Nyimbo unayoipenda kuliko zote duniani

Nyimbo unayoipenda kuliko zote duniani

Wabongo mbona tunapenda sana mijadala ambayo haina Maslah hii mada kila ck mnachangia tang iwekwe lkn kna mada zur za kimaendelee wachangiaji wachache, kwa mda mfup na inapotea, wazo Lang hii mitandao tuitumie kwa vitu vya masilah kiuchumi, kimwil, kijamii, familia, kitaifa, kimataifa, bila kusahau kiroho
 
Ngobekezela.by Vuyo Mokoena from South Africa gospel singer.R.I.P
 
Wabongo mbona tunapenda sana mijadala ambayo haina Maslah hii mada kila ck mnachangia tang iwekwe lkn kna mada zur za kimaendelee wachangiaji wachache, kwa mda mfup na inapotea, wazo Lang hii mitandao tuitumie kwa vitu vya masilah kiuchumi, kimwil, kijamii, familia, kitaifa, kimataifa, bila kusahau kiroho
Nafikiri na wewe umeongezeka katika wachangiaji na ndio maana haipotei
 
Tatizo mtoa mada umeegemea kwenye malavidavi tu......Mimi nyimbo nazozikubali na zinazonipa nguvu ya kusonga ni hizi mbili
1. I have a dream by West Life
2. Coward of the country by Keny rodgers
2.By Don Williams.
 
Rail on- papa wemba.

Machozi yangu yoti inamalizika..mie nitalala na naniiii...we unaenda...mie mpaka ni mawazo ohooo...mie mpaka ni kuwaza waza we unaenda unaenda...kama ile njia yako neendaaa...kama ni maisha yako fuataaa..weeee dadaaaa..rail on..rail on....sijui niniii..

Mziki murua saana huu.
 
Wabongo mbona tunapenda sana mijadala ambayo haina Maslah hii mada kila ck mnachangia tang iwekwe lkn kna mada zur za kimaendelee wachangiaji wachache, kwa mda mfup na inapotea, wazo Lang hii mitandao tuitumie kwa vitu vya masilah kiuchumi, kimwil, kijamii, familia, kitaifa, kimataifa, bila kusahau kiroho
Pasungekuwepo mziki baada ya kaz wala games kwenye simu. Nenda kachangie 24 hours per year kama hatujakuona unapita unaiiimba hile nyimboooo yaooooo. Uku umevaaa dela
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom