Nyota ya Mwigulu Yazidi Kung'ara!

Nyota ya Mwigulu Yazidi Kung'ara!

Kikao cha Bunge la Bajeti kikiwa kinaendelea siyo siri tena, mbunge anazungumzwa sana nje ya bunge maeneo yote ya viunga vya bunge mjini Dodoma na mitaani, pia katika vyombo vya habari ni jina la MWIGULU, ni shupavu, mwerevu, jasiri aliye na weredi wa kupangua hoja za wapinzania pasipo kupepesa macho.

Mwigulu ni hazina ya CCM na taifa la Tanzania kwa ujumla na yuko tayari kutetea maslahi ya nchi pasipo kuangalia udini wala ukabila. Mwigulu amekuwa ni mwiba mkali wa wabunge wa upinzania ambao walizoea kutoa kejeli kwa CCM na serikali yake; JIBU limepatikana dawa ya CDM ndani ya BUNGE ni MWIGULU. Hoja zake zimekuwa ni kufungua kaburi la kuizika CDM! Hongera Mwigulu Usirudi nyuma, tunakupongeza, Unaandaliwa mapokezi makubwa kuanzia MANYONI hadi Iramba kutokana na hoja zako zilizogeuka mwiba kwa CHADEMA

..huyu lazima awe mwigulu au katibu wake,nimetoka kwenye mjadala radio moja wachangiaji woooote wameponda kuanzia ndugai mpaka huyu wanaemwita hazina yao watu wanamuita chemba !! anasema ni hazina !!?? no wonder mnatumia polisi kukinusuru chama kama hii ndo hazina yenu...
 
Kikao cha Bunge la Bajeti kikiwa kinaendelea siyo siri tena, mbunge anazungumzwa sana nje ya bunge maeneo yote ya viunga vya bunge mjini Dodoma na mitaani, pia katika vyombo vya habari ni jina la MWIGULU, ni shupavu, mwerevu, jasiri aliye na weredi wa kupangua hoja za wapinzania pasipo kupepesa macho.

Mwigulu ni hazina ya CCM na taifa la Tanzania kwa ujumla na yuko tayari kutetea maslahi ya nchi pasipo kuangalia udini wala ukabila. Mwigulu amekuwa ni mwiba mkali wa wabunge wa upinzania ambao walizoea kutoa kejeli kwa CCM na serikali yake; JIBU limepatikana dawa ya CDM ndani ya BUNGE ni MWIGULU. Hoja zake zimekuwa ni kufungua kaburi la kuizika CDM! Hongera Mwigulu Usirudi nyuma, tunakupongeza, Unaandaliwa mapokezi makubwa kuanzia MANYONI hadi Iramba kutokana na hoja zako zilizogeuka mwiba kwa CHADEMA

Kushabikia upuuzi kama huu ni kuhatarisha kabisa demokrasia na amani ya nchi yetu. Inasikitisha sana kuona upuuzi kama wa Mwigulu unashabikiwa na watu wenye akili timamu.

Ipo siku tutakuja juta sana kushabikia mambo yaliyo na madhara makubwa kwa taifa letu. Mwigulu atakumbukwa kuwa yeye amechangia kulitumbukiza taifa katika machafuko.

Nikiwa kama mtanzania mzalendo nachukia sana hizi mbinu zinazotumika kuua demokrasia. Kwani haiwezekani kushindana kwa hoja zenye mashiko na za msingi? Kwani iko haja ya nini kubambikia vioja na vituko upande wa upinzani? Jaribuni kufikiria hii nchi ni ya wote hivyo tujitahidi kuwa waungwana. Ushauri wangu kama upinzani ni tatizo basi ufutwe pindi katiba mpya ikiandikwa. Tubaki na chama kimoja kitawale milele hadi mungu atakapo sema basi.

Mwisho namaliza kwa kusema wengi wanaoshabikia haya maovu basi wananufaika na huu mfumo uliopo sasa wa serikali ya kifisadi na isiopenda demokrasia ya kweli. Huwezi kudanganya watu wakati wote, ipo siku utaumbuka na utabaki mdomo wazi. Mungu yupo anasikia kilio cha wengi na naamini ipo siku atajibu!
 
Kikao cha Bunge la Bajeti kikiwa kinaendelea siyo siri tena, mbunge anazungumzwa sana nje ya bunge maeneo yote ya viunga vya bunge mjini Dodoma na mitaani, pia katika vyombo vya habari ni jina la MWIGULU, ni shupavu, mwerevu, jasiri aliye na weredi wa kupangua hoja za wapinzania pasipo kupepesa macho.

Mwigulu ni hazina ya CCM na taifa la Tanzania kwa ujumla na yuko tayari kutetea maslahi ya nchi pasipo kuangalia udini wala ukabila. Mwigulu amekuwa ni mwiba mkali wa wabunge wa upinzania ambao walizoea kutoa kejeli kwa CCM na serikali yake; JIBU limepatikana dawa ya CDM ndani ya BUNGE ni MWIGULU. Hoja zake zimekuwa ni kufungua kaburi la kuizika CDM! Hongera Mwigulu Usirudi nyuma, tunakupongeza, Unaandaliwa mapokezi makubwa kuanzia MANYONI hadi Iramba kutokana na hoja zako zilizogeuka mwiba kwa CHADEMA
wewe kweli umekunywa maji ya kijani, mwigulu huyu huyu mfadhili ung'oaji watu kucha bila ganzi?
 
mwigulu anajiita Mchumi daraja la kwanza lakn ukimskiliza unaona huyu jamaa ni Lunatic mana kwa m2 msomi kama anavyojiita yeye halafu anashindwa kujenga hoja badala yake anaongea kwa jazba mpaka povu linamtoka? Huyu hana tofauti na Tambwe Hiza wakati ule alipo2mika kuibomoa Cuf kwa propaganda zake zisizo na tija! Mwigulu ni Lunatic
 
Kikao cha Bunge la Bajeti kikiwa kinaendelea siyo siri tena, mbunge anazungumzwa sana nje ya bunge maeneo yote ya viunga vya bunge mjini Dodoma na mitaani, pia katika vyombo vya habari ni jina la MWIGULU, ni shupavu, mwerevu, jasiri aliye na weredi wa kupangua hoja za wapinzania pasipo kupepesa macho.

Mwigulu ni hazina ya CCM na taifa la Tanzania kwa ujumla na yuko tayari kutetea maslahi ya nchi pasipo kuangalia udini wala ukabila. Mwigulu amekuwa ni mwiba mkali wa wabunge wa upinzania ambao walizoea kutoa kejeli kwa CCM na serikali yake; JIBU limepatikana dawa ya CDM ndani ya BUNGE ni MWIGULU. Hoja zake zimekuwa ni kufungua kaburi la kuizika CDM! Hongera Mwigulu Usirudi nyuma, tunakupongeza, Unaandaliwa mapokezi makubwa kuanzia MANYONI hadi Iramba kutokana na hoja zako zilizogeuka mwiba kwa CHADEMA

Mwigulu anaelekea kuzimu na siasa zake, ukimwangalia usoni utaona ni mtu wenye roho chafu ya kuua na kusema uongo! Mimi Namuombea abadilike!
 
Nadhani imefika wakati sisi tunaoleta threads hapa jamvini tuache ushabiki.
Hayo uliyoandika mengi ni kutokana na unavyofikiri na wala ssio hali halisi.
Sehemu pekee ninayoweza kuafikiana nawe ni kuwa Nchemba ni hazina ya CCM.
Lakini hilo la kuandika ni hazina ya Taifa, aisee hapo nitakupinga kwa hoja zote.
 
uyu ni kuadi tu wa balali bot bank of tanzania inasemekana alilawitiwa na balali nashangaa bunge letu wamelusu mashogo bungeni na iramba kumchagua shoga

Inawezekana sio yeye hata bunge kuwa chini ya spika Njiwa mwenye Makinda na Ndugu Gay linaelekea kuwa impotency
 
Mimi ninayo video inayonyesha mwingulu mchemba akilawitiwa na balali.nitaiweka hapa jamvini muione
 
mleta mada na mwigulu ni mashoga, fuk.. u huoni aibu kuleta ushuzi huu, ina angalia wapinzani badala kuangalia wananchi wanavyotaabika
 
kikao cha bunge la bajeti kikiwa kinaendelea siyo siri tena, mbunge anazungumzwa sana nje ya bunge maeneo yote ya viunga vya bunge mjini dodoma na mitaani, pia katika vyombo vya habari ni jina la mwigulu, ni shupavu, mwerevu, jasiri aliye na weredi wa kupangua hoja za wapinzania pasipo kupepesa macho.

Mwigulu ni hazina ya ccm na taifa la tanzania kwa ujumla na yuko tayari kutetea maslahi ya nchi pasipo kuangalia udini wala ukabila. Mwigulu amekuwa ni mwiba mkali wa wabunge wa upinzania ambao walizoea kutoa kejeli kwa ccm na serikali yake; jibu limepatikana dawa ya cdm ndani ya bunge ni mwigulu. Hoja zake zimekuwa ni kufungua kaburi la kuizika cdm! Hongera mwigulu usirudi nyuma, tunakupongeza, unaandaliwa mapokezi makubwa kuanzia manyoni hadi iramba kutokana na hoja zako zilizogeuka mwiba kwa chadema
mwenyewe nampenda hv atagombea uraisi??
Mshaulini agombeee uwezo wake mkubwa zaidi ya jk!
 
mleta mada na mwigulu wote ni mashoga, fuk..u, ndo ilichoona hiyo ndo point kwa macccm, we huoni watanzania wanavyoteseka shenzi tp
 
wewe na mwigulu ni mashoga, fuk..u, unaangalia hoja za wapinzani badala ya kuangalia hao bibi zako hata sukari hawara umekalia kujipendekeza kwa kuvaa nguo za kijani, shenzi tp
 
Hivi nyie mnamsifia Mwigulu kwa lipi? iwe makini M.Nchemba ndio anachangia kuiua CCM hata kama mtampokea maandamano ya kuanzia humo mjengoni ila nawahakikishia siku sio nyingi mtagundua kumbe Mwigulu NI MUUAJI WA CCM NA ANAKISAIDIA CHADEMA KUIMARIKA ZAIDI.
 
Kikao cha Bunge la Bajeti kikiwa kinaendelea siyo siri tena, mbunge anazungumzwa sana nje ya bunge maeneo yote ya viunga vya bunge mjini Dodoma na mitaani, pia katika vyombo vya habari ni jina la MWIGULU, ni shupavu, mwerevu, jasiri aliye na weredi wa kupangua hoja za wapinzania pasipo kupepesa macho.

Mwigulu ni hazina ya CCM na taifa la Tanzania kwa ujumla na yuko tayari kutetea maslahi ya nchi pasipo kuangalia udini wala ukabila. Mwigulu amekuwa ni mwiba mkali wa wabunge wa upinzania ambao walizoea kutoa kejeli kwa CCM na serikali yake; JIBU limepatikana dawa ya CDM ndani ya BUNGE ni MWIGULU. Hoja zake zimekuwa ni kufungua kaburi la kuizika CDM! Hongera Mwigulu Usirudi nyuma, tunakupongeza, Unaandaliwa mapokezi makubwa kuanzia MANYONI hadi Iramba kutokana na hoja zako zilizogeuka mwiba kwa CHADEMA
MAFILILI hapa bongo kuna watu wanaandikwa kwenye magazeti ya udaku na wanajulikana mitaani kama Ant Ezekieli,Ant Suzy japo siyo kwa mambo mazuri bali ni Mash.o.ga wa kutupwa mitaani na kama unamaanisha hivyo hongera.
 
Last edited by a moderator:
tunaposema watanzania vijana hawana uzalendo hizi ndo dalili zenye uthibitisho huo.Hekima ya mtu haipimwi kwa kutoongea busara.na kusoma au kufanya BOt si kuwa na busara.Bali mapokeo yenye kujenga msitakabali wa kijamii na taifa kwa ujumla ndo hekima inayotakiwa na vijana wengi hasa ambao wananunua simu kuja JF kuongea pumba.Nimekuwa mfuatiliaji wa hoja za NCHEMBA, kimsingi mwenyekiti wake wa ccm anachangamoto kwa vigezo dhaifu vya kumchagua kuwa katibu msaidizi wa chama.Pia wapiga kura wake hawana mwakilishi thabiti wa kutetea masilahi yao , bali mpayukaji.Kimsingi ana msongo wa kutojitambua kuwa jamii inamuona vipi katika kipimo cha ukomavu wa kisiasa.Ukomavu wa kisiasa ni kueteta masilahi ya umma na si kulumbana na wapinzani.na pia ukomavu wa kisiasa si kutukana matusi kupayuka, kuropoka kisa eti dola imnamlinda pamoja na chama.Akumbuke hata akina hitler walisiwa sana enzi zao, akina bokasa, akina mobutu, lakini leo baada kufa hakuna hata mahali wanasifiwa.Kuwa kwenye chama na kusahau masilahi ya umma, siku akitoka madarakani, atapata shida namna ya kuishi na jamii, sababu hakufanya jema badala yake aliiasi.nakukumbusha mdau mleta uzi huu, acha kuwa mshirika wa uovu, katika kujenga nchi vijana mnatakiwa kuwa waungwana, wazelendo na watetezi wa masilahi ya umma na si kupayuka, kuropoka kutukana.Acha kuwa mashbiki wa NCHEMBA kiasa anakulipa, bali tetea masilahi ya umma na masitakabali wa baadaye.
 
bibi yangu alinitahadharisha sana nilipokuwa naanza kukua kuwa bangi ni kitu kibaya sana na ukivuta mara moja inaweza kukaa hata miaka saba kichwani, niliiogopa na sikuwahi kuigusa hadi leo!
 
Kikao cha Bunge la Bajeti kikiwa kinaendelea siyo siri tena, mbunge anazungumzwa sana nje ya bunge maeneo yote ya viunga vya bunge mjini Dodoma na mitaani, pia katika vyombo vya habari ni jina la MWIGULU, ni shupavu, mwerevu, jasiri aliye na weredi wa kupangua hoja za wapinzania pasipo kupepesa macho.

Mwigulu ni hazina ya CCM na taifa la Tanzania kwa ujumla na yuko tayari kutetea maslahi ya nchi pasipo kuangalia udini wala ukabila. Mwigulu amekuwa ni mwiba mkali wa wabunge wa upinzania ambao walizoea kutoa kejeli kwa CCM na serikali yake; JIBU limepatikana dawa ya CDM ndani ya BUNGE ni MWIGULU. Hoja zake zimekuwa ni kufungua kaburi la kuizika CDM! Hongera Mwigulu Usirudi nyuma, tunakupongeza, Unaandaliwa mapokezi makubwa kuanzia MANYONI hadi Iramba kutokana na hoja zako zilizogeuka mwiba kwa CHADEMA

we ndio Mfilw kama jina lako linavyojieleza sija ona hoja ya wapinzani hata moja iliyojibiwa na magamba hasa huyu mzinzi Mwigulu hajajibu wale Dr Ulimboka alio wataja walio mtesa na kudhulu wapo wapi na mbona hawaja hojiwa! na vipi kuvua gamba kumeishia wapi yeye kama mjumbe wa secreteriate ya magamba na anieleze kuhusu kagoda,deep green,meremeta bilq kusahau epa akijibu hayo atakuwa kajibu tone tu la hoja za nguvu za wapinzani.
 
Back
Top Bottom