BabuMkubwa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 2,486
- 3,684
Mshenga part 2 ni mwendelezo wa Mshenga wa Marehemu Mbaraka Mwinshehe na Super Volcano Bend kama sijakoseaKuna nyimbo inazungumzia mshenga kapewa pesa ya posa na hakuifikisha,anaambiwa aende police anasema hana ushahidi...ni baadhi ya maneno yaliopo kwenye hiyo nyimbo ni katika zilipendwa...anaeifahamu anijuze pliiz