Nyimbo unayoipenda kuliko zote duniani

Nyimbo unayoipenda kuliko zote duniani

Kifo hakina huruma by Remy kali Mongala Ongala. Nakumbuka 90's nilipatwa na ugojwa wa typhode nikaisha, nikabakiwa na mifupa tu. Mara Mungu sii athumani nikapona. Sasa wale walio ninyanyapaa nimeukwa, live kwa maneno yao. 13 wametangulia mbele ya haki. 6 kwa ngoma, wengine kwa maradhi na ajali
Duh!
 
Idi amin akifa(akifa)Mimi siwezi kulia..ntamtupa kagera(kagera) awe chakulaa cha mamba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom