" Shetani ni Maarufu sana Duniani " haya maneno ndiyo hasa yanamfaa katika wasifu wa Mwigulu na sii vinginevyo.
Mpango wa Mungu lazima utimie kwa CDM Hata mujipe moyo kwa kumtegemea Chemba la maccm.Mwigulu ni mwwiba kwa ustawi wa CDM na bado anatembea na siri kubwa ya chama chenu, siku ya siku itakuwa fedheha kwa CDM
Sio sahihi, kunatofauti ya kuchukua mke wa mtu na kuiba mke wa mtu. Kuchukua ni kitendo cha wazi baada ya aliyenaye kumshindwa na kuiba ni bila ridhaa ya mwenye mke na inafanyika kwa usiri.Miongoni mwa sifa za shetani ni kuchukua wake za watu. Katika hili wako wengi kwa umaarufu
Sio sahihi, kunatofauti ya kuchukua mke wa mtu na kuiba mke wa mtu. Kuchukua ni kitendo cha wazi baada ya aliyenaye kumshindwa na kuiba ni bila ridhaa ya mwenye mke na inafanyika kwa usiri.
Kikao cha Bunge la Bajeti kikiwa kinaendelea siyo siri tena, mbunge anazungumzwa sana nje ya bunge maeneo yote ya viunga vya bunge mjini Dodoma na mitaani, pia katika vyombo vya habari ni jina la MWIGULU, ni shupavu, mwerevu, jasiri aliye na weredi wa kupangua hoja za wapinzania pasipo kupepesa macho.
Mwigulu ni hazina ya CCM na taifa la Tanzania kwa ujumla na yuko tayari kutetea maslahi ya nchi pasipo kuangalia udini wala ukabila. Mwigulu amekuwa ni mwiba mkali wa wabunge wa upinzania ambao walizoea kutoa kejeli kwa CCM na serikali yake; JIBU limepatikana dawa ya CDM ndani ya BUNGE ni MWIGULU. Hoja zake zimekuwa ni kufungua kaburi la kuizika CDM! Hongera Mwigulu Usirudi nyuma, tunakupongeza, Unaandaliwa mapokezi makubwa kuanzia MANYONI hadi Iramba kutokana na hoja zako zilizogeuka mwiba kwa CHADEMA[/QUOTE
yuko bungeni kuwakilisha wananchi wa iramba sio ccm, na kazi ya mbunge ni kuhakikisha anapeleka matatizo ya wananchi serikalini ili yatatuliwe, akumbuke alitoa ahadi ya kwa watu wa iramba kwamba atatatua matatizo ya maji,afya,barabara na hakuna alichokifanya mpaka sasa,hakupewa ubunge ili aende bungeni kuiponda chadema,,endeleeni kujindangaji 2015 sio mbali
Kikao cha Bunge la Bajeti kikiwa kinaendelea siyo siri tena, mbunge anazungumzwa sana nje ya bunge maeneo yote ya viunga vya bunge mjini Dodoma na mitaani, pia katika vyombo vya habari ni jina la MWIGULU, ni shupavu, mwerevu, jasiri aliye na weredi wa kupangua hoja za wapinzania pasipo kupepesa macho.
Mwigulu ni hazina ya CCM na taifa la Tanzania kwa ujumla na yuko tayari kutetea maslahi ya nchi pasipo kuangalia udini wala ukabila. Mwigulu amekuwa ni mwiba mkali wa wabunge wa upinzania ambao walizoea kutoa kejeli kwa CCM na serikali yake; JIBU limepatikana dawa ya CDM ndani ya BUNGE ni MWIGULU. Hoja zake zimekuwa ni kufungua kaburi la kuizika CDM! Hongera Mwigulu Usirudi nyuma, tunakupongeza, Unaandaliwa mapokezi makubwa kuanzia MANYONI hadi Iramba kutokana na hoja zako zilizogeuka mwiba kwa CHADEMA

Mbona wanaofanya kwa maslahi ya chadema hata kuua ili chadema ipenye hamsemi. Hii akili ya kuona kibaya kwa ccm tu ni mbovu sana. Hivi vichaa dema vina ugonjwa ganiwatu wa ajabu sana unadiliki kuandika nyota ya mwigulu yazidi kupanda unasahau mwigulu hayupo pale kwaaji ya chadema au ccm yupo pale kwaajili ya wananchi wa jimboni kwake.ningetalajie uwe nimtu wakumkumbusha mwigulu juu ya ahadi zake alizoziaidi kipindi cha campain za uchaguzi.kwakutafakali mimi naona mwigulu yuko pale kimaslai binafsi na maslai ya chama kwa neno la haraka amekuwa ni marketing officer wa ccm.ulishawai kuona mtu anafanya marketing sikuzote anajitaidi kutumia lugha na mbinu yoyote ili mradi product (bidhaa) yake iuzike.naakitokea mtu kukosoa utakuwa mkali kama mbogo sababu unajua husipouza kibarua kinaweza ota nyasi.ushauri wambieni wabunge wa ccm waache kuifanya siasa ni biashara watapotea.sababu ikiletwa hoja inayogusa chama mtu anakuwa mkali kuliko hata anavyokuwa anatoa hoja kuhusu mahitaji ya jimboni kwake.hiyo kasi na hasira wanayo itumia kutetea chama chao wangefaa waitumie katika kutetea matatizo ya jimboni kwao .sizani kama wangekuwa hivyo kuna mbunge waupinzani angepata nafasi.lakini kwa kujisahau kwao kuwa wametumwa na wananchi na si ccm ndio wanatoa mwanya mkubwa wa chadema kunyakua viti sababu wananchi wanaona na ndio wanaochagua.poleni nazani wanao sema nyota ya mwigulu ya
ngara si mwananchi anaye tokea jimboni kwake ndio maana unadiliki kusema hivyo.ukingalia kwaundani ccm sasa imekuwa abiria na chadema dereva kwa ujumla inajitaidi kufatilia mambo ya chadema na kusahau wajibu wao kwa wananchi walio watuma.ushauri mimi si mwana ccm ila napenda kuto egemea upande wowote sababu nalipenda taifa langu kuliko chama changu.ccm watu hawaitaji majibizano unachotakiwa kufanya ikitolewa hoja wewe zibitisha kwa wananchi kwa vitendo kwa takwimu kwa maelezo hata ikibidi kwa picha kuwa hii hoja sikweli naukweli ni huu sasa nyie uzibitisho wenu kwakila hoja ni maneno.watu wamechoka na maneno tuseme nyie hamna kumbukumbu za hardcopy yaani vichwa vyenu vimegeuka floppy au hard disc.badilikeni jamani.
Mafilili watoto wanawajua watoto wenzao,vichaa wanawajua vichaa wenzao,waropokaji nao kadhalika.huwa najiuliza wabunge wangekuwa kama mwigulu ingekuwaje?Ila naamini wewe na Mwigulu akili zenu zafanana.Maana nimeshangaa sifa ulizomwagia haziendani kabisa na mhusika.hebu chukua kamusi upate maana ya maneno uliyotumia kumsifu mwigulu utuhakikishie pasi shaka sifa hizo ni zake.labda kama kuna bunge jingine huwa anazungumza point lau moja.