Nyimbo unayoipenda kuliko zote duniani

Nyimbo unayoipenda kuliko zote duniani

Ni nyimbo kwasababu kila mmoja ana wake (mmoja)
Ni kosa kisarufi (upatanisho wa kisarufi haupo kwenye nyimbo ambazo kila mmoja wetu anaupenda sana

Wimbo anaupenda (umoja)
Nyimbo anazipenda (uwingi)

Watu wameshazoea hadi inaonekana kuwa ni sawa kusema "nyimbo yangu inaitwa......."
 
Sawa mwalimu...usijekuta na ualimu wako yule mchina alieongoza form four anakufunika!🙂
 
he knows my name - tom walker ninapousikia lazima nibubujike kwakweli
 
Usizi-Lucky Dube

Usizi emhlabeni
Izingane zilala zingadlile
Umama nobaba
Emsebenzini badiliziwe

Ubusuku bud'enganeni
Uma ingadlile
 
Sawa mwalimu...usijekuta na ualimu wako yule mchina alieongoza form four anakufunika!🙂
Asante mkuu. Nimejaribu kuonesha ninachokifahamu. Hakuna anayejua kila kitu kwenye taaluma yoyote ile.
Hata maprofesa bado kuna vitu hawavijui katika fani zao.
Vyeti tunatunukiwa kujifahamu ni kwa kiasi gani tumekuwa wajinga.
 
Wabongo mbona tunapenda sana mijadala ambayo haina Maslah hii mada kila ck mnachangia tang iwekwe lkn kna mada zur za kimaendelee wachangiaji wachache, kwa mda mfup na inapotea, wazo Lang hii mitandao tuitumie kwa vitu vya masilah kiuchumi, kimwil, kijamii, familia, kitaifa, kimataifa, bila kusahau kiroho
Kila ulichotaja humu jf kina jukwaa lake mkuu..hapa ni kwa ajili ya burudani..siasa nenda kwenye jukwaa lake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom