Nyimbo unayoipenda kuliko zote duniani

Wadau, napenda tushirikishane nyimbo ambazo kila mmoja wetu anaupenda sana, akiisikia anajisikia yupo on top of the world.Nyimbo ambayo ukiisikia moyo wako unafarijika sana,hata kama una hasira,masikitiko na kukata tamaa inakufariji kupita maelezo.Inawezekana pia ikawa ni nyimbo ambayo unataka kumtuza (dedicate) mtu umpendae kwa dhati ya moyo wako,nyimbo ambayo hata siku hautokuwepo duniani akiisikia akukumbuke.Kwangu mimi nyimbo ninayoipenda kuliko nyimbo zote duniani inaitwa ADDICTED - Imeimbwa na Enrique Eglesias
Last Emperor...
''A Whiter Shade of Pale'' by Procol Harum
 
Kwangu mm duu
1.francisca ~ legos star
2 . Mary maria ~vijana jazz
3. Pesa posissio~tp ok jaz
4.mpenz tulia~hii ya wakenya kama sikosei
5.sacrifise ~sir elton john
Yaan nikisikia hiz nyimbo i feel ze reason to be alive hata kama nko jela najiona nko ikulu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom