Nyota ya Mwigulu Yazidi Kung'ara!

Nyota ya Mwigulu Yazidi Kung'ara!

Shonja na Mwampamba wameshakwisha muda wao.????

Muda wao utaisha siku watakayoingia kaburini, long as bado wanaishi, mtawaona sana na watazidi kuwaanika madudu yenu hadi wawatoe wadhalimu wote kutoka huko mafichoni (CHADEMA) mlipojifichia.

Tulichohisi ni kwamba tulitumia bunduki (Shonza na Mwampamba) kuua mbu (CHADEMA). Kwa sasa pambaneni na Mh. Mwigulu kwanza.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kikao cha Bunge la Bajeti kikiwa kinaendelea siyo siri tena, mbunge anazungumzwa sana nje ya bunge maeneo yote ya viunga vya bunge mjini Dodoma na mitaani, pia katika vyombo vya habari ni jina la MWIGULU, ni shupavu, mwerevu, jasiri aliye na weredi wa kupangua hoja za wapinzania pasipo kupepesa macho.

Mwigulu ni hazina ya CCM na taifa la Tanzania kwa ujumla na yuko tayari kutetea maslahi ya nchi pasipo kuangalia udini wala ukabila. Mwigulu amekuwa ni mwiba mkali wa wabunge wa upinzania ambao walizoea kutoa kejeli kwa CCM na serikali yake; JIBU limepatikana dawa ya CDM ndani ya BUNGE ni MWIGULU. Hoja zake zimekuwa ni kufungua kaburi la kuizika CDM! Hongera Mwigulu Usirudi nyuma, tunakupongeza, Unaandaliwa mapokezi makubwa kuanzia MANYONI hadi Iramba kutokana na hoja zako zilizogeuka mwiba kwa CHADEMA

Ni kweli ni hazina ya chama maana ndo kinaendelea kufa na yeye atabaki kwenye kumbukumbu ya walioua chama cha Mapinduzi
 
lini mwigulu aliongea kwa facts bungen?kazi yake nikutoa mitusi na pumba nyingi hawezi aka simama na mbunge yoyote wa chadema labda viti maalum na cuf ndo kuna vilaza uko.
 
Kikao cha Bunge la Bajeti kikiwa kinaendelea siyo siri tena, mbunge anazungumzwa sana nje ya bunge maeneo yote ya viunga vya bunge mjini Dodoma na mitaani, pia katika vyombo vya habari ni jina la MWIGULU, ni shupavu, mwerevu, jasiri aliye na weredi wa kupangua hoja za wapinzania pasipo kupepesa macho.

Mwigulu ni hazina ya CCM na taifa la Tanzania kwa ujumla na yuko tayari kutetea maslahi ya nchi pasipo kuangalia udini wala ukabila. Mwigulu amekuwa ni mwiba mkali wa wabunge wa upinzania ambao walizoea kutoa kejeli kwa CCM na serikali yake; JIBU limepatikana dawa ya CDM ndani ya BUNGE ni MWIGULU. Hoja zake zimekuwa ni kufungua kaburi la kuizika CDM! Hongera Mwigulu Usirudi nyuma, tunakupongeza, Unaandaliwa mapokezi makubwa kuanzia MANYONI hadi Iramba kutokana na hoja zako zilizogeuka mwiba kwa CHADEMA
Sijaona kitu hapo cha kumng'arisha au kummeremetesha braza Mwigulu.Kutoka nje ya wajibu wa kibunge kuisimamia na kuibana serikali iwaletee wananchi wake maendeleo hakuwezi kumfanya kiongozi yeyote ang'ae badala yake ni dalili mbaya ya mtu kuelekea kuishia kisiasa.AU hiyo staili ya Mwigulu imewanufaisha nini wenzetu wana Iramba?
 
Mafilili hivi kati ya aliyepata zero na Div.One wote huwa wanazungumzwa ila unaweza kujua ni yupi huwa anazungumzwa zaidi? .kwa watu wa masoko wanasema Bidhaa/huduma mbaya taarifa zake kupitia mtu mmoja uwafikia watu kati ya 15 na zaidi ila kwa ile nzuroi uwafikia watu 10 tu
 
Hivi anapangua hoja yeye amekuwa serikali? hoja zinatakiwa kupanguliwa na upande wa serikali na sio mbunge. Inamaana Nchemba anaitetea serikali badala ya kuisimamia na kuishauri? Anachokifanya mwigulu ni kupiga kampeni
 
Jambazi,muuaji na mzizi ndo sifa zake.Huo ulevi wa madaraka mwisho wake 2015
 
Mwigulu yule anayetumia jina la mtu mwingine ndiye maarufu Bungeni ?. Labda umaarufu wake ni kuweza kutumia jina la Msukuma alichunga ng`ombe kule Igunga. WT tusishabikie wapotoshaji na watesaji, leo unashangilia siku atakapokugeukia utamuelewa.
 
kikao cha bunge la bajeti kikiwa kinaendelea siyo siri tena, mbunge anazungumzwa sana nje ya bunge maeneo yote ya viunga vya bunge mjini dodoma na mitaani, pia katika vyombo vya habari ni jina la mwigulu, ni shupavu, mwerevu, jasiri aliye na weredi wa kupangua hoja za wapinzania pasipo kupepesa macho.

Mwigulu ni hazina ya ccm na taifa la tanzania kwa ujumla na yuko tayari kutetea maslahi ya nchi pasipo kuangalia udini wala ukabila. Mwigulu amekuwa ni mwiba mkali wa wabunge wa upinzania ambao walizoea kutoa kejeli kwa ccm na serikali yake; jibu limepatikana dawa ya cdm ndani ya bunge ni mwigulu. Hoja zake zimekuwa ni kufungua kaburi la kuizika cdm! Hongera mwigulu usirudi nyuma, tunakupongeza, unaandaliwa mapokezi makubwa kuanzia manyoni hadi iramba kutokana na hoja zako zilizogeuka mwiba kwa chadema

kweli wewe ni mbumbubu nini kafanya cha kuwatisha cdm? Mwigulu ni k tu
cha moto atakiona 2015 wamtayarishie makazi kama ya balali
 
hahahahahaha mwigulu nyota yake yang'araa kweli siasa muda mwingine ni ukichaa
 
Siasa! Mtu ananuka, unamwambia ananukia! Mtu mchafu, unamwambia msafi! Mtu hakubaliki, unamwambia anakubalika! Mtu hapendwi, unamwambia anapendwa! Hiyo ndiyo siasa ya kinafiki ya Tanzania! Hivi kweli nani anamkubali huyo Mwigulu? Hiyo nyota yake inang'ara wapi? Mpeni kichwa huku mnammaliza kisiasa!
 
mbona lile la kufumaniwa hujalijumuisha kwenye wasifu wa huyo semi-homohabilis unayempigia upatu hapa
 
napita maana kwa upeo wangu siwezi kuchangia upuuzi ili kuwapa watu kipato cha siku pale Lumumba
 
Ile gari za TOT taarabu limeandaliwa lakini maana nahofia isije kuwa aibu, Si unajua wapambe wetu ni taarabu kwa kwenda mbele!!
 
Back
Top Bottom