Nyota ya Mwigulu Yazidi Kung'ara!

Nyota ya Mwigulu Yazidi Kung'ara!

Kikao cha Bunge la Bajeti kikiwa kinaendelea siyo siri tena, mbunge anazungumzwa sana nje ya bunge maeneo yote ya viunga vya bunge mjini Dodoma na mitaani, pia katika vyombo vya habari ni jina la MWIGULU, ni shupavu, mwerevu, jasiri aliye na weredi wa kupangua hoja za wapinzania pasipo kupepesa macho.

Mwigulu ni hazina ya CCM na taifa la Tanzania kwa ujumla na yuko tayari kutetea maslahi ya nchi pasipo kuangalia udini wala ukabila. Mwigulu amekuwa ni mwiba mkali wa wabunge wa upinzania ambao walizoea kutoa kejeli kwa CCM na serikali yake; JIBU limepatikana dawa ya CDM ndani ya BUNGE ni MWIGULU. Hoja zake zimekuwa ni kufungua kaburi la kuizika CDM! Hongera Mwigulu Usirudi nyuma, tunakupongeza, Unaandaliwa mapokezi makubwa kuanzia MANYONI hadi Iramba kutokana na hoja zako zilizogeuka mwiba kwa CHADEMA

Kusema kweli nyota hiyo ina mgaro, lakini ni wa kuungua, si muda mrefu itadondoka na kuwa majivu.
 
Boya tu! Amesahau waliomchagua anadili na fitna! R.I.P ccm....! Waapi KANU?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Lazima na huko Iramba sasa wanakunywamaji ya bombani badala ya kutembea makumi ya kilometa kuteka maji wanayokunywa na mifugo!
 
Kikao cha Bunge la Bajeti kikiwa kinaendelea siyo siri tena, mbunge anazungumzwa sana nje ya bunge maeneo yote ya viunga vya bunge mjini Dodoma na mitaani, pia katika vyombo vya habari ni jina la MWIGULU, ni shupavu, mwerevu, jasiri aliye na weredi wa kupangua hoja za wapinzania pasipo kupepesa macho.

Mwigulu ni hazina ya CCM na taifa la Tanzania kwa ujumla na yuko tayari kutetea maslahi ya nchi pasipo kuangalia udini wala ukabila. Mwigulu amekuwa ni mwiba mkali wa wabunge wa upinzania ambao walizoea kutoa kejeli kwa CCM na serikali yake; JIBU limepatikana dawa ya CDM ndani ya BUNGE ni MWIGULU. Hoja zake zimekuwa ni kufungua kaburi la kuizika CDM! Hongera Mwigulu Usirudi nyuma, tunakupongeza, Unaandaliwa mapokezi makubwa kuanzia MANYONI hadi Iramba kutokana na hoja zako zilizogeuka mwiba kwa CHADEMA

Ule upuuzi anaoutoa bungeni wewe unauita werevu????!!!!!!. Hivi inawasaidia nini wapiga kura wake.
 
Kikao cha Bunge la Bajeti kikiwa kinaendelea siyo siri tena, mbunge anazungumzwa sana nje ya bunge maeneo yote ya viunga vya bunge mjini Dodoma na mitaani, pia katika vyombo vya habari ni jina la MWIGULU, ni shupavu, mwerevu, jasiri aliye na weredi wa kupangua hoja za wapinzania pasipo kupepesa macho.

Mwigulu ni hazina ya CCM na taifa la Tanzania kwa ujumla na yuko tayari kutetea maslahi ya nchi pasipo kuangalia udini wala ukabila. Mwigulu amekuwa ni mwiba mkali wa wabunge wa upinzania ambao walizoea kutoa kejeli kwa CCM na serikali yake; JIBU limepatikana dawa ya CDM ndani ya BUNGE ni MWIGULU. Hoja zake zimekuwa ni kufungua kaburi la kuizika CDM! Hongera Mwigulu Usirudi nyuma, tunakupongeza, Unaandaliwa mapokezi makubwa kuanzia MANYONI hadi Iramba kutokana na hoja zako zilizogeuka mwiba kwa CHADEMA

MAFILILI,

Hapa unaongea kujifurahisha tu kuhusu Mwigulu Nchembe!!Pengine u ni mwana-CCM mwenzako,jamaa yako au ndugu yako. Kwanza Nchembe hana nguvu za hoja zaidi ya kutukana na kudharau Upinzani.

Ukweli ni kwamba huyu jamaa anazidi kujiharibia vibaya sana kwenye medani ya siasa za Tanzania.Nchembe hana lolote za kujawa na jazba,mipasho na ulimbukeni na I want to assure you hatakuwa na muda mrefu kwenye hizi siasa za Tanzania kutokana na HULKA mbovu aliyonayo. Kwangu mimi Nchembe ni sawa na mwendawazimu aliyekosea mlango akaingia kwenye ofisi ya watu wastaarabu!!!Anatakiwa kuitiwa askari na kutupwa nje!!!!

Huwezi kuwa maarufu kwa kutukana watu simply because wako vyama vya upinzani! Kuwa kambi ya Upinzani si kuwa adui wa chama Tawala unless you don't know the true meaning of Multiparty Democracy system!!

Inashangaza sana kama kuna Watanzania kama MAFILILI wanamwona Nchembe kama bonge la mwanasiasa ilhali ni mhuni fulani aliyebahatisha kuingia Bungeni!!!

Time gonna tell us in future what will be the misery ending of this lunatic man from Iramba, now in Parliamanent!!!!!!!!!!.
 
Inasemekana Mwigulu Nchemba amepata umaarufu sana katika kipindi cha wiki moja kwani amekuwa gumzo kwa jamii, inasemekana anatwajwa mara nyingi sana mitaani, mitandaoni, radioni na kwanye magazeti, pia inasemekana ni kijana hatari sana kwa ustawi wa CHADEMA, Kwani ndani ya mwezi sasa amewakosesha viongozi wa chama hicho usingizi kabisa, hili ni kweli????
 
Mwigulu kwa misifa!!? Hapa naona anajiona yupo juu kutajwa tajwa. Safarii hii kaona hajazungumziwa leo siku nzima humu ndani ndio kaleta ili tumdiscuss. Hana muda mwigulu kwenye duru hili mark my words brother.
 
Mimi ninayo video inayonyesha mwingulu mchemba akilawitiwa na balali.nitaiweka hapa jamvini muione

Tofauti ya video yako na yangu ni kwamba yangu inamwonyesha Akihemewa Kisogoni na Kamanda Lema!!

Kuwa na watu kama Mwigulu ktk Taifa la watu wapenda Demokrasia ni Hasara tupu!! Kama kweli Lameck Mwigulu MZINZI anapata Umaarufu kwa kuwakosoa CDM na sio Serikali iliyoshindwa Kuwajibika kwa Wananchi wake basi Watanzania tunahitaji "TIBA"ya akili!!

Wanacho fanya CDM [KUIKOSOA SERIKALI] ndio kazi na Wajibu wa vyama vya Upinzani DUNIA kote,na kazi ya chama chenye kuunda Serikali ni Kupokea Malalamiko Kutoka kwa Vyama Pinzani, wanaharakati,wananchi wa kawaida na Asasi mbalimbali zikiwemo za Dini, na Kufanyia kazi hayo malalamiko!!

Kinachotokea kwetu sivyo! Wapinzani wanalalamika, wenye kuunda Serikali wanalalamika, matokeo yake tunakuwa na Taifa la watu wa kulalamika.
Mwigulu kwa Akili yake ndogo au Finyu kama ya KUKU,[Kama Mleta mada] anadhani yote anayoyafanya yanamwongezea Umaarufu, lakini sivyo! Watanzania wa 2013 Sio wale wa 1995,waliokuwa wakidanganywa kwamba mkichagua Wapinzani wataleta Vurugu ktk Nchi!!
Watanzania wa leo wanajuwa nani anawatetea na ni nani anatetea Serikali badala ya kuibana kama wanavyofanya CDM na Wabunge wake!!

Ole wao wale wote wenye Fikra kama za Mwigulu kwamba Watanzania bado ni wale wa Miaka ya tisini!!

MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!!
MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!!
 
angetajwa kwa mema ningemsifu, lakini kwa kupanga dili za kutoa watu kucha na meno sidhani hata yeye kama anajivunia kutajwa huku.
 
Njaa mbaya sana!
huyu mbulura sijui kalipwa shilingi ngapi kuja kupost craps humu jamvini?
shame on you na huyo m.u-umeo mwiugulu!!!
 
Hapa mtaani kwetu wanamtaja kama Mng'oa meno na kucha bila ganzi.
Nafurahi watu wameanza kumwelewa sasa. "The Killer"
 
Mbona Osama nae alikuwa anatajwa kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao ulimwengu mzima hiyo nayo ilikuwa ni sifa?
 
Inasemekana Mwigulu Nchemba amepata umaarufu sana katika kipindi cha wiki moja kwani amekuwa gumzo kwa jamii, inasemekana anatwajwa mara nyingi sana mitaani, mitandaoni, radioni na kwanye magazeti, pia inasemekana ni kijana hatari sana kwa ustawi wa CHADEMA, Kwani ndani ya mwezi sasa amewakosesha viongozi wa chama hicho usingizi kabisa, hili ni kweli????

Remember the following...
Money never made a fool of anybody; it only shows them up.
 
Kabla sijapost nilijua kabisa kuwa kuna wang`oa kucha hawawezi kufurahia, hivyo nilikuwa tayari kwa matusi ya kila aina alimradi nimesema ukweli uliko, sisi mimi nimefanya hiyo hali bali ni nyinyi mnamvumisha huyu mchizi
 
Kikao cha Bunge la Bajeti kikiwa kinaendelea siyo siri tena, mbunge anazungumzwa sana nje ya bunge maeneo yote ya viunga vya bunge mjini Dodoma na mitaani, pia katika vyombo vya habari ni jina la MWIGULU, ni shupavu, mwerevu, jasiri aliye na weredi wa kupangua hoja za wapinzania pasipo kupepesa macho.

Mwigulu ni hazina ya CCM na taifa la Tanzania kwa ujumla na yuko tayari kutetea maslahi ya nchi pasipo kuangalia udini wala ukabila. Mwigulu amekuwa ni mwiba mkali wa wabunge wa upinzania ambao walizoea kutoa kejeli kwa CCM na serikali yake; JIBU limepatikana dawa ya CDM ndani ya BUNGE ni MWIGULU. Hoja zake zimekuwa ni kufungua kaburi la kuizika CDM! Hongera Mwigulu Usirudi nyuma, tunakupongeza, Unaandaliwa mapokezi makubwa kuanzia MANYONI hadi Iramba kutokana na hoja zako zilizogeuka mwiba kwa CHADEMA

Kazi ya Nchemba loliondo View attachment 90610
 
Nyota yake inang'aa kwenye chama cha magamba,si kwa wapiga kura waliompeleka pale.Na ajitahidi ili akimwagwa 2015 apate ajira kwenye ofisi ya magamba.
 
Ni kweli Mwigulu Nchemba anasifa zote ulizotaja hapo juu kwa wanaCCM,Mafisadi na wapambe na vibaraka wao wote hapa TANZANIA! lakini kwa watu MAKINI wanaojua nini maana ya sifa za kiongozi MAKINI na mwenye vision na sifa za uongozi huyu bwana MWIGULU hana hata sifa ya kuwa mjumbe wa nyumba kumi!
 
Back
Top Bottom