aikaruwa1983
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,398
- 1,504
Rail on- papa wemba.
Machozi yangu yoti inamalizika..mie nitalala na naniiii...we unaenda...mie mpaka ni mawazo ohooo...mie mpaka ni kuwaza waza we unaenda unaenda...kama ile njia yako neendaaa...kama ni maisha yako fuataaa..weeee dadaaaa..rail on..rail on....sijui niniii..
Mziki murua saana huu.
hii ni lyrics ya wimbo wa SAFARI wa papa wemba au nachanganya mimi