kinaendelea siyo siri tena, mbunge anazungumzwa sana nje ya bunge maeneo yote ya viunga vya bunge mjini Dodoma na mitaani, pia katika vyombo vya habari ni jina la MWIGULU, ni shupavu, mwerevu, jasiri aliye na weredi wa kupangua hoja za wapinzania pasipo kupepesa macho.

Mwigulu ni hazina ya CCM na taifa la Tanzania kwa ujumla na yuko tayari kutetea maslahi ya nchi pasipo kuangalia udini wala ukabila. Mwigulu amekuwa ni mwiba mkali wa wabunge wa upinzania ambao walizoea kutoa kejeli kwa CCM na serikali yake; JIBU limepatikana dawa ya CDM ndani ya BUNGE ni MWIGULU. Hoja zake zimekuwa ni kufungua kaburi la kuizika CDM! Hongera Mwigulu Usirudi nyuma, tunakupongeza, Unaandaliwa mapokezi makubwa kuanzia MANYONI hadi Iramba kutokana na hoja zako zilizogeuka mwiba kwa CHADEMA
t

Comeoon f**k you
 
Mh. Mwigulu ndiye dawa ya CHADEMA. Kazi anayoifanya output yake inaonekana.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
mtahangaika sana lakini mtachemka tu, wananchi wa leo sio wale wa '47 hovyoooo!
 
Kikao cha Bunge la Bajeti kikiwa kinaendelea siyo siri tena, mbunge anazungumzwa sana nje ya bunge maeneo yote ya viunga vya bunge mjini Dodoma na mitaani, pia katika vyombo vya habari ni jina la MWIGULU, ni shupavu, mwerevu, jasiri aliye na weredi wa kupangua hoja za wapinzania pasipo kupepesa macho.

Mwigulu ni hazina ya CCM na taifa la Tanzania kwa ujumla na yuko tayari kutetea maslahi ya nchi pasipo kuangalia udini wala ukabila. Mwigulu amekuwa ni mwiba mkali wa wabunge wa upinzania ambao walizoea kutoa kejeli kwa CCM na serikali yake; JIBU limepatikana dawa ya CDM ndani ya BUNGE ni MWIGULU. Hoja zake zimekuwa ni kufungua kaburi la kuizika CDM! Hongera Mwigulu Usirudi nyuma, tunakupongeza, Unaandaliwa mapokezi makubwa kuanzia MANYONI hadi Iramba kutokana na hoja zako zilizogeuka mwiba kwa CHADEMA

We mjaze tu kichwa....mtindo wa kutaka masifa haujawahi mfikisha mtu yeyote mahala pazuri!
 
Kikao cha Bunge la Bajeti kikiwa kinaendelea siyo siri tena, mbunge anazungumzwa sana nje ya bunge maeneo yote ya viunga vya bunge mjini Dodoma na mitaani, pia katika vyombo vya habari ni jina la MWIGULU, ni shupavu, mwerevu, jasiri aliye na weredi wa kupangua hoja za wapinzania pasipo kupepesa macho.

Mwigulu ni hazina ya CCM na taifa la Tanzania kwa ujumla na yuko tayari kutetea maslahi ya nchi pasipo kuangalia udini wala ukabila. Mwigulu amekuwa ni mwiba mkali wa wabunge wa upinzania ambao walizoea kutoa kejeli kwa CCM na serikali yake; JIBU limepatikana dawa ya CDM ndani ya BUNGE ni MWIGULU. Hoja zake zimekuwa ni kufungua kaburi la kuizika CDM! Hongera Mwigulu Usirudi nyuma, tunakupongeza, Unaandaliwa mapokezi makubwa kuanzia MANYONI hadi Iramba kutokana na hoja zako zilizogeuka mwiba kwa CHADEMA

Hoja nzuri sana umeileta hapa JF, na ni ukweli usiopingika kuwa, nyota ya huyu hazina wa CCM inamelemeta pande zote hapa nchini na kutuangazia nuru ya kuujua ukweli kuhusu hawa magaidi weusi.

Binafsi ninachokifanya sasa, ni kama yeye alivyolielekeza taifa, tumuombee uhai na afya ili aweze kutia nyundo msumali wa mwisho wa jeneza la CHADEMA.
 
Sasa ninaelewa ni kwa nini Singida wana uwanja wa ndege wa aina ile. Kama huyu ndiye kiongozi kwao ni miaka mia mbili itawaapita kabla hawajaamka usingizini. Mtoa mada unawaaibisha kweli wana Singida. Tuamke kaburi unalozungumzia ni la CCM na sio CDM.
 
CCM hii ya leo ina bahati mbay sana, yaani kuanzia juu mpaka chini kwa makuadi wote mbumbumbu, sitashangaa sana iwapo wewe ndio chemba mwenyewe lakini kama si chemba mwenyewe, nchi ishauzwa kwa wajinga hii
 
Acha kutudhalilisha watu wa singida wewe, nani apokee hiyo pumba, labda umkaribishe wewe pumba mwenzako.

like,ningekuwa huko na kwa kuwa ameshindwa kuwatetea raia wake ningempokea kwa bango la f**k u
 
Kikao cha Bunge la Bajeti kikiwa kinaendelea siyo siri tena, mbunge anazungumzwa sana nje ya bunge maeneo yote ya viunga vya bunge mjini Dodoma na mitaani, pia katika vyombo vya habari ni jina la MWIGULU, ni shupavu, mwerevu, jasiri aliye na weredi wa kupangua hoja za wapinzania pasipo kupepesa macho.

Mwigulu ni hazina ya CCM na taifa la Tanzania kwa ujumla na yuko tayari kutetea maslahi ya nchi pasipo kuangalia udini wala ukabila. Mwigulu amekuwa ni mwiba mkali wa wabunge wa upinzania ambao walizoea kutoa kejeli kwa CCM na serikali yake; JIBU limepatikana dawa ya CDM ndani ya BUNGE ni MWIGULU. Hoja zake zimekuwa ni kufungua kaburi la kuizika CDM! Hongera Mwigulu Usirudi nyuma, tunakupongeza, Unaandaliwa mapokezi makubwa kuanzia MANYONI hadi Iramba kutokana na hoja zako zilizogeuka mwiba kwa CHADEMA

Nilifikiri unaleta mada watu tujadili issues kumbe kumjadili mtu kwa kuzungumzia watu...tuache kuwapotosha wabunge wetu kwa kufanya bunge jukwaa la kampeni!
 
Back
Top Bottom