Nyoka wa ajabu

Nyoka wa ajabu

Acha tamaa focus kwny jambo moja na umuombe MUNGU atakusaidia.
huyu binti amjui mungu wala haamini mungu kama yupo
sasa sijui atamuomba mungu yupi ikiwa huyo unayemsihii amuombe aamini kama yupo na hataki kukubali upeo wake
 
Soma vizuri uzi kisha ndio uje kujibu
nishasoma na nishaelewa tangu kbla sijacomenti
Najua binadamu mkishashikwa na matatizo ndo umkumbuka mungu kama yupo.
wewe uamini ulimwengu wa kiroho nashangaa unajiuriza maswari kama hayo ambapo ufafanuzi wake wahitaji kumuhusisha MUNGU
na wewe mwenyewe unajua hilo.
sasa hii inadhiirisha kuwa unachokipinga unajua ukweli wake

HAKUNA KAMA MUNGU BINTI tubu kwa dini ulomkuta nayo mzazi wako
kwanza then utapata msaada yakinifu
 
nishasoma na nishaelewa tangu kbla sijacomenti
najua binadamu mkishashikwa na matatizo ndo umkumbuka mungu kama yupo
uamini ulimwengu wa kiroho nashangaa unajiuriza maswari kama hayo ambapo ufafanuzi wake wahitaji kumuhusisha MUNGU na wewe mwenyewe unajua
hii inadhiirisha unachokipinga unajua ukweli wake
HAKUNA KAMA MUNGU BINTI tubu kwa dini ulomkuta nayo mzazi wako
kwanza then utapata msaada yakinifu
Sasa we unahubiri dini hapa au unajibu maswali niliyouliza?
Tatizo lenu ndio hilo, kitu kama hujakipatia ufumbuzi au hujui namna ya kutatua unasingizia either Mungu au shetani.

By the way sina tatizo lolote lile
 
kumbe una tatizo lolote
basi wewe ni JIMENA MPINGA MUNGU
hayo manyokanyoka makunguru tupa kule ponda raha kufa hakuji !!
 
kumbe una tatizo lolote
basi wewe ni JIMENA MPINGA MUNGU
hayo manyokanyoka makunguru tupa kule ponda raha kufa hakuji !!
Una = huna
Kufa pia sio sababu ya kuamini vitu ambavyo havipo
Kama una la kuchangia lenye kuendana na mada unaweza kuendelea kama huna uwapishe wanaojua
 
Hapo hauhitaji mtume wala nabii ka ukijua wewe upo upande wa shetani katika uzao wa wanadamu na vitu vingi vinasababisha hivyo na usidanganywe ukaambiwa ni ndoto tu hakuna kaa ukijua ndoto ni bayana kabisa ulivyo ota ndivyo ulivyo
 
Shetani katika uzao wa wanadamu hiyo inaitwa hivyo uzao wa nyoka
 
hahahahaaaa.... nilivoona upo kimya mkuu Mzimu wa Kolelo, nikajua tayari ushanyakuliwa mbinguni, ALAS kumbe bado unagawa neno la uzima?
God bless !
teh ! teh ! teh ! nipo bwana bado sijanyakuliwa
lile swari lako la mwisho kule lilinikimbiza mana ningekufulu
huna AKILI sana wewe
msaidie DADAAKO WA HIYARI anashindwa kujitambua yeye ni nani
me navyojua yeye ni JIMENA kinyume na hapo alete EVIDENCE ya kuwa yeye ni NYOKA ndo tutajadiri zaidi
au wewe unaonaje mkuu Bennie 369
unaweza kutung'amulia yeye ni nani ?
 
Hapo hauhitaji mtume wala nabii ka ukijua wewe upo upande wa shetani katika uzao wa wanadamu na vitu vingi vinasababisha hivyo na usidanganywe ukaambiwa ni ndoto tu hakuna kaa ukijua ndoto ni bayana kabisa ulivyo ota ndivyo ulivyo
Hivi huyu shetani yupo kweli hadi mi niwe upande wake?? Unaweza kunithibitisha kuwa yupo?
 
Ujue huu Uzi kuja jamii intelijensia una maaana jamani maana huyu MTU mpaka anapata nafas ya kutyp bado hajajijua kama yeye MTU hili in tatizo anahitaj msaada wa kisaikolojia la sivyo jamii forum na jamii kwa ujumla itampoteza huyu MTU
 
Hebu funguka zaidi basi kuhusiana na post yenyewe huenda ukasaidia kwa kiasi fulani
 
Mkuuu Mtoa mada pole kwa ndoto nzito namna hiyo,hapo ulipofikia ni kwa nani yako?hiyo nyumba sio nzuri
 
Mkuuu Mtoa mada pole kwa ndoto nzito namna hiyo,hapo ulipofikia ni kwa nani yako?hiyo nyumba sio nzuri
Asante sana mkuu
Nilienda kutembea tu kwa rafiki yangu ila usiku wake niliondoka, sasa ubaya wa hiyo nyumba unaweza kuwa ni nini?
 
Back
Top Bottom