Nyimbo unayoipenda kuliko zote duniani

Nyimbo unayoipenda kuliko zote duniani

[emoji23] [emoji23] [emoji23] bongo fravour mm nazijua sasa hiv utaichukia haya tyseme b4 hyo nyimbo ni upi was your favorite song
Anha kumbe unamaanisha kuchuja, sawa ila ule ujumbe unaonigusa utabaki pale pale mkuu, mm napenda mziki in general ila hii nyimbo imenigusa sana
 
Mm naomba mwenye mashairi yake haka kawimbo sikuwa na kaseti nilikuwa nasikia kwa kukaibia ibia
Unaimbwa hivi
Sheiraaaa, ooh sheiraaaaa.
Mpenzi sheira kuwa na huruma ,......
Wengi wapo wanaokupenda ila huyu nimempata kwa bahati.

Naomba wimbo mzima nakapenda sana
Huo wimbo unaitwa Sheila,umeimbwa na dada mmoja sijui anaitwa nani...?anamlalamikia Sheila kuwa yeye ni mrembo na anapendwa na wanaume wengi,amuachie yeye huyo mwanaume ambae kampata kwa bahati!Hii nyimbo ninaikubali sana,halaf nyuma ya pazia naona kama itakuwa true storyvile,kama anamwimbia mtu amwachie bwana yake aliempata kwa bahati...maana ameimba kwa hisia sana.
 
Sio kuchuja tu hata feelings zake zitaisha angalia tulizotaja wenzio hakuna bongo freva
 
Kifo hakina huruma by Remy kali Mongala Ongala. Nakumbuka 90's nilipatwa na ugojwa wa typhode nikaisha, nikabakiwa na mifupa tu. Mara Mungu sii athumani nikapona. Sasa wale walio ninyanyapaa nimeukwa, live kwa maneno yao. 13 wametangulia mbele ya haki. 6 kwa ngoma, wengine kwa maradhi na ajali
 
Duuh! We Jamaa visasi vyako vya kiyahudi kweli!
Kukucheka tu umelaza 13 wakikuzomea si utalaza 50?
 
Huo wimbo unaitwa Sheila,umeimbwa na dada mmoja sijui anaitwa nani...?anamlalamikia Sheila kuwa yeye ni mrembo na anapendwa na wanaume wengi,amuachie yeye huyo mwanaume ambae kampata kwa bahati!Hii nyimbo ninaikubali sana,halaf nyuma ya pazia naona kama itakuwa true storyvile,kama anamwimbia mtu amwachie bwana yake aliempata kwa bahati...maana ameimba kwa hisia sana.
Ameimba Esther Wassira
 
Mm naomba mwenye mashairi yake haka kawimbo sikuwa na kaseti nilikuwa nasikia kwa kukaibia ibia
Unaimbwa hivi
Sheiraaaa, ooh sheiraaaaa.
Mpenzi sheira kuwa na huruma ,......
Wengi wapo wanaokupenda ila huyu nimempata kwa bahati.

Naomba wimbo mzima nakapenda sana
Sheila sheila nionee huruma,
Kwani moyo unaniuma
Penzi langu ni la dhati, kwani nimempata wa bahati
Wengi wapo wanakupenda, niachie huyu amenipenda
Sheila oooh sheila
 
Kifo hakina huruma by Remy kali Mongala Ongala. Nakumbuka 90's nilipatwa na ugojwa wa typhode nikaisha, nikabakiwa na mifupa tu. Mara Mungu sii athumani nikapona. Sasa wale walio ninyanyapaa nimeukwa, live kwa maneno yao. 13 wametangulia mbele ya haki. 6 kwa ngoma, wengine kwa maradhi na ajali
Pole mkuu ,,uligomea njiani dizain kama umeponea chupu chupu ila walikunyanyapaa watakuwa wenyeji wako!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom