Madaktari mnapenda sana kujiona kuwa nyie ni Daraja la juu kumbe sio hivyo kabisa tambueni serikali ya Tanzania inawatumishi wakada nyingi na kila kada ni muhimu hata kama ni ya Dereva na Mhudumu wa ofic. Kama mnataka masilahi ya haraka rudini shule mkasome coz nyingine kama BCOM,MBA HRM Procurement kuliko kutukera na kelele zenu kila kukicha
Akili yako imetimia kweli?Uppuzi mtupu hakuna wakujiuzulu labda nyie madaktari muache kazi kwanza hakunaaliyewalizimisha kusoma udaktari ni usongo wenu tu wakusoma PCB sasa unawa cost huku tuliopiga coz za kijanja sasa tunakula bata tu katika serikali ya kifisadi
Nakumbuka tulipokuwa tunaingia kidato cha tatu enzi hizoooo Mwalimu akutuambi tuchague Comb ama sayansi ama ART, Vilaza wote wa kufikiri na mabingwa wa kukremisha wakachagua Sayansi PCB na kutamba kuwa wao wameula hahaaa but sisi wajanja wa kufikiri na wadadisi wa mambo tukaenda zetu ART shule lainiii hutoi hata jasho; du chuo miaka 3 then kazi nonooooo, Waasongo waliokimbilia PCB kwakuwa ni vilaza wa kufikiri Chuo miaka 6 du na kufanya kazi masaa 24 wakati sisi mwisho saa 8 mchana then tunaanza kula biaaa na dili za kuingiza fedha. Kwakuwa kupanga ni kuchagua vumilieni tu ndugu zangu siku zote wajinga ndio waliwao hapo mmenasa hamuwezi kujinasua mcheza sana tunawafutia na usajili
Stupid!naunga mkono hoja
Kutokana na taarifa yake ya jana kuwa ametatua matatizo mengi ya madktari na ukiangalia bado madktari wana matatizo lukuki,pili alikataa kuwasikiliza.
Nyoni,mtasiwa,mponda,nkya must go
Nakumbuka tulipokuwa tunaingia kidato cha tatu enzi hizoooo Mwalimu akutuambi tuchague Comb ama sayansi ama ART, Vilaza wote wa kufikiri na mabingwa wa kukremisha wakachagua Sayansi PCB na kutamba kuwa wao wameula hahaaa but sisi wajanja wa kufikiri na wadadisi wa mambo tukaenda zetu ART shule lainiii hutoi hata jasho; du chuo miaka 3 then kazi nonooooo, Waasongo waliokimbilia PCB kwakuwa ni vilaza wa kufikiri Chuo miaka 6 du na kufanya kazi masaa 24 wakati sisi mwisho saa 8 mchana then tunaanza kula biaaa na dili za kuingiza fedha. Kwakuwa kupanga ni kuchagua vumilieni tu ndugu zangu siku zote wajinga ndio waliwao hapo mmenasa hamuwezi kujinasua mcheza sana tunawafutia na usajili
Nakumbuka tulipokuwa tunaingia kidato cha tatu enzi hizoooo Mwalimu akutuambi tuchague Comb ama sayansi ama ART, Vilaza wote wa kufikiri na mabingwa wa kukremisha wakachagua Sayansi PCB na kutamba kuwa wao wameula hahaaa but sisi wajanja wa kufikiri na wadadisi wa mambo tukaenda zetu ART shule lainiii hutoi hata jasho; du chuo miaka 3 then kazi nonooooo, Waasongo waliokimbilia PCB kwakuwa ni vilaza wa kufikiri Chuo miaka 6 du na kufanya kazi masaa 24 wakati sisi mwisho saa 8 mchana then tunaanza kula biaaa na dili za kuingiza fedha. Kwakuwa kupanga ni kuchagua vumilieni tu ndugu zangu siku zote wajinga ndio waliwao hapo mmenasa hamuwezi kujinasua mcheza sana tunawafutia na usajili
Stupid!
your choice to be a doctor was a self inflicted stupidity you realy stepped on it big time.sorry i cant help you I.D.I.O.T
Painful eeh, i do not talk to people of your type, am not of your level either. Idiot its you and your generation. Nothing upstairs.your choice to be a doctor was a self inflicted stupidity you realy stepped on it big time.sorry i cant help you I.D.I.O.T
Mkuu capitol hill, hilo siyo tatizo lake, elimu za kuunga unga mkuu hizo. Never mind him, he is just showing us who he is!Could you tell us hapo kwenye bold ulikuwa una maanisha nini?
Hivi wewe umekuja hapa kufanya nini?????? Kukatisha watu tamaa au una bifu na madaktari, mfanyakazi wa Blandina Nyoni NINI????? Hujui umuhimu wa daktari sio , mtoto wako akishikwa na malaria unampeleka wapi kwa sangoma nini???? Wewe taahira kweli, bila madaktari wewe utaishi salama pamoja na mmeo/mkeo, mama yako, baba yako, mtoto wako, kaa ufikiri kwanza wacha kuropoka ovyo!!!!!!!Hawa madaktari wanahitaji kutiwa moyo maana wao si wana siasa bali ni watendaji, huwezi kulinganisha daktari na kada nyingine labda wewe umefilisika akili!!!!!Nakumbuka tulipokuwa tunaingia kidato cha tatu enzi hizoooo Mwalimu akutuambi tuchague Comb ama sayansi ama ART, Vilaza wote wa kufikiri na mabingwa wa kukremisha wakachagua Sayansi PCB na kutamba kuwa wao wameula hahaaa but sisi wajanja wa kufikiri na wadadisi wa mambo tukaenda zetu ART shule lainiii hutoi hata jasho; du chuo miaka 3 then kazi nonooooo, Waasongo waliokimbilia PCB kwakuwa ni vilaza wa kufikiri Chuo miaka 6 du na kufanya kazi masaa 24 wakati sisi mwisho saa 8 mchana then tunaanza kula biaaa na dili za kuingiza fedha. Kwakuwa kupanga ni kuchagua vumilieni tu ndugu zangu siku zote wajinga ndio waliwao hapo mmenasa hamuwezi kujinasua mcheza sana tunawafutia na usajili