nyoko

Philipo Kidwanga

JF-Expert Member
Jul 12, 2012
2,042
599
mtu mmoja alikwenda nyumbani kwake akiwa amelewa kidogo,ikatokea kugombana na mkewe mpaka kusukumana mwishowe jamaa akaamua kuachana na wife akakaa kwenye kochi akisikiliza redio.ghafla akawa anasinzia huku bado akiwa na hasira, mkewe akawa anapita kuelekea jikoni na wakati huo huo mtangazaji kwenye redio akasema new york.!kwa hasira na kausingizi jamaa akajibu nyoko mwenyewe halafu we ntakuua.tahamaki kumbe mtangazaji.mke akajisemea moyoni lione kwanza.
 
Back
Top Bottom