Nyimbo unayoipenda kuliko zote duniani

Nyimbo unayoipenda kuliko zote duniani

Hadija wa pepe kale ! Azalakise hawa na ngoma ya kwetu za Gato ! Zikipigwa mida ya jioni ya saa kumi hivi nikiwa beach iliyotulia huku nashushia wine yangu baridii ya Dodoma wine au hata dompo baridi kwenye bilauli ! Holly cow ! Naweza nikalia [emoji33] [emoji33] [emoji33]
Mimi kwanza sina wimbo wa kibongo wala siwafahamu wanamziki wa Bongo. Kwanza leo itabidi ninywe ngongo kwa kifo cha Papa Wemba.
 
Hadija wa pepe kale ! Azalakise hawa na ngoma ya kwetu za Gato ! Zikipigwa mida ya jioni ya saa kumi hivi nikiwa beach iliyotulia huku nashushia wine yangu baridii ya Dodoma wine au hata dompo baridi kwenye bilauli ! Holly cow ! Naweza nikalia [emoji33] [emoji33] [emoji33]
Hahahaa.mkuu umenifurahisha sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom