TANMO
Platinum Member
- Apr 12, 2008
- 12,226
- 13,076
Kwa masihara ya Jf utakuwa unamzidi mbio. Ila omba sana Mungu wako usikutane na huyu nyoka kwenye maisha yako.Sasa mkuu anaweza shindana mbio na mimi??
Wana visirani sana hawa..
Kuna mmoja aliwahi paramia kioo cha Land cruiser akikusudia kumlenga dereva, hakujua kwamba kuna kioo. Ile ndiyo ilikuwa pona ya yule dereva..