mmnnnh?....Kuna vitu upo au soon utakua on progress unavitaka kwa kuona vitakusaidia (njiwa) na huvitafuti au hutovitafuta kiuhalali sana kivile (nyoka) , lakini sivyo hivo unavovidhania ,havibebeki (kunguru) vitakusumbua.
Duh nyoka wote wangefanana hivyo ningemfuga mmoja. Ila hili la bidada, mimi huwa naota sana nyoka ila sijawahi kuwa nyoka. Wanasema ukiota nyoka ina maana una maisha marefu lakini ndo hivyo wanajimu bwana.
Duh nyoka wote wangefanana hivyo ningemfuga mmoja. Ila hili la bidada, mimi huwa naota sana nyoka ila sijawahi kuwa nyoka. Wanasema ukiota nyoka ina maana una maisha marefu lakini ndo hivyo wanajimu bwana.


Nimecheka xanaaaaaa.....Wewe ni ndumilakuwili ndo maana njiwa unamuona kunguru...acha unafiki uongo na fitina utakuwa mtu mwema...

Wanajimu hadithi zao ni nyingi sana yataka uwe na moyo mgumu haswa kuwafatishaDuh nyoka wote wangefanana hivyo ningemfuga mmoja. Ila hili la bidada, mimi huwa naota sana nyoka ila sijawahi kuwa nyoka. Wanasema ukiota nyoka ina maana una maisha marefu lakini ndo hivyo wanajimu bwana.
Kwa mganga siendi na swala ulilosisitiza la maombi pia liko nje ya uwezo wanguMuombe Mungu akusaidie kuepukana na mdoto zenye maono ya ajabu.....huenda ikawa ni mapepo yanakunyemelea hvyo ukizembea utajikuta katika serious problem,na kingine uwe na desturi ya kufanya maombi mara kwa mara ucje ukadanganywa eti uende kwa mganga akuangalizie tatizo lako ni nini utajikuta unakuwa mhanga wa shetani na kuwa ZOMBIE.
Ndugu yang Jimena ukishindwa kuomba bac ombewa co lazima uende kwa mchungaji hata mama yako anatosha kukuombea..Kwa mganga siendi na swala ulilosisitiza la maombi pia liko nje ya uwezo wangu
Kwa Mungu ..Aniombee kwa nani sasa?