spea mkononi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2015
- 348
- 330
r
Dah mi sio wimbo mmoja tu ila kadhaa
1. Mimi na wewe-stara Thomas
2.all of me-John legend
3.cheerleader-Omi
4.rail on-papa wemba
5.let her go-passenger
6.Moyoni wangu-Rose mhando
Hapana sio kweli mimi sio mshabiki wa papa wemba hata nyimbo zake nyingine sizijui ila huu Mara ya kwanza nliusikia bongo star search aliimba Leah muddy nikaupenda ndo nikautafuta Humble AfricanYaani mpaka mtu afe ndo apate kiki...Africa no gud! Eti Rail on ya Papa wemba.
You raise me up
Wimbo bora wa wakati wote wa bongo flava...juzi kati master Jay aliutaja kuwa ndo wimbo bora kuliko zote alizowahi kuproduce katika maisha yake ya utayarishaji muziki.Bongo Dsm by Pro J
Huu Wimbo note zake zilianza miaka ya mwanzoni karne ya 19 baada ya hapo umeimbwa na watu wengi sana Wakiwemo Josh Groban, Westlife walifaidika zaidinaomba msaada nani kaimba huo wimbo