Nyokaa lounge night club, Singida

Fanya ukifika karakana uje muhawa utanikuta , pia kabla ya karakana njoo minga bodaboda hapa ulizia wa kishua utanipata mkuu
Mtaani kwenu kote huko kuanzia karakana Bomba la maji,mnada wa Zamani,soko la huko shule ya mabubu kote huko mpaka mughanga sekondary tumeacha history pale...
 
Wapumbavu nyie, kuna wapuuzi madereva bajaji wa huko karibu na kanisa fulani la kilokole lipo karibu na mnara wa halotel walinitoa mjini kufata malaya mmoja wakaniambia nauli 2000 nikagoma kutoa hawakunijua mimi ni nani wakaleta upumbavu.

Kama ulikuwa maeneo yale nadhani ulipata taarifa ya kilichowakuta
 
Kwa hiyo ulitaka utoe jero na umekodi bajaji
 
Hakuna hewa panatema jasho na ng*nda.Nenda Regency sema vinywaji Bei utazani Kuna Tanzanite ndani.
 
,mkuu,singida ni sehem ambayo imebarikiwa kuwa na wanawake wazuri sana asee,sio ma bar maids,watumishi,mama wa nyumbani au vibarua,nenda soko la vitunguu utakuta wanawake ambao ni wa hali ya chini sana wanapiga vibarua huko,ni wazuri kiasi kwamba ukiopoa ukamuweka sawa as wife ndani kuna kila kitu na mahtaj yote anapata,hakyanani watu watadhani umeoa ubeberuni mkuu
 
Wazee leo nimetembelea sehemu moja inaitwa nyokaa lounge hapa singida mjini ,

Kuna totoz hizooo, yaani ni full of pensi. Ukiwatazama kwa umakini utazani wamevalishwa Pampers za watoto wachanga kwa nyuma.

Ila kuna binti la kimbulu isee hii ndio inafaa kwa matumizi ya consumers.

Singida mjini ni sehemu gani yenye night club kama hii?

Baada ya miezi mitatu urudi tena hapa jukwaani utuwekee majibu ya HIV test mkuu
 
Wazee leo nimetembelea sehemu moja inaitwa nyokaa lounge hapa singida mjini ,

Kuna totoz hizooo, yaani ni full of pensi. Ukiwatazama kwa umakini utazani wamevalishwa Pampers za watoto wachanga kwa nyuma.

Ila kuna binti la kimbulu isee hii ndio inafaa kwa matumizi ya consumers.

Singida mjini ni sehemu gani yenye night club kama hii?
Na kelele zooote hizo ulishindwa kuchukua hata pic mbili tatu za usawa wa trako!!...fala kweli ww
 
Wapumbavu nyie, kuna wapuuzi madereva bajaji wa huko karibu na kanisa fulani la kilokole lipo karibu na mnara wa halotel walinitoa mjini kufata malaya mmoja wakaniambia nauli 2000 nikagoma kutoa hawakunijua mimi ni nani wakaleta upumbavu.

Kama ulikuwa maeneo yale nadhani ulipata taarifa ya kilichowakuta

Lazima walikukalisha,maana shemeji zangu kwakulianzisha hawajambo
 
Back
Top Bottom