Nyota ya Mwigulu Yazidi Kung'ara!

Nyota ya Mwigulu Yazidi Kung'ara!

kuishabikia CM ni aibu kubwa kuliko ya kutembea uchi. Kwa taarifa yako Mwingulu ni miongoni mwa watu wanoichimbia kaburi CCM. Na kwa kuwa Kifo cha CCM ni mpango wa Mungu ndio maana hata wenye akili wachache huko CCM hawalioni hili. Wangekua wanaliona ungekuta wameshamvua uanachama.
Wafuatao ndio wanaiua CCM
1.Nape
2.Mwingulu
3.wassira
4.Lukuvi
5.Makinda
6.Ndugai
7.TISS
8.Ikulu
9.CHADEMA
10.Foleni ya DSM
11.Ugumu wa maisha nchi nzima
12.Ubovu wa Elimu
N.K
 
kikao cha bunge la bajeti kikiwa kinaendelea siyo siri tena, mbunge anazungumzwa sana nje ya bunge maeneo yote ya viunga vya bunge mjini dodoma na mitaani, pia katika vyombo vya habari ni jina la mwigulu, ni shupavu, mwerevu, jasiri aliye na weredi wa kupangua hoja za wapinzania pasipo kupepesa macho.

Mwigulu ni hazina ya ccm na taifa la tanzania kwa ujumla na yuko tayari kutetea maslahi ya nchi pasipo kuangalia udini wala ukabila. Mwigulu amekuwa ni mwiba mkali wa wabunge wa upinzania ambao walizoea kutoa kejeli kwa ccm na serikali yake; jibu limepatikana dawa ya cdm ndani ya bunge ni mwigulu. Hoja zake zimekuwa ni kufungua kaburi la kuizika cdm! Hongera mwigulu usirudi nyuma, tunakupongeza, unaandaliwa mapokezi makubwa kuanzia manyoni hadi iramba kutokana na hoja zako zilizogeuka mwiba kwa chadema
umetokea wapi mda huu!!!!!!!!!!!!!! Nakushauli kanawe mikono inanuka ulichovuta
 
mmhh...amakweli?yani mjinga huyo?et magazeti?mpambe sana si umejua hasomi magazeti sasa atakulipaje kwa ujinga wenu zaidi ya kumpamba?
 
Kikao cha Bunge la Bajeti kikiwa kinaendelea siyo siri tena, mbunge anazungumzwa sana nje ya bunge maeneo yote ya viunga vya bunge mjini Dodoma na mitaani, pia katika vyombo vya habari ni jina la MWIGULU, ni shupavu, mwerevu, jasiri aliye na weredi wa kupangua hoja za wapinzania pasipo kupepesa macho.

Mwigulu ni hazina ya CCM na taifa la Tanzania kwa ujumla na yuko tayari kutetea maslahi ya nchi pasipo kuangalia udini wala ukabila. Mwigulu amekuwa ni mwiba mkali wa wabunge wa upinzania ambao walizoea kutoa kejeli kwa CCM na serikali yake; JIBU limepatikana dawa ya CDM ndani ya BUNGE ni MWIGULU. Hoja zake zimekuwa ni kufungua kaburi la kuizika CDM! Hongera Mwigulu Usirudi nyuma, tunakupongeza, Unaandaliwa mapokezi makubwa kuanzia MANYONI hadi Iramba kutokana na hoja zako zilizogeuka mwiba kwa CHADEMA
Yan ukiambiwa utaje role modal wako utasema mwinguru.....ha ha ha ha inawezekana wewe akili yako ni ta.h.r.a kabisa mana huyo unamsifia akili yake ndogo kama ya kuku

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kikao cha Bunge la Bajeti kikiwa kinaendelea siyo siri tena, mbunge anazungumzwa sana nje ya bunge maeneo yote ya viunga vya bunge mjini Dodoma na mitaani, pia katika vyombo vya habari ni jina la MWIGULU, ni shupavu, mwerevu, jasiri aliye na weredi wa kupangua hoja za wapinzania pasipo kupepesa macho.

Mwigulu ni hazina ya CCM na taifa la Tanzania kwa ujumla na yuko tayari kutetea maslahi ya nchi pasipo kuangalia udini wala ukabila. Mwigulu amekuwa ni mwiba mkali wa wabunge wa upinzania ambao walizoea kutoa kejeli kwa CCM na serikali yake; JIBU limepatikana dawa ya CDM ndani ya BUNGE ni MWIGULU. Hoja zake zimekuwa ni kufungua kaburi la kuizika CDM! Hongera Mwigulu Usirudi nyuma, tunakupongeza, Unaandaliwa mapokezi makubwa kuanzia MANYONI hadi Iramba kutokana na hoja zako zilizogeuka mwiba kwa CHADEMA

Bi Kidude katikisa nchi mpaka JK kahairisha ziara ulaya unafikiri mchezo.
 
Mhhh!! Hii kondomu imetoboka..shahawa zinamwagika...
 
Mtanzania wa kwanza kufichua ugaidi nchini,anastahili pongezi
 
Kikao cha Bunge la Bajeti kikiwa kinaendelea siyo siri tena, mbunge anazungumzwa sana nje ya bunge maeneo yote ya viunga vya bunge mjini Dodoma na mitaani, pia katika vyombo vya habari ni jina la MWIGULU, ni shupavu, mwerevu, jasiri aliye na weredi wa kupangua hoja za wapinzania pasipo kupepesa macho.

Mwigulu ni hazina ya CCM na taifa la Tanzania kwa ujumla na yuko tayari kutetea maslahi ya nchi pasipo kuangalia udini wala ukabila. Mwigulu amekuwa ni mwiba mkali wa wabunge wa upinzania ambao walizoea kutoa kejeli kwa CCM na serikali yake; JIBU limepatikana dawa ya CDM ndani ya BUNGE ni MWIGULU. Hoja zake zimekuwa ni kufungua kaburi la kuizika CDM! Hongera Mwigulu Usirudi nyuma, tunakupongeza, Unaandaliwa mapokezi makubwa kuanzia MANYONI hadi Iramba kutokana na hoja zako zilizogeuka mwiba kwa CHADEMA

Kwa mafisadi, wezi na wote wenye roho za kishetani na wanaoendekeza mambo ya giza kama yeye wataona na kujiaminisha kuwa nyota inazidi kung'aa lakini hali halisi ni kuwa ung'avu wa hiyo nyota unazidi kufifia siku hadi siku.
 
Endelea kutumika kama condom mdogo wangu..! Siyo kosa lako ni kosa la wazazi wako waliokufanya uwe mchumia tumbo..!
Matusi tu ndio mnayoyajua mkimbiwa ukweli mnakasirika
  • 'Wanapoongea Watu wazima watoto kalaleni'
  • 'Sindano ili ijulikane imeshona ni lazima iingiziwe uzi kwa nyuma ndio ifanye kazi'
 
Mwigulu ni mtoa kucha na meno hana la maana zaidi ya wendawazimu kwa mwenyekiti wa ccm nae mwendawazi akampa mwendawazimu mwenzie unaibu ukatibu hovyoooo kabisa.
 
Ni kweli matusi yote na ujuha ni lazima nyota ya kijuha na matusi inang'aa kwenye paji la uso wake ndio maana wenye macho wanaona!
 
tuta ujua ukweli wa hoja yako mwaka 2015,kwa taarifa yako tu, kajipalia makaa ya mawe maana kwa sasa hata mbwa tu hazimtaki....
 
Kikao cha Bunge la Bajeti kikiwa kinaendelea siyo siri tena, mbunge anazungumzwa sana nje ya bunge maeneo yote ya viunga vya bunge mjini Dodoma na mitaani, pia katika vyombo vya habari ni jina la MWIGULU, ni shupavu, mwerevu, jasiri aliye na weredi wa kupangua hoja za wapinzania pasipo kupepesa macho.

Mwigulu ni hazina ya CCM na taifa la Tanzania kwa ujumla na yuko tayari kutetea maslahi ya nchi pasipo kuangalia udini wala ukabila. Mwigulu amekuwa ni mwiba mkali wa wabunge wa upinzania ambao walizoea kutoa kejeli kwa CCM na serikali yake; JIBU limepatikana dawa ya CDM ndani ya BUNGE ni MWIGULU. Hoja zake zimekuwa ni kufungua kaburi la kuizika CDM! Hongera Mwigulu Usirudi nyuma, tunakupongeza, Unaandaliwa mapokezi makubwa kuanzia MANYONI hadi Iramba kutokana na hoja zako zilizogeuka mwiba kwa CHADEMA
Ukitaka kupima vyema kauli yako toa hivyo vyama viwili katika nafsi ya huyo jamaa, alafu angalia kama kweli ana UTAIFA. Ndugu zangu hasa mlio vijana, tunahitaji sana mapinduzi ya FIKRA, na mapinduzi hayo yatakuja tu pale tutakapokuwa wakweli katika kujitambua na kutambua tunatakiwa kufanya NINI kwaajili ya TAIFA na siyo tu kushabikia SIASA. Mie sidhani katika nyakati hizi, kijana akajitokeza kupoteza muda mwingi sana kuzuia mfumo wa vyama vingi na demokrasia ya vyama vingi kwa kupiga propaganda kana kwamba bado tupo miaka ya 47 mpaka 1980s. Huwezi ukajifanya una UTAIFA wakati unafisha demokrasia. Nasikitika sana kwamba tulitegemea vijana kama hao waelewe maana ya demokrasia ya kweli na kuwa na mapinduzi ya kifikra ya kupamabanisha sera,hoja za kuleta maendeleo badala ya kujipigia debe kwa kuwa maarufu wa kupambana na wapinzani, vijana wa kweli wataonekana hata katika utulivu wa kutoa hoja, kukubali kukosolewa, kukubali upinzani katika hoja na kukalibisha tofauti katika kuleta umoja na kujenga nchi, YULE ANAYEONA UPINZANI AMA WAPINZANI NI MAADUI,HAFAI KABISA HATA KUONGOZA FAMILIA, maana kuna siku mtoto wake ama mke wake atampinga, ataamua kumuua.YULE ANAYEOGOPA, AMA KUWA NA HOFU DHIDI YA WAPINZANI NA KUTUMIA KILA NJIA KUZIMA UPINZANI KAMA NJIA YA KUTOA HOFU HAFAI, Mwelevu anaonekana katika kusimamia hoja na kukubali kushindwa pale napoona kashindwa. Inawezekana huyo jamaa hana udini(hatujui dini yake) na hana ukabila maana kabila lake ni kati ya yale amabayo ni minority katika Tanzania lakini hilo la kutetea maslahi ya NCHI ambayo naifahamu mimi kuwa ni TANZANIA hapana, yeye anatetea MFUMO WA CHAMA KIMOJA AMBAO HUUA DEMOKRASI, anatetea maslahi ya chama chake kwa faida zake na viongozi na siyo wanachama, zaidi sana, anatetea maslahi yake kama yeye. Hakuna UTAIFA HAPO.
 
Lazima ang'ae sababu anakikundi cha kigaidi cha kung'oa watu kucha, meno na macho bila ganzi
 
Kikao cha Bunge la Bajeti kikiwa kinaendelea siyo siri tena, mbunge anazungumzwa sana nje ya bunge maeneo yote ya viunga vya bunge mjini Dodoma na mitaani, pia katika vyombo vya habari ni jina la MWIGULU, ni shupavu, mwerevu, jasiri aliye na weredi wa kupangua hoja za wapinzania pasipo kupepesa macho.

Mwigulu ni hazina ya CCM na taifa la Tanzania kwa ujumla na yuko tayari kutetea maslahi ya nchi pasipo kuangalia udini wala ukabila. Mwigulu amekuwa ni mwiba mkali wa wabunge wa upinzania ambao walizoea kutoa kejeli kwa CCM na serikali yake; JIBU limepatikana dawa ya CDM ndani ya BUNGE ni MWIGULU. Hoja zake zimekuwa ni kufungua kaburi la kuizika CDM! Hongera Mwigulu Usirudi nyuma, tunakupongeza, Unaandaliwa mapokezi makubwa kuanzia MANYONI hadi Iramba kutokana na hoja zako zilizogeuka mwiba kwa CHADEMA
You must be another impotent and stupid person!!!!!!
 
hakika,mwigulu ni noma! 2015 tunafukuza tundu lisu
 
Back
Top Bottom