Nyoka wa ajabu

Nyoka wa ajabu

Huyo ni Black Mamba, nafkiri sauti yake inafabana na jogoo.

Hawa nyoka wanaakili sana ni kama cobra yani hawakupaswa kuishi Africa/Tanzania. Walitakiwa kuishi kwenye nchi za weupe wenye IQ kubwa.
 
Huyo anaitwa black mamba..au kwa jina maarufu koboko.ni hatari sana siku nyingine ikitokea incident kama hiyo usfanye jambo la kumbugudhi..huwa anatulia akiona huna madhala kwake lakini inapobidi kufanya yake...huwa kuna vifo tu hakuna majeruhi
 
Leo kwenye pitapita zangu mida ya asubuh nipo mtoto wa mjomba tunaelekea shambani ghafla mbele wakati tunatembea tukakutana na nyoka mkubwa mweusi yule mtoto wa mjomba angu alipomuona akamrushia jiwe lilikuwa karibu yake cha ajabu yule nyoka hakukimbia bali akawa anatoa mlio wa ajabu na anazidi kutuna yaani amesimama nusu ya mwili amenyanyuka zaid ya cobra yaani nusu ya mwili wake ameunyanyua huku anatuangalia na anatoa mlio kilichonishangaza nyoka gan anarushiwa jiwe hakimbii nikamuambia yule mtoto wa mjomba tusimame tumuangalie tusikimbie basi akatuna huku anatoa mlio mpaka akaanza kushuka taratibu mpaka chini halafu akaondoka zake kwenye majani na safar ya shamba ikaisha hapo sasa huyo anaweza akawa nyoka gani na mdomoni mweusi sijawah kuona nyoka huyo
Black mamba au kwa jina lingine koboko huwa na hasira ukimtupia kitu, mna bahati hakuwafukuza
 
Ni black mamba bila shaka. Mara nyingi kabla ya kuvamia huwa anatia mlio kama tahadhari ili usiendelee kusogea mahali alipo au usiendelee kumchokoza, kama usipotii hiyo Sauti kinachofuata ni kushambulia. Nadhani mlitii mapema na kuacha kumchokoza ndo maana akaondoka zake. Msirudie huo mchezo
 
Duh...tumeepuka kwa kweli kama ndo hyo black mamba mana simjui
Huyo anaitwa black mamba..au kwa jina maarufu koboko.ni hatari sana siku nyingine ikitokea incident kama hiyo usfanye jambo la kumbugudhi..huwa anatulia akiona huna madhala kwake lakini inapobidi kufanya yake...huwa kuna vifo tu hakuna majeruhi
 
Nilikuwa simjui kama ndo huyo nyoka mana niliwah kumsikia tu
Ni black mamba bila shaka. Mara nyingi kabla ya kuvamia huwa anatia mlio kama tahadhari ili usiendelee kusogea mahali alipo au usiendelee kumchokoza, kama usipotii hiyo Sauti kinachofuata ni kushambulia. Nadhani mlitii mapema na kuacha kumchokoza ndo maana akaondoka zake. Msirudie huo mchezo
 
Leo kwenye pitapita zangu mida ya asubuh nipo mtoto wa mjomba tunaelekea shambani ghafla mbele wakati tunatembea tukakutana na nyoka mkubwa mweusi yule mtoto wa mjomba angu alipomuona akamrushia jiwe lilikuwa karibu yake cha ajabu yule nyoka hakukimbia bali akawa anatoa mlio wa ajabu na anazidi kutuna yaani amesimama nusu ya mwili amenyanyuka zaid ya cobra yaani nusu ya mwili wake ameunyanyua huku anatuangalia na anatoa mlio kilichonishangaza nyoka gan anarushiwa jiwe hakimbii nikamuambia yule mtoto wa mjomba tusimame tumuangalie tusikimbie basi akatuna huku anatoa mlio mpaka akaanza kushuka taratibu mpaka chini halafu akaondoka zake kwenye majani na safar ya shamba ikaisha hapo sasa huyo anaweza akawa nyoka gani na mdomoni mweusi sijawah kuona nyoka huyo

Kama ni huyu Nyoka Black Mamba ambaye Wataalam hapa wamemuelezea vyema kabisa siamini kama kweli aliwaacheni salama ila nahisi utakuwa tu umetunga hii Stori ukiwa na lengo tu la Kujifunza zaidi juu yake na kwa hilo au hii mbinu umefanikiwa.
 
Ndo jina lake black mamba??
Koboko. Dalili alizosema mtoa mada ndiyo hizohizo za koboko.
Katika ukanda wetu wa Afrika mashariki, hakuna nyoka yoyote mwwnye sifa za 'kusimama' kama koboko.
Pia wakati akitambaa hutoa sauti kama mlio wa tairi za baiskeli.
 
Kama ni huyu Nyoka Black Mamba ambaye Wataalam hapa wamemuelezea vyema kabisa siamini kama kweli aliwaacheni salama ila nahisi utakuwa tu umetunga hii Stori ukiwa na lengo tu la Kujifunza zaidi juu yake na kwa hilo au hii mbinu umefanikiwa.
Mkuu anaweza akakudharau.

Kwa mfano walivyosimama na kutulia walimpunguzia kisirani chake.

Lakini wangelimpa kisogo kumkimbia ndiyo hapo angewadhuru.
 
Sasa nikikimbia atanipataje??
 
Leo kwenye pitapita zangu mida ya asubuh nipo mtoto wa mjomba tunaelekea shambani ghafla mbele wakati tunatembea tukakutana na nyoka mkubwa mweusi yule mtoto wa mjomba angu alipomuona akamrushia jiwe lilikuwa karibu yake cha ajabu yule nyoka hakukimbia bali akawa anatoa mlio wa ajabu na anazidi kutuna yaani amesimama nusu ya mwili amenyanyuka zaid ya cobra yaani nusu ya mwili wake ameunyanyua huku anatuangalia na anatoa mlio kilichonishangaza nyoka gan anarushiwa jiwe hakimbii nikamuambia yule mtoto wa mjomba tusimame tumuangalie tusikimbie basi akatuna huku anatoa mlio mpaka akaanza kushuka taratibu mpaka chini halafu akaondoka zake kwenye majani na safar ya shamba ikaisha hapo sasa huyo anaweza akawa nyoka gani na mdomoni mweusi sijawah kuona nyoka huyo
Koboko/Black Mamba
 
Mbona thread za nyoka zimekuwa nyingi hapa; ni nyoka gani hao? kwani hata mwaka 1979 tuliwahi kuwa na nyoka aliyejulikana kama Nduli Amini
 
anaitwa black mamba ,yaani anauwezo wa kuua watu 30 ndani ya dakika 5 ,sumu yake na mazingira hayo msingepiga hata hatua 10,mshukuru sana mungu wako.
1125773
 
Back
Top Bottom