Huu wimbo mzuri sana aiseeMm naomba mwenye mashairi yake haka kawimbo sikuwa na kaseti nilikuwa nasikia kwa kukaibia ibia
Unaimbwa hivi
Sheiraaaa, ooh sheiraaaaa.
Mpenzi sheira kuwa na huruma ,......
Wengi wapo wanaokupenda ila huyu nimempata kwa bahati.
Naomba wimbo mzima nakapenda sana
Asante kwa hii mistari aisee. Huu wimbo nilikuwa napenda sana kuusikiliza wakati wa usiku. Nice song. Ngoja nijaribu kuutafutaSheila sheila nionee huruma,
Kwani moyo unaniuma
Penzi langu ni la dhati, kwani nimempata wa bahati
Wengi wapo wanakupenda, niachie huyu amenipenda
Sheila oooh sheila
Think out loud-Ed sheeran
I'm thinking about.... People falling love in mysterious way. ..Think out loud-Ed sheeran
Nimekuchagua wewe .... wa Bob Ludala ..Nzela kutoka the B-Band...
Huu wimbo unalizaga watu wengi siku za graduation..kumaliza shule.....hasa akiwa anaeondoka kakuachia mimba....aiseeeeEnd of the Road (Boyz to Men).
Hivi huyu Saida yupo pande zipiPia napenda nyimbo za saida karoli hasa album yake ya chamvua kama karanga.....reason behind marehem mama angu alipenda kuzisikiliza.
R cityLocked away....sijui kaimba nan? Somebody Livene
Anauza sokon kwa msukaHivi huyu Saida yupo pande zipi