Nyota ya Mwigulu Yazidi Kung'ara!

Nyota ya Mwigulu Yazidi Kung'ara!

Kikao cha Bunge la Bajeti kikiwa kinaendelea siyo siri tena, mbunge anazungumzwa sana nje ya bunge maeneo yote ya viunga vya bunge mjini Dodoma na mitaani, pia katika vyombo vya habari ni jina la MWIGULU, ni shupavu, mwerevu, jasiri aliye na weredi wa kupangua hoja za wapinzania pasipo kupepesa macho.

Mwigulu ni hazina ya CCM na taifa la Tanzania kwa ujumla na yuko tayari kutetea maslahi ya nchi pasipo kuangalia udini wala ukabila. Mwigulu amekuwa ni mwiba mkali wa wabunge wa upinzania ambao walizoea kutoa kejeli kwa CCM na serikali yake; JIBU limepatikana dawa ya CDM ndani ya BUNGE ni MWIGULU. Hoja zake zimekuwa ni kufungua kaburi la kuizika CDM! Hongera Mwigulu Usirudi nyuma, tunakupongeza, Unaandaliwa mapokezi makubwa kuanzia MANYONI hadi Iramba kutokana na hoja zako zilizogeuka mwiba kwa CHADEMA

hihi Elisema umezaliwa tar. 1April at 6:900am
 
serukamba weee
 
mwigulu hana muda mrefu sana kwny siasa!subiri hiki kipindi cha jk kipite mtakuja kuniambia hapa!
 
Mwigulu anajadiliwa kwny vikao vyao vyote ni agenda ya kudumu amewashikajeeee
 
Mh.Mwigulu naona upo kwenye Account yako nyingine unajisifia...

asante mkuu kwa kulijua hili..... chezea mwingulu wewe account kama 7 hivi, unajisifia anajibu anachokoza mada na anatukana CDM.

Tanzania ni ajabu la 8.
 
katika watu mapoyoyo huyu ni mmoja wapo asiye jua kutofautisha mikutano ya hadhara na vikao vya bunge anayoyafanya bungeni alitakiwa ayafanye kwenye majukwaa mikutano ya hadhara kwa maana hiyo ni mtu wa kupuuzwa hastahili heshima yoyote mbele ya jamii yetu ya kitanzania GAIDI MKUBWA TU HUYU.
 
uyu ni kuadi tu wa balali bot bank of tanzania inasemekana alilawitiwa na balali nashangaa bunge letu wamelusu mashogo bungeni na iramba kumchagua shoga
kiswahili kibovu kama uliishia la saba na matusi huku ukitoa mchango wako kama gazeti la udaku.:A S thumbs_down:
 
Umesahau wasemavyo wahenga juu ya mchimba kaburi kuwa huingia mwenyewe ee! Vyote ving'aavyo si dhahabu. Tunamshukuru kwa kujichimbia kaburi mwenyewe na kuweka historia kwa kizazi chake kama gaidi: maana with time itajulikana tu kuwa Mwigulu is a trator of our national unity and democracy!
 
Nyota yake inazidi kupaa kwa kufanya ngono kwenye kampeni Igunga au?
 
Kijijini kwetu kuna kichaa kila mtu anamfahamu ni maarufu sana. Mwigulu ni kweli anajulikana sana . Kunasababu nyingi za kujulikana. Mzizi, muuaji, mwongo, mfitini, mchumia tumbo na kissing ........lazima wajulikane.

Maneno na matendo yake lazima yawafanye wengi wahamaki. Shetani ni maarufu sana duniani.
" Shetani ni Maarufu sana Duniani " haya maneno ndiyo hasa yanamfaa katika wasifu wa Mwigulu na sii vinginevyo.
 
Back
Top Bottom