Unazungumzia kwaya [emoji23] umevimbiwa harage dona kajambe ulale kwani lazima uni quote kiherehere tuHebu timu Mondi mtulie kidogo ....Watu hu-panic kwa mda kidogo halafu wanarudi normal...Nyie leo ni siku ya 7 bado mpo kwenye panic ya wimbo wa Seduce me...
Ni hatari sana
[emoji23][emoji23][emoji23] hawalali.walikua wanaomba na kukesha na kusali jamaa atoe tu nyimbo, alikuja.na kiki.ya harusi.lakin naona haikufua dafuSeduce Me inatesa watu balaa..
Ndo panic zenyewe hizi..Unazungumzia kwaya [emoji23] umevimbiwa harage dona kajambe ulale kwani lazima uni quote kiherehere tu
We james delicious mbona unaganda marijaliNdo panic zenyewe hizi..
Moderator ipelekeni hii nyimbo juu paleFireeeee....
[emoji8] [emoji8] [emoji41]Mbaya kma kaimba bahati bukuku
Uyu shoga nae kila siku ananitumia Emoji za upendo lakn nahurumia marinda yake[emoji8] [emoji8] [emoji41]
Mondi the baddest, untouchable, prezidaaa unshakable the rock
Nyimbo nzur kaimba vzr zaid ya pato.. Nyc songDiamond hongera sana. Kijana unajua safi sana. Hii nyimbo inakuwa ya Africa.
See the attachment nyimbo chini hapo. Gonga like
UpiiUtabiri umetimia....